Zanzibar-Nyamwezi,
Kwahiyo kumbe munakubali kabisa kama ASP kiliasisiwa na Watanganyika akina Mwalimu Nyerere?
Kwahiyo kumbe munakubali kabisa kama ASP kiliasisiwa na Watanganyika akina Mwalimu Nyerere?
Wanzanzibari Waafrika (wazanzibari weusi) wote ni ndugu zangu wa damu
Kamwe sitakubali kutengwa nao (kwa kuvunja muungano)
Kwani kuna ubaya gani mkuuKwahiyo kumbe munakubali kabisa kama ASP kiliasisiwa na Watanganyika akina Mwalimu Nyerere?
Enzi zile za ukoloni mkuu mbona hiyo ilikuwa ni vizuri sana, sio kusaidia kuanzisha chama tu, ilikuwa pia kusaidia silaha za kivita, mbinu za kupigana, fedha n.k, ilikuwa Pan Africanism hiyo.Kuanzisha chama cha siasa ndani ya nchi ya watu hujauona ubaya hapo?
enzi zile za ukoloni mkuu mbona hiyo ilikuwa ni vizuri sana, sio kusaidia kuanzisha chama tu, ilikuwa pia kusaidia silaha za kivita, mbinu za kupigana, fedha n.k, ilikuwa pan africanism hiyo
Hata bila ASP kuanzishwa, utawala wa Sultan ulikuwa unakwenda kuondoshwa. Ngumu sana minority kutawala majority milele. Hata Kagame na ujanjaujanja wake huko Rwanda ipo siku atang'olewa.Bado haihalalishi kuingia nchini mwawatu na kufanya uchochezi na ufisadi. Kama misaada ya kivita na silaha mpaka leo nchi zote zenye uasi Africa basi waasi wanapata sapoti kutoka nchi za jirani nayo pia tuite Pan Africanism?
Kaisome vizuri Historia ya ASP mkuu utagundua kama chama kilikua kikiendeshwa na Nyerere nyuma ya pazia.
Mapinduzi ya 64 yalifanywa na nyerere nyuma ya pazia.
Nabaadae akitimiza lengo lake la kuitawala Zanzibar.
Migogoro mikubwa ya chama yote Mwalim Nyerere alikua anamkono wake ndani yake.
Mgogoro wa Ameir Tajo 57-59
Mgogoro wa Mohammed Shamte 59-60
Mgogoro wa Othman Sharif 62-63
Shamte na Tajo walifika kuhama na kufukuzwa chama sababu ya kuhoji na kushindwa kukubali involvement ya Nyerere ndani ya Chama.
Nyerere ndie Aliempa Karume Uongozi wa Chama
Na Nyerere ndie aliemueka Karume KIongozi wa Zanzibar baada ya Mapinduzi.
SI Zanzibar tu Nyerere pia alifanya chokochoko sana kwenye nchi nyengine kama Uganda na DRC
Si nimesema enzi za ukoloni? Sasa hivi haitakiwi kuingilia siasa za nchi nyingine sababu nchi zipo hurubba hakuna anayepigania uhuru tena.Bado haihalalishi kuingia nchini mwawatu na kufanya uchochezi na ufisadi. Kama misaada ya kivita na silaha mpaka leo nchi zote zenye uasi Africa basi waasi wanapata sapoti kutoka nchi za jirani nayo pia tuite Pan Africanism?
Kaisome vizuri Historia ya ASP mkuu utagundua kama chama kilikua kikiendeshwa na Nyerere nyuma ya pazia.
Mapinduzi ya 64 yalifanywa na nyerere nyuma ya pazia.
Nabaadae akitimiza lengo lake la kuitawala Zanzibar.
Migogoro mikubwa ya chama yote Mwalim Nyerere alikua anamkono wake ndani yake.
Mgogoro wa Ameir Tajo 57-59
Mgogoro wa Mohammed Shamte 59-60
Mgogoro wa Othman Sharif 62-63
Shamte na Tajo walifika kuhama na kufukuzwa chama sababu ya kuhoji na kushindwa kukubali involvement ya Nyerere ndani ya Chama.
Nyerere ndie Aliempa Karume Uongozi wa Chama
Na Nyerere ndie aliemueka Karume KIongozi wa Zanzibar baada ya Mapinduzi.
