Mm ugeninii nilikutana nakulaa tundaa kimasihara mkuuu na vile nilikuwa na uchovu wa safari mix upwiru aiseΓ© yule mtt wa mwenyeji wangu alijua kunifurahishaaπ€π€Wewe ulikumbana na nini ugenini?
Huu Uzi ni Kwa wasio na Hela tu wataujibu vizuri maana dharau huwa zinawafuata hata mijusi ikikaa juu ya mti inawadondokea Kwa dhar
π π πNilienda nyumba moja uko kusaidia kazi coz walkua na mtoto mdogo,,, uuuuweeeeh dada mkubwa alporud toka shule kunkuta anaulza eti huyu ni house girl wetuπ°
YesKuna principle moja naona ni nzuri, ukiitumia ndani kwako inaweza kupunguza matatizo madogo.
Akitaka kuja ndugu yangu, ampigie wife kumwambia anategemea kuja, mimi hata asiponiambia akanishukiza sina shida, ila wife ajue mapema...inapunguza maneno.
Na huyu mgeni alikula chakula hapo kweli?. Kwanini hajaondoka tuMwenye Shangazi yake akakaa Kimya na kuendelea kumwandalia mgeni Chakula.
Anaeleza kuwa hakujisilia vizuri.
πππHuu Uzi ni Kwa wasio na Hela tu wataujibu vizuri maana dharau huwa zinawafuata hata mijusi ikikaa juu ya mti inawadondokea Kwa dharau
Yaan kivipi?mim mkeo si ndugu yangu nampigiaje?Kuna principle moja naona ni nzuri, ukiitumia ndani kwako inaweza kupunguza matatizo madogo.
Akitaka kuja ndugu yangu, ampigie wife kumwambia anategemea kuja, mimi hata asiponiambia akanishukiza sina shida, ila wife ajue mapema...inapunguza maneno.