JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,327
- 9,330
Watu wengi huaminishana kwamba eti kwa sababu mtu fulani alikufungia GPS tracker kwenye gari basi mtu huyo anao uwezo wa kujua gari lako lipo wapi na hivyo anaweza kuja kuliiba. Kiukweli mimi nipo against na hii dhana. Naichukulia kama dhana ya mtu aisiyejua jinsi gos tracker zinavyofanya kazi.
Labda tu niseme kitu kimoja, GPS tracker nyingi ninazozifahamu zinatumia laini ya simu.
Na ili mtu aweze kupata location ya gari kuna namna mbili tu
1. Kwa kutumia message commands.
Hii ni njia ambayo unaitumia message laini ya simu ambayo ipo ndani ya GPS tracker na yenyewe inakujibu kulingana na ulichoiuliza.
Ukitumia njia hii ni lazima uset admin/binding number yaani namba ambayo itakuwa inawasiliana na hiyo GPS na kwa maana hiyo ukituma message kwa namba nyingine haitorespond unless uset tena hiyo namba mpya kuwa admin number.
2. Kwa kutumia application za simu.
Njia hii unakuwa na username na password ambazo utazitumia kulog in kwenye tracking app ambayo unakuwa uneinstall kwenye simu yako.
Kiukweli kwa kutumia njia zote mbili ili mtu mwingine yoyote tofauti na wewe aweze kujua location ya gari lako lazima either awe na namba ya simu iliyopo kwenye tracker au awe na username na password unazozitumia wewe kuingia kwenye app.
Pia ni wewe pekee ndio una mandate ya kumpa hizo taarifa au kutompa. Sasa katika mazingira hayo mtu anayekufungia gps tracker anawezaje kujua location ya gari lako? Unless wewe mwenyewe mwenye gari uliamua kumpa hizo taarifa.
Pia kuna exception moja tu, kuna watu akitaka kuuza gari anachonga funguo ya akiba halafu anafunga tracker. Huyu inaweza kuwa ni ngumu kumkwepa kwa kiasi fulani.
USHAURI
Taarifa za laini ya simu yako na username na password ni vizuri ukazikeep private.
Pia siku hizi wizi wa magari umegawanyika makundi mawili, wizi wa gari lenyewe au wizi wa spea za gari.
Kwa wizi wa gari funga GPS tracker moja au zaidi. Lakini kuna option ya pili ambazo iko more advanced hiyo sitaizungumza hapa sababu ni project yangu ya siku za mbeleni.
Kwa wizi wa vifaa vya magari, zipo GPS tracker chip ambazo ni ndogo sana kwa umbo kana kwamba inaweza kufungwa ndani ya Radio, Sidemirrors, Head lights, Tail lights, dashboad, control box n.k. ni ndogo na zinakuwa na Built in battery.
MWISHO
Ninayo GPS tracker moja niliinunua kama sample tu, soma maelezo yake kama uko interested nipigie simu 0621 221 606
1. Fuel Cut off (kukata mafuta hivyo gari kuzima kabla halijafika mbali, ukizima gari haitowaka tena mpaka utakaporestore fuel)
2. Location (inaonesha location kwa accuracy ya juu sana)
3. Geofence (Unaweza kuset gari lako litumike tu ndani ya eneo fulani mfano labda ndani ya Dar, kama mtu akitoka nalo nje ya dar inapiga alarm kwenye simu yako.
4. Unaweza kuset Overspeeding alarm kama mtu anaendesha kwa speed kubwa kuliko uliyoset itapiga alarm.
5. Kuna Shock alarm in case kama mtu amelibamiza gari lako itapiga hiyo alarm
6. Unaweza kuona Routes zote ambazo gari yako imepita kwa siku 180 zilizopita.
7. Ina Built in battery hivyo hata ukizima gari bado inaendelea kuwa active kwa siku kadhaa.
8. Kimuonekano ni ngumu kuitambua kama ni GPS.
9. Utahitaji laini ya simu ili uweze kuitumia.
10. Haina malipo ya kila mwezi.
If interested nipigie 0622 221 606.
Kitu cha mwisho kabisa ambacho nilisahau kukiandika ni kwamba kuiba gari ni kitu rahisi sana.
Steering lock inaweza kuvunjwa kilaini tu pia gari inaweza kuwaka bila funguo.
Kwa gari zenye immobilizer mtu anaweza kuja na funguo kadhaa ambazo zipo blank na akaziprogram (ni kazi isiyozidi dakika 15 tu) mwisho akawasha gari na kuondoka nalo.
Anadisable existing keys na kuprogram new key.