Dharau ya Waarabu kwa Waafrika Zanzibar, kumbe Mwalimu Nyerere 1957 aliwaonya kwanza kabla ya kuanzisha ASP

Kwa upande wa ZNZ ktk kura Uraisi wa muungano EL alimshinda JPM.

Ndiyo maana wapo wanaoamini kwamba CUF na Maalim Seif walishinda uchaguzi wa ZNZ ili wakadhulumiwa.

Sure nakubaliana na Hao wanao amini kuwa Malim Seif na CUF ameshinda.

Wewe unategemea nini kutoka kwa kiongozi wa CCM. Kwamba akubali kuwa CUF imeshinda ili kuwe na serikali halisi mbili? Hiyo sahau! Hawa jamaa wa CCM unawajua tena hawataki kushindwa. Ku-force mambo ndiyo nyumbani.

Hiyo mbona inajulikana? Generation iliyo lelewa na Nyerere mbona ni shida sana! Hatujui kutatua matatizo kidemokrasia. Ubabe lazima utumike. Hatujajifunza kingine. Tumelelewa hivyo na tutabaki hivyo na ndiyo maana tukipewa madaraka ya kuongoza ofisi unafikiri ndiyo yetu na kujiona sisi ndiyo watemi. Labda kidogo sisi tulio watembelea na kuishi na wazungu kidogo tunaweza sema tuna mwamko mwingine.
 
Shule wanapotosha vitu vingi sana tu hata historia ya mapinduzi ni tofauti na uhalisia wake hata sababu za vita ya uganda ni tofauti na tulizofundishwa shuleni!!! Hivi vitabu vya shule za kibongo sio reliable kabisa

Unajua wajerumani walichinja waafrika wangapi?? Why hamuwekei chuki hivi??

Kwa hiyo unataka kutuambia hata wazee wetu waliyokuwa wanasimulia mateso ya waarab ni waongo? Waarab hawajaanza kutesa mababu zetu tu hapa Tanzania, walianzia Afrika ya Kaskazini karne ya 6 baada ya kifo cha Muhammad. Walivamia kule na kuanza kulazimisha watu kuwa waislam, waliokataa walichinjwa na kufanyiwa ukatili wa hajabu....waliobakia wakakimbilia kusini mwa jangwa la Sahara na kuwaacha waarab huko wakizaliana mpaka leo hii. History is never changed, sema tu watu hawapendi kusikia ukweli.
 
Baada ya kukosa kusoma historia wakati nipo sekondari; nikajitahidi sana kuisoma baada ya kuingia mtaani!!

Nikiri elimu ya kuipata kiujanja ujanja mtaani haiwezi kulingana na elimu itolewayo na magwiji darasani!

Kupitia hii soma yangu ya kuunga unga; ckufanikiwa kupata mabuku au japo kakurasa kalikosema Uislam uliletwa Africa, au angalau Tanganyika kwa njia ya upanga!!

Unaonaje basi ukitoa darsa kwa sie maamuma kutuelimisha jinsi tulivyokuwa tunauawa na Waarabu wakati tunaletewa hiyo dini ya kigeni!

It's a long story ila nasikitika kama kweli hujasoma historia ya nchi yako na Afrika kwa ujumla. Afrika ina long history sana na ya kujivunia. Waarab walianza kuingia hapa kwetu Afrika karne ya 6 baada ya kifo cha Mohammad, walianza na Afrika ya Kaskazini. Kule walilazimisha watu kuwa waislam na waliokataa waliuliwa na kuteswa...wengi wakakimbilia kusini mwa jangwa la Sahara katika nchi za Tchad, Mauritania, Mali, na kaskazini mwa Nigeria. Nikianza kukusimulia kiundani utalia na kujilipua.
 
Hahaa!! Naona na wewe hivi sasa umekuwa mzee wa kubadilisha gia angani sawa na Kamanda Mbowe!

