Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,389
- 59,150
Tunaendelea kujifunza ahsante kwa elimuMengi uliyoyaandika hapa kwenye hii comment yako sio sahihi. Mfano masculinity ya mwanamme haitokani na makuzi yake, it is naturally there that a man has stronger muscles (musculinity) than a woman. Ila abnormalities huwa zipo pia hata kwenye naturally created things ambapo wanawake kadhaa wanaweza kuonekana wako na strong mascle kama/kuliko wanaume. Ni kama ilivyo kwa ndevu, strong voice, nk.
Hivyo, umedanganya unavyosema "Ukiona jambo limefanyika na jinsia nyingine, ujue hiyo siyo nature! Nature huwa haibadiliki!"
Nature ina anomalies nyingi tu. Watu waume wanazaliwa wana matiti makubwa kuzidi wanawake. Watu wanazaliwa wana jinsia mbili tofauti. Kwa asili (nature) kutokana na hormones/genes wanaume ndiyo wanaota ndevu na kuwa na sauti nzito lakini haya yote utokea kwa baadhi ya wanawake. Hii yote ni kuwa hata nature inakosea na hivyo kukinzana na mambo mengi uliyoyaandika kwenye comment yako.
Sina hakika Kama nimedanganya! Hivi ikitokea mwanamke akawa na ndevu, kama mwanaume, is it nature?Mengi uliyoyaandika hapa kwenye hii comment yako sio sahihi. Mfano masculinity ya mwanamme haitokani na makuzi yake, it is naturally there that a man has stronger muscles (musculinity) than a woman. Ila abnormalities huwa zipo pia hata kwenye naturally created things ambapo wanawake kadhaa wanaweza kuonekana wako na strong mascle kama/kuliko wanaume. Ni kama ilivyo kwa ndevu, strong voice, nk.
Hivyo, umedanganya unavyosema "Ukiona jambo limefanyika na jinsia nyingine, ujue hiyo siyo nature! Nature huwa haibadiliki!"
Nature ina anomalies nyingi tu. Watu waume wanazaliwa wana matiti makubwa kuzidi wanawake. Watu wanazaliwa wana jinsia mbili tofauti. Kwa asili (nature) kutokana na hormones/genes wanaume ndiyo wanaota ndevu na kuwa na sauti nzito lakini haya yote utokea kwa baadhi ya wanawake. Hii yote ni kuwa hata nature inakosea na hivyo kukinzana na mambo mengi uliyoyaandika kwenye comment yako.
Neno "cheap" liko kibiashara (trade = an exchange of goods and services here the service is sex) zaidi. Na kamwe muuzaji au mnunuaji hawezi kuwa cheap. Kinachouzwa ndiyo kinakuwa either cheap au expensive.Ukifuatilia nyuzi nyingi, hasa ule wa kula tunda kimasihara, utagundua kuwa baadhi ya wanaojiita walaji kuwa na dhana ya kwamba wanawake ni cheap ndo maana wanaliwa kwa kile kinachoitwa kimasihara.
Dhana hii ni potofu, kwamba wewe unaekula siyo cheap? U-cheap unaozungumzwa ni dhana tu (stereotype) ambayo inazaliwa kutoka kwenye lugha; kula na kuliwa! Utengamano wa lugha ndo unazalisha upotoshaji huu, wakati ukweli ni kulana! Kama unakula ujue na wew unaliwa! Kama umekula cheaply basi na nawe umeliwa cheaply!
Mtu anasema " Hivi kwa nini Wanawake wa siku hizi mmekuwa 'Cheap' kiasi hiki?" Anauliza hivi akisahau kuwa ndege wafananao ndo wanaruka pamoja! You got her cheaply because you are also cheap!
Lakini pia, kumpata mwanamke kwa urahisi, si lazima awe cheap, is a combination of several factors. Unaweza kuhisi wew ndo umempata cheaply kumbe yeye ndiyo akawa amekupata cheaply.
