Tuta sema ukweli hata kama ni mchungu.
Huyu Ndugai anayedai kuwa anajua maana ya kufundwa mbona wakati wa kampeni za 2015 alimpiga fimbo ya kichwani mgombea mwenza hadi akazimia na kulazwa hospitali.
Kitendo hicho cha kishenzi kilitosha kumnyima nafasi ya kuwa spika.
Ndugai lazima afahamu kuwa CHADEMA Ina mamilioni ya wafuasi na kama zitafanywa takwimu huwenda kwa sasa CHADEMA ndicho chama chenye wanachama wengi kuliko chama chochote cha siasa hapa nchini ukiwa ni pamoja na hilo liCCM lake linalomtia kiburi.
Ndugai anamshambulia Mbowe kana kwamba maamuzi ya kuwafurumsha uanachama COVID 19 ulikuwa wa Mbowe na wala sio wa CC ya CHADEMA.
Leo ndo Ndugai ajifanya kuwaonea huruma wanawake kwa sababu tu ameshiriki nao kufanya uharamia wa kisiasa.
Nchi imefikia kuwa sasa inaongozwa kwa matakwa tu ya kakikundi fulani tena bila kujali kuwa tuna Sheria mama inayostahili kuwa mwongozo wetu kama taifa.
Kwa hili la kudharau Sheria za nchi linafaa kukemewa na kila mzalendo wa nchi hii, kwani kwa kuinajisi katiba sio tu kuwa ni kwa kuikomoa CHADEMA Bali Ni dharau kwa Watanzania wote awe CCM au hata chama kingine chochote cha siasa.
Nchi imefikia kuwa kila kiongozi aliye kada wa CCM kuanzia kwa mabalozi wa nyumba kumi hadi Mwenyekiti wa chama Taifa kuwa wao ndio katiba kila wanalo lilisema ndio Sheria ya nchi hii kweli?
Kwa ushauri tu ni kwamba Ndugai atoke hadharani na kuomba msamaha kwa Watanzania kwa yale aliyo yatamka, pia ajue kuwa amekuwa na vijikauli vya hovyo hovyo vingi ambavyo vina ishi ndani ya mioyo ya Watanzania.