Dharau za Zuma kwa Waafrica Wenzake

Dharau za Zuma kwa Waafrica Wenzake

Ehud

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Posts
2,685
Reaction score
338
Akihutubia mkutano wa ANC jimbo la Guateng rais Zuma alisema:

"We can’t think like Africans, in Africa,
generally. We are in Johannesburg, this is
Johannesburg. It's not some national road in Malawi"

Wadau mnaonaje kauli hii tata ya Rais Zuma?

Source: Allafrican news
 
Nilifanya kazi na watu wa bondeni katika mambo ya migodi, na niligundua kwamba wengi wao wanapoongelea nchi nyingine za Afrika wanatumia neno Afrika, kama vile South Africa haiko Afrika. Yaani utakuta mtu aliyeko Johannesburg akiwa na safari ya Tanzania anasema "Kesho ninaenda Afrika".

Sasa nimeona kwenye habari za bondeni kwamba Zuma amenukuliwa akihutubia na kutamka maneno yafuatayo, "“We can’t think like Africans in Africa, generally. We are in Johannesburg, this is Johannesburg” (Tafsiri: Tuache kufikiri kama Waafrika katika Afrika. Tuko Johannesburg, na hapa ni Johannesburg".

Je, Zuma alimaanisha watu wa nchi za Afrika hawana akili nzuri kama watu wa bondeni?

Bila shaka maneno haya yataudhi watu wengi ndani ya Afrika, na hasa Malawi ambayo aliitamka katika hotuba yake. Hadi sasa amekuwa akielekezewa lawama tele.
 
Unless kama kuna maongezi ya zaidi ya hapo!...maana kwa sentenso hiyo tu sijaona Shida...We cant think like Africans in Africa..We are in Arusha,...tHIS IS aRUSHA!
Matatizo ya Arusha hayafanani na ya Zimbabwe!...there are times when we have to deal locally with situations!
He is completely right, unless if there is some inferiority aroma somewhere!
 
Mkuu PakaJimmy, you are missing one crucial thing. Ukiwa raisi huwezi kutoa kauli kama hizo zenye lengo la kukandia nchi nyingine bila sababu ya msingi. Maana hiyo ni "generalization" kwamba Waafrika (isipokuwa wale wa South Africa) hawana uwezo mzuri wa kufikiri.
 
his statement is correct, however being south African-african, doesnt sount on most of them. i met once a south frican guy at Hearthrow airport, i knew that he was from south africa coz of his accent, when i asked him if he is from Africa, he said no im form CAPETOWN. nilicheka kidogo, idi.ot. captown-southafrica-africa
 
Haswaaa! To most South Africans, South Africa is not in Africa, so when journeying to other countries in Africa they will say they are travelling to Africa from South Africa.

So when Zuma says dont think like Africans, we know exactly what he is trying to say.
 
To be Honest J'burg is not in Africa, may be Geographically! Africa kuna mabomu, njaa na visasi kama vya Mwigulu Nchemba!
 
kwa mtu asiye taka kujidharau anaweza kuchukua kauli hizo kama changa moto za kujikwamua katika hali ya kiAfrika tuliyo nayo ili na sisi tutoke katika uafrika wa uduni wa kimawazo na kiuchumi wakati mfano tanzania ni nxhi tajiri sana lakini tunaishi kama wadudu! ukiambiwa kweli usichukie ukakata tamaa jua kuna hatua mbele yako za kuchukua ili jamaa arudishe heshima siku zijazo
 
HUyo mtu ni mbumbumbu mzungu wa reli.
Unakumbuka alit.ombana na mama mwenye virusi bila kinga;
Halafu akawahi kwenda kuoga ili asiambukizwe ukimwi?
Unakumbuka amezaa na mtoto wa rafiki yake kipenzi ambaye ni sawa na mwanaye?
ZUMA ni mshenzi tu.

Bazazi
​
 
labda naanza kusahau kingereza taratibu lakini sijaona tatizo kwenye kauli yake,
 
Zuma ni kituko kingine Afrika, pamoja hata sisi wenyewe tuna ujinga mwingi ila Kama Kiongozi hatakiwi kutudharau wkati ana nafasi ya kusaidia mambo yawe mazuri
 
Anapenda totoz kama mkuu flani wa kaya. Zuma ni mzinzi balaa angalia idadi ya watoto aliokuwa nao wa nje ya ndoa.
 
I, sometimes, fail to get what the man was trying to say. It is, to my way of thinking, proud to be an African even though most of the Africans are extremely poor.

Unless we have the full speech, I will contrue his words as a mere joke.
 
....

So when Zuma says dont think like Africans, we know exactly what he is trying to say.

Hiki ni kipande cha maneno ya Mwalimu Nyerere akilihutubia Bunge la Afrika kusini.

But this is not true about Africa. Mr. President, here you are trying to build something which is a tremendous experience, but perhaps you are different. Sometimes they think South Africa is different, so perhaps they would say, "This is President Mandela, this is different." But for the likes of me, no, I am an African. And sometimes I get irritated, but then I say, "Why? Why do I get irritated?" Because, of course, I am a Tanzanian.

But what is this Tanzania? Why should these Europeans see me as a Tanzanian? What is this Tanzania? This is something we tried to create in my lifetime. I built Tanzania. So what is this Tanzania? The Europeans are right. The North Americans are right to look at me as an African, not as a Tanzanian, because Tanzania is a creation of colonialism, which is causing us a lot of trouble on the continent
...

Kwa maelezo haya nadhani sasa wazungu wamefanikiwa kuwafikirisha waafrika kusini kuwa wao si Waafrika....lakini hili litakuwa kweli kama Zuma alitamka maneno hayo kwa nia hiyo hiyo ya kuwa yeye siyo mwaafrika.
 
zuma is another disaster after HIV/AIDS in southern saharan desert.
 
Akihutubia mkutano wa ANC jimbo la Guateng rais Zuma alisema:

"We can’t think like Africans, in Africa,
generally. We are in Johannesburg, this is
Johannesburg. It's not some national road in Malawi"

Wadau mnaonaje kauli hii tata ya Rais Zuma?

Source: Allafrican news
Huyu bwana Zuma wachambuzi wanasema ndiyo aliyehamasisha vurugu za SA zilizokuwa zimelenga kuwasulubu waafrika wa nchi nyingine waishio pale SA .Hii aliifanya makusudi kupitia makamanda wake ili kuwapumbaza wa-SA(weusi ) wanakabiliwa na hali ngumu ya maisha ukilinganisha na wazungu kutokana na sera mbovu za ANC . SO KAULI HIZI SIWEZI KUSHANGAA ZIKITOKA KINYWANI MWA ZUMA
 
Back
Top Bottom