Dhana ya kuombewa

Ndugu Mshana, kama kuna watu wanaotakiwa kuombewa, basi, ni viongozi wetu wote tukuanzia na Rais wetu JPM. Watu hawa wana mzigo mkubwa na kazi yao ni ngumu na yenye hatari kubwa kwamba kwa ulinzi wa binadamu hawawezi kuwa salama bila Bwana Yesu kristo mwenyewe kuwalinda. Tenga alau saa moja ktk kata saa 24 kuwaombea. Ni watumishi wapakwa mafuta wa BWANA pia kama ilivyo wachungaji, mapadre, masheikh.
 
Okk....sitaki kumtetea huyo mzee wala siko biased na upande wowote ila kimsingi kila mtu anastahili kuombewa cause kila mtu ana matatzo katika magnitude yake

Sio kwamba maskini ana shida kuliko tajiri!
 
Tuwapende maadui zetu....je tukiwapenda wanaotupenda tu, twafanya ziada gan???
 
Kabla ya kuombewa... Onesha unyenyekevu... Onyesha kujali... Onesha kujali
 
Sasa kumuombea mtu hakuna conditions mkuu!!
Umenena vema.. Kila nilalapo na niamkapo huwaombea
- wenye shida mbalimbali za kiroho na kimwili pia
-wajane na yatima
-Wagonjwa walioko majumbani na hospitalini
-wasifirio nchi kavu angani na baharini
Sijafundishwa kuwaombea wasio na shida na wanaopata ulinzi wa kila aina... Na hata nikiwaombea, maombi yangu ni dhihaka mbele ya Mungu ninayemwamini
 
Sema hii mambo ya imani sometimes ni contradictious!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…