Confession
JF-Expert Member
- Mar 30, 2019
- 824
- 2,648
God 'll bless youI am a woman.
Namshukuru Mungu sana kwa hivi nilivyo.
Though nimekutana na changamoto za maisha but I am strong bado.
Pamoja na yote nategemea ku adopt watoto watatu,
Napenda familia kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app