Binafsi, historia yangu ya kuokoteza inanionesha kwa mara ya kwanza Waislam kuingia Afrika walikuwa ni companions wa Mtume Muhammad!

Na ni Mtume Muhammad mwenyewe ndie alifanikisha washirika wake hao kuingia Afrika; to be specific ni Abyssinia, yaani Ethiopia ya leo!

Hivyo, Waarabu wa kwanza kabisa waliingia Afrika na Uislamu wao wakati Mtume Muhammad angali hai!

Hawa hawakuingia Abyssinia kwa shari kwa sababu walikuja kutafuta hifadhi! Isitoshe walikuwa wachache ambao hata kama wangetaka kusimika Uislamu kwa upanga hapo Ethiopia bado wasingeweza!

Sana sana, historia ya kidunia na hata ile ya kiimani inaonesha baadae Mfalme wa eneo hilo alisilimu kwa ridhaa yake licha ya maadui wa Muhammad kuingia hapo Ethiopia na kupiga jungu na fitina ili Muhammad's companions warejeshwe Mecca!

Hata hivyo nakubali Uislamu North Africa uliingia by conquering North African states!

But let's be honest bhana! Hivi ndivyo ulisema:
Mwarab hawezi kumthamini mwafrika hata siku moja
Hivi kabisa unaamini "Mwafrika" wa Afrika ya Kaskazini hathaminiwi na Mwarabu? Huyo Mwafrika wa Kaskazini ni "kabila" gani hata asithaminiwe na Mwarabu?

Mimi siwezi kujilipua eti kisa tu Waarabu wenyewe kwa wenyewe walikuwa wanalazimishana Uislamu kwa upanga!
 
Kwa hiyo unataka kutuambia hata wazee wetu waliyokuwa wanasimulia mateso ya waarab ni waongo? Waarab hawajaanza kutesa mababu zetu tu hapa Tanzania, walianzia Afrika ya Kaskazini karne ya 6 baada ya kifo cha Muhammad. Walivamia kule na kuanza kulazimisha watu kuwa waislam, waliokataa walichinjwa na kufanyiwa ukatili wa hajabu....waliobakia wakakimbilia kusini mwa jangwa la Sahara na kuwaacha waarab huko wakizaliana mpaka leo hii. History is never changed, sema tu watu hawapendi kusikia ukweli.
Hoja ya zitto junior ipo wazi na inaeleweka sana hata kama unajifanya hujamwelewa!

Kimsingi hapingi uovu wa Waarabu bali anachosema ni kwamba, historia yetu imepotoshwa sana!

Kwa upande wa wavamizi wa kigeni, historia yetu imetufundisha kumchukia Mwarabu lakini haikufanya hivyo kwa mzungu wakati wote hawa walikuwa ni washenzi tu!

Tunafundishwa ukatili wa Mwarabu kuuza Watumwa lakini hatufundishwi ukatili wa mzungu kununua Watumwa na kuwasafirisha hadi Caribbean na South America!

Wanatufundisha jinsi "Wamisionari" waliyokuwa wema na kutuokoa Waafrika kutokana na unyama wa Waarabu kwenye utumwa na kutuficha ukweli kwamba, wale waliokuja Africa as missionaries miongoni mwao wengine hawakuwa na upako wowote wa kiroho bali walikuwa ni majasusi tu wa kikoloni ambao walikata shauri la ku-shift production sites to Africa na ili kufanikisha hilo ni lazima upige marufuku biashara ya utumwa so as to stop labor movement outside Africa!

Kwa watu kama mimi ambao shuleni waliishia kusoma history at junior level wanaweza kudhani ni Waarabu pekee ndio walifanya slave trade in Africa kumbe dah!! Wazungu na wenyewe kumbe walikuwa big slave traders!!
 
