Dhana ya nyumba ya milele

Nafsi ni muunganiko wa roho na mwili,roho ndio uhai wenyewe, utu ni kiambishi cha nafsi, mwili ni jumba la roho
Mkuu kwa haya maelezo yako, kumbe ROHO nayo inakufa? Sababu kila Nafsi itaonja mauti na Nafsi umesema ni muunganiko wa Roho na Mwili.
Kwaiyo ile dhana ya roho haifi ina ukweli wowote?
Hebu nifafanulie kidogo hapo mkuu.
 
Nafsi ni muunganiko wa vitu viwili nafsi ni ID, roho inapotengana na mwili nafsi inakoma kuwa
 
Heshima kwako mkuu
 
Mkuu mshana jr hiv ukiwa unajiskia wewe ni yule yule au unajiskiaje kama ni vile vile ina maana ukiwa kaburini unakuwa mpweke sana lile giza af uko mwenyewe had miaka 100 duh c mchezo ila me bado nna was was kwa sababu nlishawah kuchomwa dawa ya nusu kaput sikuhis chochote yan sikuhis kabisa na siyo kwamba nilihisi usingizi yaan sikuhis kabisa for 5 hours so najarib kuimagine ile ni sindano tu na nilikua hai je roho ikitoka na kila kitu hakifa nyi kazi utahisi vipi
 
Tofauti ni kwamba unapokuwa kaputed roho inakuwa bado iko mwilini ni fahamu tu ndio zinazimwa...ukifa roho inakuwa nje ya mwili kimoja
 
Tofauti ni kwamba unapokuwa kaputed roho inakuwa bado iko mwilini ni fahamu tu ndio zinazimwa...ukifa roho inakuwa nje ya mwili kimoja
So kama mimi ni juma au bakari roho ikichomoka ntajiskia mimi ni yule yule juma ila niko different place with the same memories au ntajiskia mimi mwingine/mpya in a new place with no older memories na hiyo transition inachukua muda gani na unai feel ikitokea?
 
Hapa kuna mada yake ngoja niitafute
 
Mkuu kwa haya maelezo yako, kumbe ROHO nayo inakufa? Sababu kila Nafsi itaonja mauti na Nafsi umesema ni muunganiko wa Roho na Mwili.
Kwaiyo ile dhana ya roho haifi ina ukweli wowote?
Hebu nifafanulie kidogo hapo mkuu.
Naona kama swali lako linapingana na maelezo yako mwenyewe...!!

Ama umeshindwa KULIPANGILIA tu..
Ama nimekuelewa vibaya Mkuu..!!?
 
Mkuu mada imenigusa Ila najiuliza maswali mengi kuhusu lyfe after death sipati majibu maana hata nikiuliza hakuna aliekufa anipe ukweli ntaishia kupewa nadhalia tu,,, yana nachanganyikiwa sanaaa sijui lini ntakufa?? Sijui itakuaje ,,,all I know ni kumpendeza mungu nisipate adhabu ya milele (Kama maandiko yasemavyo)
 
Hebu pitia hii mada sanaa ya kifo
 
Nanyi na "contradiction" zenu juu ya imani za dini, hasa hizi simulizi za yatokeayo baada ya mtu kufariki.
Wengine imani zao wanatusomesha kama unavyotaka kutuaminisha wewe kuwa kaburi huhukumu, kaburi huadhibu, kaburi ndiyo makazi ya milele.
Wengine wanatufundisha kuwa mwili uzikwapo ndiyo sehemu roho itarudiana na mwili siku ya kiama.
Wewe umesema roho hubaki makaburini milele. Je mambo ya kuzimu na ahera, yamekaaje katika somo hili, iwapo roho hubaki ikizagaa makaburini ni muda gani hiyo roho kwenda kuonana na Mola wake ama kutupwa jehanamu kutumikia hukumu?
Maana sasa ni mkanganyiko wa ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…