Dharau za Lema kwa wana Arusha!

Eti lemahapigi kampeni Arusha na kuamini kuwa ushindi wa madiwani ni sawasawa na ushindi wake.

Hii ni dharau kwa watu wa Arusha na kuhisi kuwa watu wa Arusha hawajitambui.

Ukweli ni kwamba Arusha inachagua maendeleo na sio vurugu.

tena tuna hasira safari hii tutawapiga kipigo kibaya qasenge nyie...
 
Eti lemahapigi kampeni Arusha na kuamini kuwa ushindi wa madiwani ni sawasawa na ushindi wake.

Hii ni dharau kwa watu wa Arusha na kuhisi kuwa watu wa Arusha hawajitambui.

Ukweli ni kwamba Arusha inachagua maendeleo na sio vurugu.

we ndo unafikiri hivyo ila hali ndo hiyo hata angelala tu nyumbani angepigiwa kura we uko mtaa wa ufipa dar unawasemea waarusha unadhani wakwere wenzio wale?
 
ulitaka akuletee maendeleo kitandani?

Polisi ni watumishi wa hali ya chini wasio na elimu wala kipato cha maana. Hawaelewi kutetewa wanajikomba kwa ccm. Sasa hapa arusha ccm out bado kata moja. Wajitayarishe kwenda shule wewe ukiwepo maana mtaji wenu wa ujinga ni mzigo hapa arusha lazima tuutue

tulimtaka asifanye kampeni kwa kiasi fulani amesikia

we ndondocha una elimu gani?
Siku uki rwafi usiende polisi nenda chuo kikuu ukapatiwe pf3 na msaada wowote kisheria :)maku wewe
 
Eti lemahapigi kampeni Arusha na kuamini kuwa ushindi wa madiwani ni sawasawa na ushindi wake.

Hii ni dharau kwa watu wa Arusha na kuhisi kuwa watu wa Arusha hawajitambui.

Ukweli ni kwamba Arusha inachagua maendeleo na sio vurugu.

Sasa unalia nini.
Kampeni hapg na atashnda kwa kshndo..
 
Tunamuitaji lema,tunafanya kampeni usiku na mchana.,Arusha hatumtaki monabangi,kwanza ndiye aliyekuwa akisambaza hela feki hapa arusha,alikamatwa na mashine ys kutengenezea hizo hela.kataifisha eneo letu la reli Arusha.
 
Eti lemahapigi kampeni Arusha na kuamini kuwa ushindi wa madiwani ni sawasawa na ushindi wake.

Hii ni dharau kwa watu wa Arusha na kuhisi kuwa watu wa Arusha hawajitambui.

Ukweli ni kwamba Arusha inachagua maendeleo na sio vurugu.
Siyo vizuri kujipa majina ya ajabu ajabu, mara shida, chausiku nk. Jina huwakilisha identity ya mtu, nakushauri ubadilishe jina!
 
Lema hajaleta maendeleo yoyote Arusha zaidi ya vurugu!

Na sasa hivi anaendelea kuprovoke polisi...mwenendo huu hauna manufaa kwa watu wa Arusha.

Ukombozi wa Taifa la Tanzania kutoka tulipo chimbuko litakuwa Arusha mark My words and Time will Tell.
 
jingalao nakuhakikishia monabana awezi pata ata nusu ya kura za lema na Arusha itawaongezea chadema kiti maalum bungeni tupo hapa ata aende nani lazima lema ashinde kwa kishindo ccm nendeni wote na marais wote wanne lema ndio mbunge
 
Last edited by a moderator:
Eti Lema hapigi kampeni Arusha na kuamini kuwa ushindi wa madiwani ni sawa sawa na ushindi wake.

Hii ni dharau kwa watu wa Arusha na kuhisi kuwa watu wa Arusha hawajitambui.

Ukweli ni kwamba Arusha inachagua maendeleo na sio vurugu.

kweli wewe jingalao
 
Mbunge wetu mavuruguu kwa kipindi cha miaka mitano ni kizungukia selo tu hana cha maana alichofanya zaid ya kupoteza umaaruf wa jiji la arusha, tangia lema awe Mbunge watalii wote saiv wanapitia njia zingine arusha utalii umesambaratika . watu hawapend vurugu za viroba...maendeleo alofanya ni kutoka darajambili na kuhamia njiro.😠😠😠😠😠
 
Back
Top Bottom