Dhana ya kumwangalia mtu machoni

Tukiweka siasa kando first time nakutana na mwanamke ambaye kwa sasa ndio mama wa mwanangu kwenye sehemu flan hivi ya manunuzi macho yetu yalitamazana kama sekunde 15 au ishirini kama sikosei
Ndio maana nikasema macho yanaongea uhalisia wetu wa ndani kabisa
 
Mkuu analysis yako ina mapungufu mengi.
Kwanza ni Rais Magufuli mwenyewe aliagiza kuwa hiki kipindi cha siasa vyombo vya dola viepuke kutumia nguvu.
Pili, ni lini vyombo vya dola vikajibu hoja za kisiasa?
Wenye kujibu hoja za upinzani ni wanasiasa wanaolishika dola, na hoja ni bora ikajibiwa na hoja.
 
Asante kwa marekebisho na masahihisho
 
Jipe Moyo mnaweza kushinda kwa goli la mkono... Lkn ikiwa hivyo hapo ndio mtaharibu kabisa....

Watu wamechoka na ufisadi kuanzia kuchoma bot, EPA, Richmond, dowans, eskrow, mikataba mibovu....

Upinzani this yr utopolo kbsa
 
Katika nyuzi zako zote hii umeiandika fresh sio kama zile za mambo yako ya abrakadabra. Big Up!
 
Umeanza vizuri sana. Hivi unajua hayo mambo ya macho kua watu humu wanayajua vizuri sana. Lakini nadhani hujui dhana ya macho unavyoitazama kisiasa.
Chama ulichokisifia watakuunga mkono. Wapinzani wa hiko chama watakubeza lakini watu wanaoelewa hiyo dhana ya macho watabaki wanakushanga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…