kimweri Jr
Senior Member
- Jun 9, 2012
- 131
- 41
Wimbi la vijana wengi wakike na wakiume kujitokeza kutafuta wenza kwny mitandao ya kijamii linazidi kuongezeka kwa kac sana. Me naomba kujuzwa sababu hasa ni nn? Ni kukata tamaa, matumizi ya technologia, au wapenzi bora wapo huko au ni aina flani ya maisha watu wameamua kuishi. Kiukweli wanaJF tusaidiane katika hili japo, mimi nadhani ni ukiukwaji wa mila na desturi za kiafrika.
kimweri Jr kule kwetu vunjo enzi hizo mtu alikuwa anaviziwa akiwa anakwenda ama dukani au kuteka maji anawekwa begani then taarifa zinatumwa kwa wazazi kesho yake tena kwa ujumbe mzito wenye wazee na mbuzi........ndio ndoa tayari hapo kwani binti akishalala kwa mwanaume na wazazi wakajuwa hilo hawezi tena kurudi kwa wazazi wake.... Wengine huko kusini nasikia ilikuwa ngwra tu kwani hata umwage sere kivipi huwezi kuambiwa sawa au nakubali....ndipo wakatokea kina niangusage tu...sambi sako mwenyewe.....sasa unataka turudi huko??
Kama jibu ni hapana basi tujiulize kwanini? what are the alternatives?
mkirua kule kwe2 korogwe wazee wanatumwa kwa wazazi then wazazi wanakutana then mnakutanishwa baadae mnaungamanishwa. Mimi cna nia ya kuwarudisha huko swali langu ni kwamba kwani tumeshaondoka huko? Kwann tuliondoka kama ndio? Je, mkataa kwao siyo mtumwa? Na ni kweli taratibu za kwetu sasa hazifai? Binafsi alternative ni mila na desturi zifuatwe avae...![/QUOTE]sasa unataka turudi huko??[/FONT][/SIZE]
Kama jibu ni hapana basi tujiulize kwanini? what are the alternatives?
Hapa wakware na madomo zege watatetea sana'
Mitandaoni wamejaa matapeli, siamini kama unaweza kupata mpenzi aliyetulia.
Hivi kuna mtu anapenda njia ndefu na yenye mateso?Kutokana na udomo zege
Mitandaoni wamejaa matapeli, siamini kama unaweza kupata mpenzi aliyetulia.
Kwani mtaani hakuna matapeli wanaolipa hadi mahari ili waste nafasi ya kufanya uharibifu?Mitandaoni wamejaa matapeli, siamini kama unaweza kupata mpenzi aliyetulia.
Kama na wewe umetulia, unaenda mtandaoni kufanya nini?Sawa kabisa kwa sababu unaemuuliza ndio muhusika unategemea atakuambia ana tabia mbaya?