Unaweza kuhisi umekula kimasihara kumbe wewe ndo umeliwa kimasihara. Lakini kwa kuwa unahisi neno kula ni superior than kuliwa, unajihisi mjanja, na siyo cheap. Wewe pia ni cheap aisee!
Mwanamke ametoka kwao kaenda kukaa bar, anasubiri wanaume cheap, mwanaume cheap unafika unanunua Smirnoff, afu unaenda kulipia lodge mnakulana, nani cheap kati yako na huyo mwanamke?
Dhana ya 'cheapness' inakuja kutokana na socialization na kwamba women are historically and socially disadvantaged but in normal circumstances wao nao kama binadamu wako kwenye mawindo kama tu wanaume walivyo kwenye mawindo, sema mfumo wa jamii ndo unawazingua. So ikitokea amepatikana cheap wake anakukula kimasihara afu wewe naye unakuja kupotosha kuwa umekula kimasihara, wakati wewe ndo umeliwa kimasihara! Eti wewe unajiona uko 'dear' afu yeye yuko 'cheap', hapana!
Mwisho kabisa hakuna mwanamke cheap bila mwanaume cheap. Tusitumie misamiati ya maneno kuwabagaza, huku sisi tukijikweza eti kisa neno "kula na kuliwa" ni kulana tu!
Nawasilisha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Neno "cheap" liko kibiashara (trade = an exchange of goods and services here the service is sex) zaidi. Na kamwe muuzaji au mnunuaji hawezi kuwa cheap. Kinachouzwa ndiyo kinakuwa either cheap au expensive.
Kwa mantiki hii wanaosema "wanawake wa siku hizi wamekuwa cheap" wako sahihi kabisa. Kwa sababu kama mwanaume unaenda sokoni ukiwa na shida ya sex, alafu cheaply mwanamke anakuachia mwili wake. Kwa nini usiseme, nimempata mwanamke cheap (kwa bahati mbaya hapa muuzaji anajiuza mwenyewe, hivyo sawa kusema yuko cheap).
Lakini mnunuaji hapa yeye siyo cheap bali unaweza kusema yeye ni maskini (labda wa akili au fedha) ndiyo maana akaenda kufanya shopping ya wanawake cheap ikiwa na maana wanawake expensive wapo pia ila huyo poor man awawezi ndiyo kakimbilia kwa hao "cheap women".
Mkuu nijuavyo mimi nature (asili) is not "what is expected forever " instead it is anything that is beyond human control. Ndiyo maana tuna natural and woman/manmade things. Anything natural people cannot do anything about it but artificial (human made) things can be altered. Ndiyo maana kuna vitu kama natural catastrophes (majanga ya kiasili) kama matetemeko, mafuliko, nk hatuwezi kuvizuia hata kama hatuvitaki. Hivi hata hayo utasema how do we expect them forever?That's something beyond nature!
Mwanamke akawa na sauti kubwa na nzito Kama mwanaume, is it nature? It's probably beyond nature!
If something goes beyond it's naturality that is another thing, and not nature! Nature is what is expected forever!
Kutofautiana mawazo ndiyo uungwana, ili mwishowe tufikie consensus!Mkuu nijuavyo mimi nature (asili) is not "what is expected forever " instead it is anything that is beyond human control. Ndiyo maana tuna natural and woman/manmade things. Anything natural people cannot do anything about it but artificial (human made) things can be altered. Ndiyo maana kuna vitu kama natural catastrophes (majanga ya kiasili) kama matetemeko, mafuliko, nk hatuwezi kuvizuia hata kama hatuvitaki. Hivi hata hayo utasema how do we expect them forever?
Pia hakuna kitu kama "beyond nature" labda useme beyond our expectations. Hakuna anayeiamrisha nature itende kadri ya matarajio (nature is what is expected forever). Ndiyo maana nikasema "nature anomalies" zipo ikiwa na maana kwamba yote hayo uliyosema bado yapo within nature ila yanatokea beyond human (our) expectations. And our expectations are not nature.
geniusHakuna cha kitu hicho 'nature'! Nature inatengenezwa na jamii! Kinachoitwa Nature ndo kinamtesa mwanamke hadi leo! Kwanza unachokiita nature si nature, ni perception!
