Dhana ya mwanamke kuzeeka mapema na 'age difference' katika ndoa

Dhana ya mwanamke kuzeeka mapema na 'age difference' katika ndoa

tatizo si mwanamke, tatizo ni matunzo mabovu anayopewa kiumbe huyu..

kazi nyingi ambazo kaumbiwa mwanaume utakuta anazifanya mwanamke, lazima wazeeke mapema tu!

hali zao nyingi za kiuchumi ni mbovu, wamelimbikiziwa zigo kubwa sana la kutunza familia kubwa ikiwemo na unwanted children from their children...!

mimi naamini kuwa wanawake wote ni sawa, J.LO ni sawa na Shilole... check the difference now, shilole yuko na kitumbo kama chungu! wakati mwenzie yuko healthy tu kutokana na kujua afanye nini na wakati gani.. ELIMU DUNI inahusika!

haha,,mkuu ni kweli elimu juu ya kutunza miili yetu inahusika aise
 
tatizo si mwanamke, tatizo ni matunzo mabovu anayopewa kiumbe huyu..

kazi nyingi ambazo kaumbiwa mwanaume utakuta anazifanya mwanamke, lazima wazeeke mapema tu!

hali zao nyingi za kiuchumi ni mbovu, wamelimbikiziwa zigo kubwa sana la kutunza familia kubwa ikiwemo na unwanted children from their children...!

mimi naamini kuwa wanawake wote ni sawa, J.LO ni sawa na Shilole... check the difference now, shilole yuko na kitumbo kama chungu! wakati mwenzie yuko healthy tu kutokana na kujua afanye nini na wakati gani.. ELIMU DUNI inahusika!

True! Very true my dear!
 
Wanazeeka mapema kwa kuwa wanazaa watoto wengi, kazi nyingi, hakuna matunzo na lishe duni. Angalia wanawake wa mjini wa sasa wenye pesa zao na waliozaa watoto wachache akikuambia ana 50 yrs huwezi amini.

True lol!
 
Sijui hizo takwimu zako ni za lini kwa kufikiria juu juu tu naweza mwanamke anazeeka haraka kwasababu
  • Anazaa kwa hio mwili unakongoroka!NB:hii inategemea na mwili wa mtu na jinsi anavyojiweka kama ni hodari wa kufanya mazoezi au mtu active katu hilo si tatizo.
  • Mawazo na stress za maisha zinazeesha pia.

  • Wanaume wanawahi kufa kwasababu wengi hawajatulia viruka njia,asilimia kubwa ya wanaume wana wanawake wengi na hii tangia enzi za babaangu tofauti na sasa wanaume na wanawake wapo level moja hasa kwenye suala la michepuko.
  • Wanaume wengi pia wanajilemaza wanamalizwa na lifestyle diseases kuona ujiko kuwa na kitambi,wanaongeza risk ya kupata atheroscleorosis (heart diseases) ,high blood presser na wengi wao wanavuta sigara wanaongeza risk ya kupata high cholesterol again heart disease na matatizo ya mapafu!
  • Wanaume wanakunywa kwa kiwango kikubwa kuliko wanawake....na kuchosha ini 🙂
Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani lakini wanaume pia hawasemi mambo yao kama wanawake...hii inawasabisha kufa mapema kulinganisha na wanawake...kama mjuavyo mwanamke akiwa na jambo lake lazima atalisema kwa mtu mwingine ili mradi limtoke moyoni mwake lakini baadhi ya wanaume hawasemi kwa mtu yoyote.

 
itakula kwako aisee, nifanye best man wako

haha,,sasa ukiwa best man c ndo hela zitakutoka zaidi maana kila upungufu unaotokea wa dharura kamati inakubana wewe
 
Back
Top Bottom