Dhana ya wanawake kuwa "cheap" ni potofu

Dhana ya wanawake kuwa "cheap" ni potofu

Mkuu umekurupuka ..Yan unaonekana hujui vitu vingi ...au labda lengo lako ni upate wachangiaji wengi km ule Uzi wa kimasihara ...mzee endelea kuumiza kichwa uje na Uzi mwingine ..huu wako hautafika hata 500 comments

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni mtizamo wako Mkuu! Kutojua vitu vingi si shida! Because we don't have all the answers! Sijui lazima tujue vingi, vichache tu! Vingine tutavijulia humu, kutoka kwako unaejua vingi, na wengine wanaojua vichache!

Karibu ujielekeze kwenye mjadala, ikiwa ni Pamoja na kutawala hisia zako na kuwavumilia wengine!

Sijaweka ili nipate comments 500, lkn nakupongeza kwa kusoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji109]
umeeleza vizuri sana. Sina hata cha kuongeza. Tatizo la wanaume wanadhani kuwa wanawake wao hawana shida ya kula/kuliwa. Kumbe unaweza kukuta na yeye ametoka anatafuta mtu wa kumla...hala wewe unajichanganya unajidai umekula kimasihara.

We are all equal when it comes to sexual desires.

Halafu hili neno wa sikuhizi nalo ni myth. Unasema wasichana wa siku hizi wako hivi na hivi, wanaume wa siku hizi wako hivi na hivi, vijana wa siku hizi wako hivi na hivi..Je hao wa zamani wewe uliwaona? Ulikuwepo? Kuna dhana imejengeka tu tu kwamba vitu vya zamani vilikuwa bora kitu ambacho si kweli.

Babu yangu ambaye ana 110years huwa ana nisimulia yeye alikuwa akitoka kijijini lwenda mjini anapita vijiji kama vitano hivi. Njiani anatongoza na kula mzigo vichakani instantly. Anasema alikuwa akikutana na mwanamke anaokota kuni au anatoka kuchota maji akiwa peke yake atamla tu kwa maneno matamu. Anasema alikuwa anakula hadi wanawake wa nne per trip.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maoni yako, hii ya mwanamke kuolewa au mwanaume kuoa ni nature au ni mazoea tu ya jamii? Kwamba hata mwanamke anaweza tu kuoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuolewa au kuoa ni nature ya wapi? Ni Mazoea tu! Kuhisi Kama ni nature ndo maana jamii inawaona watu ambao hawajaolew kama wahuni! Tunaanza kuwapachika majina ya kuwaondolea thamani na utu wao kwa kufikir kuwa lazima waolewa! Kisa ni nature, nature ya wapi ya namna hiyo!

Tunaoa kwa sababu jamii imetu-shape hivyo lakini si lazima! Kwani usipooa unathirika nini? Usipoolewa unathirika? Kuoa au kutooa ni maamzi binafsi, it has nothing to do with nature

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...mwanaume mwanaume..mwanamke mwanamke, nyi haeni tu kujifanya muchknow.
This is upon you and you alone. Chagua unapohisi panakufaa madam kuendana na mtizamo wako na namna jamii yako ilivyokutengeneza!

Lakini ukiuliza mtazamo wangu kuhusu ndoa za jinsia moja, nazipinga from A to Z! Ukiniuliza mapenzi kinyume na maumbile, napinga kwa akili na moyo wangu wote! Hii ni kutokana na jamii niliyokulia kunishape against those stuff!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom