Hamjui 'mwanaume ameubwa mateso kuhangaika??na atakula kwa jasho lake ?mie nitazaa kwa uchungu??
Wanaume jmn ur naturally providers,and tunafurahi mkitujali kwa kutupa hela,sio kwamba tunajiuza,hata km nikiiomba js out of mapenzi tusaidiane,(ila of course natambua kuna sm women ni pasua kichwa,poleh yenu mnaogeuzwa Mpesa)
unanikumbusha german antonio street kana machangu wa taifa yote nilikuaSiku zote kumbuka kuweka baadhi yao.
naturally wanawake wameumbwa kumtegemea mwanaume..ukitaka kuoa unatoa mahari,bado kumentain relationship na mambo kibao lazima ugharamie either direct or indirect.
Unamaanisha nini by "naturally"?
India huko wahindu mwanamke anatoa mahari kwa mwanamme, na wao pia "naturally" wameumbwa kumtegemea mwanamme?
Ninamna tu walivyo amua kubadili uhalisia lakina baado haibadilishi ukweli wa nature ya mwanamke kumtegemea mwanaume.
Je na wanaume nao utasema wameumbwa naturally kuliwa 0712(tiGO)?
Umefanya uchunguzi wa kuwashirikisha wanawake wangapi? Na wa kutoka jamii gani? Zenye uchumi gani? Elimu gani? Umetumia vigezo vipi? Ulikuwa na "control group"? Methodology yako ilikuwaje?
Nauliza haya kwa sababu isije kuwa wanawake wa mtaani kwenu wote wanavaa vibwaya, ukafikiri "wanawake wote wanavaa vibwaya".
Mfumo mzuri wa kujenga majadiliano ni kujibu hoja kisha unauliza na wewe ulipaswa kunijibu nilicho kuuliza kisha ndo uje na maswali yako haya.
Huo ni utamaduni ulioko wazi na haujaanzia hapa kwenye hii mada iko wazi hata kwako unaweza kuithibitisha kwa kujiuliza ni marangapi ambazo umekuwa ukitumika kuwa gharamia akina dada au mkeoUmefanya uchunguzi wa kuwashirikisha wanawake wangapi?
Hili liko kwa jamii nyingi ukitoa hiyo ulio itaja wewe na sio kwamba ni kwa wote wanaotoa mahari wanapotaka kuolewa ina kuwa ni kupenda kwa mwanamke na kama anauwezo wa kufanya hivyoNa wa kutoka jamii gani?
Elimu na uchumi zinatofautiana kulingana na maeneo husika lakini bado swala linakuwa pale pale ni utegemeziZenye uchumi gani? Elimu gani?
Vigezo vinavyo tumika hapa ni kutazama uwezo wa mwanamke kumhudumia mwanaume ni kiasi gani haijalishi awe na kipato cha kiasi ganiUmetumia vigezo vipi?
Huo ni utamaduni ulioko wazi na haujaanzia hapa kwenye hii mada iko wazi hata kwako unaweza kuidhibisha kwa kujiuliza ni marangapi ambazo umekuwa ukitumika kuwa gharamia akina dada au mkeo Hili liko kwa jamii nyingi ukitoa hiyo ulio itaja wewe na sio kwamba ni kwa wote wanaotoa mahari wanapotaka kuolewa ina kuwa ni kupenda kwa mwanamke na kama anauwezo wa kufanya hivyoElimu na uchumi zinatofautiana kulingana na maeneo husika lakini bado swala linakuwa pale pale ni utegemeziVigezo vinavyo tumika hapa ni kutazama uwezo wa mwanamke kumhudumia mwanaume ni kiasi gani haijalishi awe na kipato cha kiasi gani
Nauwezo wa mwanaume kuhudumia mwanamke bila kuangalia uwezo wake katika kipato hapo utagudua ni upande kani unakuwa tegemezi kwa kiasi kikubwa.
Mfumo mzuri wa kujenga majadiliano ni kujibu hoja kisha unauliza na wewe ulipaswa kunijibu nilicho kuuliza kisha ndo uje na maswali yako haya.
Ni sahihi kabisa nakuunga mkono mkuu, maana hii si debate, ni kuelimishana
Ni sahihi kabisa nakuunga mkono mkuu, maana hii si debate, ni kuelimishana
Hiyo inatosha wewe kuhalalisha kutumia utaratibu huo? lakini pia kumbuka nje ya mfumo wa kutumia maswali kunanjia zilizo tangulia hapo mkapa zikapelekea kuwepo maswali.Hata Socrates alielimisha kwa maswali.
Hiyo inatosha wewe kuhalalisha kutumia utaratibu huo? lakini pia kumbuka nje ya mfumo wa kutumia maswali kunanjia zilizo tangulia hapo mkapa zikapelekea kuwepo maswali.
Ila sio kama unavyo fanya wewe hakuna mambo ya kujiuliza katika maswali yake ili mtu atafute majibu.