Discrimination na oppression is a result of what is so called nature, which is really not nature but myth ambayo pia ni constructed and therefore it can be deconstructed!
Suala la mwanamke kuwa mgumu Kama ni nature nani ameiondoa hiyo nature mpaka waanze kuliwa kimasihara? Kwa mada niliyoisemea, hakuna nature, ni experience!
And mind you, experience is the lowest level of knowledge, inakusaidia kutoa majibu kwa kuangalia Hali ilivyo na si uhalisia!
Utasema mwanaume siwezi kuosha vyombo, kwa sababu nature ni mwanamke ndo anaosha! Nature gani hiyo?
Hakuna nature inayotaka mwanamke awe mgumu wala mwepesi, ila ni mtizamo, na dhana iliyotengenezwa na jamii! Hakuna nature iliyotengeneza mwanaume awe mwepesi! Ni dhana! So don't mix nature and experience!
It's very impossible kwa nature kubadilika! Mfano wa nature ni mwanamke kunyonyesha na kuzaa! Mwanaume kuproduce sperm! Hiyo ndo nature, haibadiliki! Lakn wepesi au ugumu, siyo nature, ni dhana ambayo jamii imetengeneza tu!
Kuchanganya dhana ndo kunatufanya tuje na conclusion za kama hizo! Jambo ambalo ni upotoshaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hatushindani tunaelimishana hivyo kutofautiana hakuna shida yoyote. We are just dabating how you&I perceive on the topic "nature".Kutofautiana mawazo ndiyo uungwana, ili mwishowe tufikie consensus!
Expected forever, maana yangu ni kwamba, iko hivo, na itabaki kuwa ivo!( Nafikir kimombo kiliniponza hapa)!
Unaposema beyond human control, una maanisha kuwa iko hivo, na itakuwa hivo daima! Majanga ya asili yatakuwepo tu!
Anomalies maana yake ni abnormal! Kwa nn imekuwa abnormal, kwa sababu kiasili haiko hivo, that is where anomalies comes!
Kama mwanaume amekuwa na matiti makubwa, hiyo nature anomalies maana yake ni nature abnormal/ity -which means it is not nature when refered to nature! It's abrnomal! Kwa nini iitwe anomalies maana yake naturally hayo matiti makubwa yangekutwa kwa wanawake!
Na kama nature is beyond human control, matiti makubwa kwa mwanaume unawez kucontrol through lab! It's just hormonal issues, so it is controllable! Mtu kuwa na Jinsia mbili, it can be controlled through lab, it's within human control!
Anomalies comes because it has happened against nature! It can be controlled!
Sawa sawa Kiongozi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hatushindani tunaelimishana hivyo kutofautiana hakuna shida yoyote. We are just dabating how you&I perceive on the topic "nature".
Mkuu ujue hata hizo anomalies ziko natural and artificial. Hivyo anomalies are based only on human expectations/definitions but nature has no limit on what it can do. Nature inaweza toa chochote haina cha sijui beyond au against nature. To me everything that happens is within nature regardless of any deviations from our expectations.Kutofautiana mawazo ndiyo uungwana, ili mwishowe tufikie consensus!
Expected forever, maana yangu ni kwamba, iko hivo, na itabaki kuwa ivo!( Nafikir kimombo kiliniponza hapa)!
Unaposema beyond human control, una maanisha kuwa iko hivo, na itakuwa hivo daima! Majanga ya asili yatakuwepo tu!
Anomalies maana yake ni abnormal! Kwa nn imekuwa abnormal, kwa sababu kiasili haiko hivo, that is where anomalies comes!
