Umeona eeeeh. Dawa ni kuwapa Transport allowances na sio kuwadharirisha kama wanavyofikiria.konda : cheke cheke! abilia nauli
abiria: mi mwalimi
konda: onyesha kitambulisho
mwalimu: (anashika mfukoni) hiki hapa
konda (anakichukua kile kitambulisho na kukikodolea macho pande zote mbili)....
konda: (anarudisha kitambulisho) sasa mbona umekalia siti
mwalimu : kwan kuna tatizo?
konda: hebu wapishe waliolipa nauli wakae
mwalimu: (kwa hasira) hebu acha kunizaliliasha kijana
konda: (akimuangalia mwalimu usoni) hivi we unaona ni haki kukaa wakati alielipa nauli amesimama?
mwalimu (kimya)
konda: kwanza nyie walimu nina hasira na nyie sana
mwalimu (kwa ghadhabu) hasira?
konda: eeh kwanza mlinichapa sana bado nifeli.... na leo unapanda gari yangu huna nauli..
abiria wengine: hahahahahaha
konda: dah yani sipendi kupakia hizi chenga kubwa
mwalimu: nani chenga?
konda : yan wewe ni chenga kuliko huyo mwanafunzi unaemfundisha
mwalimu: (kwa tabasamu la aibu) kivipi?
konda : we umekalia siti hujalipa hata mia lakin dogo kasimama na amelipa 200..
konda (kwa kejeli) sasa sema wewe na dogo nan chenga?
mwalimu (kwa hasira anafungua pochi na kutoa sh 5000 ) kata mia nne yako mbwa wewe.
MAKONDA WAZO LAKO NI GUMU KUTEKELEZEKA LABDA MWALIMU AWE NA ROHO YA JIWE
konda : cheke cheke! abilia nauli

"..Ha ha ha kweri maisha yanaweza badilika kwa siku moja tu"