Hivi unajua Wajerumani walipovamia Afrika walipokuwa namibia waliteketeza karibia jamii nzima ya herero yaani risasi kila kona na visima wakavitia sumu ila sijaona mkiweka chuki na wajerumani kiasi hicho

Kuhusu hao waarab wa kaskazini mbona mnasahau hata kanisa nalo lilikuwa na crusade lilivamia nchi nyingi tu za ulaya mashariki kma polanda bosnia cjui lithuania kuwalazimisha wabadili dini na wakachoma moto miji yote iliokataa .... Walivamia hata mashariki ya kati kueneza dini tokea kipindi cha byzantine empire ila sijaona mkiongelea but mnaongelea tu crusade za waislam tu kana kwamba kilikua kitu kipya?

Ukoloni ulikuwa dunia nzima hivyo sio hoja kusema waarabu ndio wakatili ilihali hapa tanganyika wakina mkwawa walifanyiwa unyama na wazungu ila mnasahau but hasira zote zinaishia kwa waarabu wa zenji this is not fair
 
Wazungu na waarabu wote washenzi tu. Ila waarabu ushenzi wao umezidi. Mwarabu mpaka leo anaona mweusi yupo chin yake. Matukio mengi ya kikatili yanafanywa na waarabu Leo kuliko wazungu, mf: watu weusi kuburuzwa nyuma ya magari UAE kwasababu ya wizi wa pesa, wadada weusi wajakazi kung'olewa meno, wajakazi weusi kutupwa kutoka kwenye majengo marefu. Kibaya ni kwamba haya yote yanafanyika na serikali inajua.

Mwaka 2009 Issa bin Zayed Nayhan wa ukoo wa kifalme alirjirekodi akimtesa mtu kwa shoti za umeme na kumkanyaga na gari zaidi ya mara moja jamaa wa haki za binadamu wakapiga kelele akapelekwa mahakamani lakini kesi ilifutwa. Wazungu hasa wajerumani wana roho mbaya na ni washenzi ila waarabu wamezidi.

Mimi ni muislam nimekaa na waarabu wa Oman, waafrika wengi waislam tunashindwa kuwasema vibaya waarabu kwasababu wana sura mbili. Waarabu ni matajiri, sasa anakutukanaa na kukulisha makombo lakini akifika msikitini anajitoa kweli kweli kwa ajili ya dini. Unashindwa kumsema vibaya kwasababu dini inaku-compel umsifie tu.

Nasisi waafrika tuna matatizo sana, tuna tabia ya kujikomba. Yani tungesimama wenyewe tu hao wazungu na waarabu wangejifanyia roho mbaya wenyewe. Kilamtu anajua kua wazungu ni wabaguzi lakini bado tunajikomba. Kila MTU anajua mwarabu ni mnyanyapaa lakini bado tunajikomba. Si ajabu hapa kuna watu marafiki zao waarabu wanatesa waafrika lakini kwasababu ya urafiki tu wanatetea waarabu.
 
Hoja ya zitto junior ipo wazi na inaeleweka sana hata kama unajifanya hujamwelewa!

Kimsingi hapingi uovu wa Waarabu bali anachosema ni kwamba, historia yetu imepotoshwa sana!

Kwa upande wa wavamizi wa kigeni, historia yetu imetufundisha kumchukia Mwarabu lakini haikufanya hivyo kwa mzungu wakati wote hawa walikuwa ni washenzi tu!

Tunafundishwa ukatili wa Mwarabu kuuza Watumwa lakini hatufundishwi ukatili wa mzungu kununua Watumwa na kuwasafirisha hadi Caribbean na South America!

Wanatufundisha jinsi "Wamisionari" waliyokuwa wema na kutuokoa Waafrika kutokana na unyama wa Waarabu kwenye utumwa na kutuficha ukweli kwamba, wale waliokuja Africa as missionaries miongoni mwao wengine hawakuwa na upako wowote wa kiroho bali walikuwa ni majasusi tu wa kikoloni ambao walikata shauri la ku-shift production sites to Africa na ili kufanikisha hilo ni lazima upige marufuku biashara ya utumwa so as to stop labor movement outside Africa!