Kama mwanaume amekuwa na matiti makubwa, hiyo nature anomalies maana yake ni nature abnormal/ity -which means it is not nature when refered to nature! It's abrnomal! Kwa nini iitwe anomalies maana yake naturally hayo matiti makubwa yangekutwa kwa wanawake!
Na kama nature is beyond human control, matiti makubwa kwa mwanaume unawez kucontrol through lab! It's just hormonal issues, so it is controllable! Mtu kuwa na Jinsia mbili, it can be controlled through lab, it's within human control!
Anomalies comes because it has happened against nature! It can be controlled!
Sawa sawa Kiongozi!
Sent using Jamii Forums mobile app
umeeleza vizuri sana. Sina hata cha kuongeza. Tatizo la wanaume wanadhani kuwa wanawake wao hawana shida ya kula/kuliwa. Kumbe unaweza kukuta na yeye ametoka anatafuta mtu wa kumla...hala wewe unajichanganya unajidai umekula kimasihara.Ukifuatilia nyuzi nyingi, hasa ule wa kula tunda kimasihara, utagundua kuwa baadhi ya wanaojiita walaji kuwa na dhana ya kwamba wanawake ni cheap ndo maana wanaliwa kwa kile kinachoitwa kimasihara.
Dhana hii ni potofu, kwamba wewe unaekula siyo cheap? U-cheap unaozungumzwa ni dhana tu (stereotype) ambayo inazaliwa kutoka kwenye lugha; kula na kuliwa! Utengamano wa lugha ndo unazalisha upotoshaji huu, wakati ukweli ni kulana! Kama unakula ujue na wew unaliwa! Kama umekula cheaply basi na nawe umeliwa cheaply!
Mtu anasema " Hivi kwa nini Wanawake wa siku hizi mmekuwa 'Cheap' kiasi hiki?" Anauliza hivi akisahau kuwa ndege wafananao ndo wanaruka pamoja! You got her cheaply because you are also cheap!
Lakini pia, kumpata mwanamke kwa urahisi, si lazima awe cheap, is a combination of several factors. Unaweza kuhisi wew ndo umempata cheaply kumbe yeye ndiyo akawa amekupata cheaply.
Unaweza kuhisi umekula kimasihara kumbe wewe ndo umeliwa kimasihara. Lakini kwa kuwa unahisi neno kula ni superior than kuliwa, unajihisi mjanja, na siyo cheap. Wewe pia ni cheap aisee!
Mwanamke ametoka kwao kaenda kukaa bar, anasubiri wanaume cheap, mwanaume cheap unafika unanunua Smirnoff, afu unaenda kulipia lodge mnakulana, nani cheap kati yako na huyo mwanamke?
Dhana ya 'cheapness' inakuja kutokana na socialization na kwamba women are historically and socially disadvantaged but in normal circumstances wao nao kama binadamu wako kwenye mawindo kama tu wanaume walivyo kwenye mawindo, sema mfumo wa jamii ndo unawazingua. So ikitokea amepatikana cheap wake anakukula kimasihara afu wewe naye unakuja kupotosha kuwa umekula kimasihara, wakati wewe ndo umeliwa kimasihara! Eti wewe unajiona uko 'dear' afu yeye yuko 'cheap', hapana!
Mwisho kabisa hakuna mwanamke cheap bila mwanaume cheap. Tusitumie misamiati ya maneno kuwabagaza, huku sisi tukijikweza eti kisa neno "kula na kuliwa" ni kulana tu!
Nawasilisha!
Sent using Jamii Forums mobile app
👊
Mkuu umekurupuka ..Yan unaonekana hujui vitu vingi ...au labda lengo lako ni upate wachangiaji wengi km ule Uzi wa kimasihara ...mzee endelea kuumiza kichwa uje na Uzi mwingine ..huu wako hautafika hata 500 commentsHakuna cha kitu hicho 'nature'! Nature inatengenezwa na jamii! Kinachoitwa Nature ndo kinamtesa mwanamke hadi leo! Kwanza unachokiita nature si nature, ni perception!