Eti Lema hapigi kampeni Arusha na kuamini kuwa ushindi wa madiwani ni sawa sawa na ushindi wake.
Hii ni dharau kwa watu wa Arusha na kuhisi kuwa watu wa Arusha hawajitambui.
Ukweli ni kwamba Arusha inachagua maendeleo na sio vurugu.
Lema bado ana nafasi kubwa sana ya kuchukua jimbo la Arusha. Anachotakiwa ni kuhamasisha tu vijana wajitokeze kupiga kura. Maana wengi walikata tamaa baada ya MAGUFULI kutangazwa mshindi ingawa wao walimchagua Lowassa. Na kwa kazi hii ya uhamasishaji tunatakiwa kufanya naye! CCM ifutike kabisa Arusha! Bendera ya CCM inatakiwa kuwekwa Makumbusho!
Lema hajaleta maendeleo yoyote Arusha zaidi ya vurugu!
Na sasa hivi anaendelea kuprovoke polisi...mwenendo huu hauna manufaa kwa watu wa Arusha.
Acha kukariri.Kutwa ulikua unamtukana na kumsema vibaya lema. Ulisema lema kasababisha hadi utalii uyumbe Arusha.
Duuh "mwanangu kua uyaone"
kweli arusha tunayataka hayo maendeleo na maendeleo pasipo lema hakunaga lema watetemeshe watu hawapati usingizi kwa ajili yako arusha kura zako baba