Kwa watu kama mimi ambao shuleni waliishia kusoma history at junior level wanaweza kudhani ni Waarabu pekee ndio walifanya slave trade in Africa kumbe dah!! Wazungu na wenyewe kumbe walikuwa big slave traders!!

Umeongea point nzuri sana na ubarikiwe. I love your thinking, na ndiyo maana mimi sipendi hizi dini za kuletewa na hawa watu (waarab na wazungu) bcs kila mmoja wao alikuwa na bad intention kwetu. Historia imenifunza mengi sana na ninajivunia kubahatika kukutana na Prof. Ali Mazrui na kunifundisha historia mpaka nikalia na kujuta. Ubarikiwe.
 
Tatizo lako zitto junior (Zitto Kabwe) hasira zimekutawala tu baada ya kukimbiwa na wanachama wako. Nani aliyekuambia wazungu walileta crusades hapa Afrika kuja kubadilisha watu dini kwa LAZIMA? Wazungu walifanya yale kwa wenzao huko Ulaya and we have nothing to do with it as it is not part of our African history but European history. Hapa tunaongelea waarab crusade in North Afrika, for your info...it is an African history and part of you. Wazungu waliua sana mababu zetu but not to an extent walivyofanya waarab. Waarab used to kill us for fun.
 
Kwanza zitto junior sio zitto hizo ni ID mbili tofauti so hayo ya zitto kabwe hayanihusu

Unachopaswa kujua kufikia miaka ambayo wakristo wameanza kusambaza ukristo kwa mapanga yani 1095 AD walianzia kwanza ulaya na mashariki ya kati ila baada ya vipigo mashariki ya kati ndio hyo ndoto ikafia hapo ila kma wangeikamata mashariki ya kati obvious wangekuja na africa hivyo sio kama hawakutaka ila WALITANDIKWA na waislam ndio maana ndoto yao ya kusambaza dini kwa upanga Africa ikaishia hapo!!!

Hoja hapa ni kwamba wazungu wakristo walichinja watumwa wengi tu na walitufanya tuishi maisha ya shida kabisa nachoshangaa kwanini mnaongelea waarabu as if ndio wa kwanza kufanya ukoloni na kutesa watu...... Wote tu walifanya madhambi kwa watumwa sasa why mshikie bango la waarabu mnasahau masaibu ya wazungu?? Hivi unajua mussolini alichinja waafrika wangapi kule ethiopia?? Unajua wajerumani wameua watu wangapi namibia ???

Tuache BIAS wote tu walifanya makosa hivyo sioni haja ya kuweka mahaba ya dini both arabs na wazungu walitutesa sana ila haya mambo ya kuwasema waarabu kisa wwe ni mkristo au kuwasema wazungu kisa wwe muislam hayatusaidii kabisa
 
Kumbe hujuwi historia yako. Yes, waarab ndo wa kwanza kutesa waafrika....wazungu walikuja baadaye. Waarab walianza toka karne ya 6 (658 AD) baada ya kifo cha mtume wao Mohammed.
 
Nimeshakwambia wazungu walitaka kufika Africa ila walizuiwa na Waislam mashariki ya kati otherwise crusade zingefika mpaka misri na north africa nzima!!! Sasa tunabishana nini.

Anyway ukweli ni kwamba wazungu na waarabu wote walitutesa hivyo usiseme mmoja ni mbaya kuliko mwingine maana wote ni WALEWALE !! Wazungu walitutesa sana ila kwakuwa historia wanaandika wao vingine mnafichwa mnaaminishwa waarab ndio wabaya

Mfano utaskia Arab slave trade ila ya kwao wanaiita Trans Atlantic slave trade....
 
Usihangaike sana kumuelewesha huyo kondoo, hatokuelewa. "Asiyejua maana usimwambie maana "
 
Nimeshakwambia wazungu walitaka kufika africa ila walizuiwa na Waislam mashariki ya kati otherwise crusade zingefika mpaka misri na north africa nzima!!! Sasa tunabishana nini....

