Dhihaka ya karne: Eti wanataka kuhama CHADEMA

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
361,076
Reaction score
831,699
Baada ya jana kuahirishwa maandamano ya UKUTA kwa mwezi mmoja zimefumuka post za kukejeli hiki kitendo

Kila mtu kasema lake, lakini wengi wakijikita kwenye kusema kuwa eti

-CHADEMA ni vigeugeu
-CHADEMA ni mabingwa wa kubadili gia angani
-CHADEMA inapoteza mwelekeo chini ya Lowassa (utafikiri ndio mwenyekiti)

Kejeli ni nyingi kweli na hili halina tatizo kwakuwa wale waliokuwa wamejiandaa kuumiza wananchi wasio na hatia hawataweza tena kufanya hivyo! Maandalizi yalikuwa mengi na kabambe mno ya kukipaka damu chadema kama maandamano haya yangefanyika
Kichekesho na dhikaha ya kukera sana ni wale wanaojifanya kutaka kuihama CHADEMA eti tu kwakuwa wameahirisha maandamano! Hilo tu likufanye uhame chama? Maandamano yangefanyika wewe ungeenda? Uhame Chadema uende chama gani? CCM? kama kuhama chama kungekuwa rahisi hivyo Lipumba asingeng'ang'ania cuf....unazi wetu uko nyuma ya keyboard tuu lakini waandamanaji wa kweli wasioogopa chochote iwe virungu iwe maji ya kuwasha ile jela, hawapo hapa na hawa wamekubaliana na maamuzi! Hakuna haja ya kutishia kuhama FANYA SASA

Dhima ya CHADEMA haikuwa kuandamana!maandamano huwa silaha ya mwisho kabisa kwenye nchi ya kidemokrasia kama njia zote zikishindikana

CHADEMA kwenye hili wamefanikiwa sana tena sana, harakati za ukuta zimeleta matunda mengi

Maamuzi mengi ya kibabe yamepungua ama kubatilishwa

Kupayuka payuka kumepungua

Utawala wa sheria unaanza kurejewa

Utawala ulioanza kujisahau umekuwa makini zaidi sasa

Viongozi wengi wameamua kuingia kwenye mazungumzo

CHADEMA SASA IMEANZA KUSIKILIZWA NA ITASILIKOLIZWA..hii ndio ilikuwa dhima ya yao KUSIKILIZWA

CHADEMA itasikilizwa bila kusababisha madhara kwa wananchi bila uharibifu wa mali na kwa gharama bei chee kabisa

CHADEMA imepiga hatua kumi zaidi mbele waliokamatwa kwa mashtaka ya kutunga na kunjuka ni viongozi tuu raia hawafiki watano! Huu ni ushindi mkubwa sana
Kama unahama CHADEMA Salam zao huko uendako
 
Mkuu, kubali tu kuwa THIS IS THE SAD ENDING OF UKUTA, mbona enzi za Slaa chadema walikuwa na msimamo wakisema tunaandana wanaandamana?? Au enzi hizo hakukuwa na viongozi wa dini wa kusuluhisha??
On the positive side, angalau mmewaweka police force on their toes.
 
Ukuta ni operation iliyofanikiwa kwa asilimia zaidi ya mia kila mwenye dhamana na aliyefikia kudharau upinzani alikosa usingizi na akafikiri afanye nn kuokoa hilo maneno ya kamanda Sirro yametoka moyoni aliwaumizwa sana na kupiga wananchi ambao aliapa kuwalinda na wao na mali zao hakuna mshindi kwenye hili wenye akili wameelewa
 