SI Zanzibar tu Nyerere pia alifanya chokochoko sana kwenye nchi nyengine kama Uganda na DRC
Si nimesema enzi za ukoloni? Sasa hivi haitakiwi kuingilia siasa za nchi nyingine sababu nchi zipo hurubba hakuna anayepigania uhuru tena
Nyerere mbona alisaidia sana nchi za kusini mwa Afrika na vyama vyao vya kudai uhuru kama ZANU, ANC, FRELIMO n.k au na huko pia alikosea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata bila ASP kuanzishwa, utawala wa Sultan ulikuwa unakwenda kuondoshwa. Ngumu sana minority kutawala majority milele. Hata Kagame na ujanjaujanja wake huko Rwanda ipo siku atang'olewa.
Kwa hiyo ya Zanzibar umekubali alikuwa sahihi sio?Nyerere pia aliwahifadhi na kuwasaidia akina Kabila na Milton Obote pia walikuwa wadai uhuru?
Jua kutafautisha kati ya kusaidia na kuingilia.
Kati ya hivyo vyama kimoja kilikuwa proxy ya utawala wa Sultan. You should know that.Sasa hapo Sultan kahusika wapi?
Mapambanio ya Zanzibar yalikua ni baina ya ZNP na ASP mkuu. katafute data za uchaguzi za miaka ya 60 mkuu.
Kati ya hivyo vyama kimoja kilikuwa proxy ya utawala wa Sultan. You should know that.
Kwa hiyo ya Zanzibar umekubali alikuwa sahihi sio?
Hawa Umma Party ndio waliosababisha Muungano nasikia... Maana Babu alikuwa tishio sana kwa Karume na alikuwa akiungwa mkono na China.Hata ASP walikua wakijulikana kama pro Sultan kabla ya mapinduzi. Chama pekee kilochojitangaza wazi kuwa hawasapoti Usultani kilikuwa ni Umma Party.
Hayo ni uongo mtupu.Usiseme dharau, sema kuwafanya watumwa, kuwabaka mama, mababa, watoto wadogo wawe wa kike au kiume, kuwauwa na kuwazika chini ya majengo, sasa linganisha na fadhila za vinyago..
Sister, kwamba ni uongo kuhusu UTUMWA!? Sijaelewa, please fafanua. Karibu sana jukwaani sister, mwendazake alikupoteza kabisa and we missed you for about 6 years.Hayo ni uongo mtupu.
Mhuuu mataga...Mbona huzungumziii vifo vya Kibiti, wale wa CHADEMA waliouwawa kwa mazingira tata, huzungumzii hizo maiti kwanini ndugu wa marehemu hawajaja kusema wamepotelewa na ndugu zao, huzungumzii wale marehemu wahamiaji ambao hata madereva husika wamekiri kutupa maiti zao baharini kwenye mito n.k. Wala huzungumzii makada na viongozi wa chama tawala waliofariki kwa mazingira tata?! Tusiwe na double standard, kifo ni kifo.
Kuhusu kushambuliwa kwa marisasi, waliopatwa na haya majanga mpaka leo wamekataa kuleta wahusika ili upepelezi uwe kamilifu, tujiulize kwanini!
It makes sense kama Nyerere alipindia serekekali halali ya Zanzibar. Sio wakwezi ni watanganyika ndio wamepindua na kuanza kuitawala Zanzibar. Inafanana kidogo na Izrael.1957 kabla ya kuunda chama cha ASP, Mwalimu Nyerere aliwasihi sana Waarabu Zanzibar wawaruhusu Waafrika kupiga kura, walipokataa aliwaonya kuwa that was the last chance.
Usiku huohuo akaanza vikao Rahaleo Mjini Zanzibar, kuanzisha ASP akiongozana na Mtemvu katibu wa TANU, Karume akakataa Uenyekiti wa ASP akiogopa kuuliwa na alidai ana mke na watoto wadogo, Mwalimu alimuweza alipomwambia chochote kitacho kutokea basi Mimi kama tulivyoshibana niamini wanao hawatopata shida nitawachukua.
Hapo ndio mwanzo wa Mapinduzi. Silaha alizileta mwalimu toka Algeria. (Simulizi za Sheikh Ali Muhsin Bin Barwani YouTube)