Anyway ukweli ni kwamba wazungu na waarabu wote walitutesa hivyo usiseme mmoja ni mbaya kuliko mwingine maana wote ni WALEWALE !! Wazungu walitutesa sana ila kwakuwa historia wanaandika wao vingine mnafichwa mnaaminishwa waarab ndio wabaya

Mfano utaskia Arab slave trade ila ya kwao wanaiita Trans Atlantic slave trade....
Huyu jamaa mbongo_halisi sidhani hata kama anaijua historia ya kweli au anajua historia ya kupikwa inayofundishwa mashuleni na pale kanisani mkunazini Zanzibar!!!!!

Anasahau kuwa waarabu wa mwanzo kabisa waliingia East africa kwa malengo ya biashara kwa kutumia PEPO ZA MSIMU (MONSOON WIND) kuja na kurudi kwao.

Waarabu walianza kutawala baadhi ya nchi za Africa baada ya kuombwa na wenyeji kufanya hivyo, na hii ni baada ya kuombwa msaada na wenyeji kumfurushia mbali mtawala katili wa KIRENO, mtawala ambae kwa Zanzibar alitawala kwa zaidi ya miaka 200.

Hata linapokuja suala la utumwa basi nakumbuka kilifinyika kikao cha mataifa ya kiafrica Durban south Africa na wakaja na azimio linalowataka Europe na America iwaombe radhi na kuwalipa fidia waafrica kwa kuwafanya watumwa!!! (CNN.com - Africa calls for slavery apology - September 1, 2001)

Hivyo historia yetu inatakiwa iwe inataja UOVU NA WEMA wa kila mgeni alikuja kututawala waafrica.
 
Wazungu na waarabu wote washenzi tu. Ila waarabu ushenzi wao umezidi. Mwarabu mpaka leo anaona mweusi yupo chin yake. Matukio mengi ya kikatili yanafanywa na waarabu Leo kuliko wazungu, mf: watu weusi kuburuzwa nyuma ya magari UAE kwasababu ya wizi wa pesa, wadada weusi wajakazi kung'olewa meno, wajakazi weusi kutupwa kutoka kwenye majengo marefu. Kibaya ni kwamba haya yote yanafanyika na serikali inajua. Mwaka 2009 Issa bin Zayed Nayhan wa ukoo wa kifalme alirjirekodi akimtesa mtu kwa shoti za umeme na kumkanyaga na gari zaidi ya mara moja jamaa wa haki za binadamu wakapiga kelele akapelekwa mahakamani lakini kesi ilifutwa. Wazungu hasa wajerumani wana roho mbaya na ni washenzi ila waarabu wamezidi. Mimi ni muislam nimekaa na waarabu wa Oman, waafrika wengi waislam tunashindwa kuwasema vibaya waarabu kwasababu wana sura mbili. Waarabu ni matajiri, sasa anakutukanaa na kukulisha makombo lakini akifika msikitini anajitoa kweli kweli kwa ajili ya dini. Unashindwa kumsema vibaya kwasababu dini inaku-compel umsifie tu.

Nasisi waafrika tuna matatizo sana, tuna tabia ya kujikomba. Yani tungesimama wenyewe tu hao wazungu na waarabu wangejifanyia roho mbaya wenyewe. Kilamtu anajua kua wazungu ni wabaguzi lakini bado tunajikomba. Kila MTU anajua mwarabu ni mnyanyapaa lakini bado tunajikomba. Si ajabu hapa kuna watu marafiki zao waarabu wanatesa waafrika lakini kwasababu ya urafiki tu wanatetea waarabu.
Mkuu vipi kuhusu mauaji ya Albino na vikongwe wanaotuhumiwa kwa mambo ya kishirikina huo sio ukatili? Vipi kuhusu vibaka wanaochomwa moto mitaani bila kufikishwa mahakamani,huo sio ukatili?
 
Back
Top Bottom