Baada ya jana kuahirishwa maandamano ya UKUTA kwa mwezi mmoja zimefumuka post za kukejeli hiki kitendo
Kila mtu kasema lake, lakini wengi wakijikita kwenye kusema kuwa eti
-CHADEMA ni vigeugeu
-CHADEMA ni mabingwa wa kubadili gia angani
-CHADEMA inapoteza mwelekeo chini ya Lowassa (utafikiri ndio mwenyekiti)
Kejeli ni nyingi kweli na hili halina tatizo kwakuwa wale waliokuwa wamejiandaa kuumiza wananchi wasio na hatia hawataweza tena kufanya hivyo! Maandalizi yalikuwa mengi na kabambe mno ya kukipaka damu chadema kama maandamano haya yangefanyika
Kichekesho na dhikaha ya kukera sana ni wale wanaojifanya kutaka kuihama CHADEMA eti tu kwakuwa wameahirisha maandamano! Hilo tu likufanye uhame chama? Maandamano yangefanyika wewe ungeenda? Uhame Chadema uende chama gani? CCM? kama kuhama chama kungekuwa rahisi hivyo Lipumba asingeng'ang'ania cuf....unazi wetu uko nyuma ya keyboard tuu lakini waandamanaji wa kweli wasioogopa chochote iwe virungu iwe maji ya kuwasha ile jela, hawapo hapa na hawa wamekubaliana na maamuzi! Hakuna haja ya kutishia kuhama FANYA SASA
Dhima ya CHADEMA haikuwa kuandamana!maandamano huwa silaha ya mwisho kabisa kwenye nchi ya kidemokrasia kama njia zote zikishindikana
CHADEMA kwenye hili wamefanikiwa sana tena sana, harakati za ukuta zimeleta matunda mengi
Maamuzi mengi ya kibabe yamepungua ama kubatilishwa
Kupayuka payuka kumepungua
Utawala wa sheria unaanza kurejewa
Utawala ulioanza kujisahau umekuwa makini zaidi sasa
Viongozi wengi wameamua kuingia kwenye mazungumzo
CHADEMA SASA IMEANZA KUSIKILIZWA NA ITASILIKOLIZWA..hii ndio ilikuwa dhima ya yao KUSIKILIZWA
CHADEMA itasikilizwa bila kusababisha madhara kwa wananchi bila uharibifu wa mali na kwa gharama bei chee kabisa
CHADEMA imepiga hatua kumi zaidi mbele waliokamatwa kwa mashtaka ya kutunga na kunjuka ni viongozi tuu raia hawafiki watano! Huu ni ushindi mkubwa sana
Kama unahama CHADEMA Salam zao huko uendako
Chadema hawana mbinu na surely wamepoteza sana
 
Mkuu, kubali tu kuwa THIS IS THE SAD ENDING OF UKUTA, mbona enzi za Slaa chadema walikuwa na msimamo wakisema tunaandana wanaandamana?? Au enzi hizo halukuwa na viongozi wa dini wa kisuluhisha??
On the positive side, angalau mmewaweka police force on their toes.
barafuyamoto unataka tuishi kila kitu kwa nyakati zile zile? Kila kitu kina wakati wake mahitaji ya nyakati ni kitu cha kawaida
Nini maana ya maendeleo? Hatuwezi kuishi nyakati zile zile kufanya mambo yale yale na kutegemea kupata matokeo tofauti
Mbona huko kwingine hambaki nyakati za A B wala C ? Kila jambo lina wakati wake na matokeo kamwe hayawezi kuwa sawa
 
Endelea kujifariji mwana, imetoka hiyo.
 
Mkuu, kubali tu kuwa THIS IS THE SAD ENDING OF UKUTA, mbona enzi za Slaa chadema walikuwa na msimamo wakisema tunaandana wanaandamana?? Au enzi hizo hakukuwa na viongozi wa dini wa kusuluhisha??
On the positive side, angalau mmewaweka police force on their toes.
Nakubaliana na wewe chama kimekosa integrity
 
Hahaha umeandika pumba tupu. Roho inakuuma kwa kuwa mmeshindwa kila kitu. Tuliwaambia Dj ni muongo. Sasa hela mmepoteza mlizokuwa mmehonga watu na watakuwa wameshazitumia mpaka octoba
Inabidi wahonge tena.
 
waliouchoka uongozi wa magufuli kwa hii miezi michache aliyokaa pale ikulu wameumia sana mana walitaka vita na umwagaji damu walitaka kupitia mlango wa chadema bahat nzuri mbowe kaufunga mlimchagua wenyewe magufuli mtulie chadema walishausoma mchezo tangu lini maandamano ya amani yageuke uwanja wa mapambano CHADEMA AKILI NYINGI MZIKI WAO MTAUCHEZA TU.
 
Eti mwana ccm hasa Uvccm nao wanasema wanahama chadema si vichekesho hivyo tena wengine anavyoandika huku amelegeza kiuno vya viungo vyote akisema "oooh Chadema sina hamu nao kabisa" swali ni kuwa Chadema walikwambia wana hamu na wewe...serikali imelazimika kutoa vyuma chakavu vilivyotumika vita vya Uganda ili raia waone na wameona kuwa kweli ni waoga na kuna kitu wanakificha wananchi wasijui ukweli ama kweli UKUTA ulikuwa kama dawa ya kuhara watu wamehara vyote walivyomeza na wananchi wameona
 
Back
Top Bottom