Yeye ndiye mwenyewe. Tabia ya watoto ni tabia ya mzazi.Mzembe mkuu katika nchi ni rais, Rais wa nchi huwezi kuwaacha watu wanabagaza katiba katika level hii. Rais tangu ameapishwa yupo kimya mno. Watueleze ni Mgonjwa au alisha wahi mbele ya haki. nchi inapoteza mwelekeo
Wanasheria wetu mko wapi? Mbona Ndugai anavunja katiba waziwazi nanyi mko kimya? Kulikoni?Awamu hii katiba inategemea wanavyotafsiri hawa viongozi wa awamu ya tano.
Yoote haya wanayafanya kwa kujua mahakama zetu haziko huru.
kama raisi hakuna kuguswa ukimalizaMwenzio anakinga ya kutoshtakiwa kwa kuvunja katiba
sure not fairAnatudharau sana Sisi raia! Asifikri hiyo pesa anayotapanya ni ya kwake! Unawalindaje watu waliofukuzwa chama? Yeye asifikri anawakomoa viongozi wa CHADEMA, hiyo shahri dhahri ni matumizi mabaya ya ofisi. Asifikri sisi raia ni wajinga, Hapana Sisi tuna akili zetu!