Dhana ya kuchoma moto tunguli

Dhana ya kuchoma moto tunguli

Noted Tabby with so much appreciations, nimekuelewa vizuri nitafanya hivyo sooner or later
uzuri wa mshana ni muelewa na sio mtu wa povu kama wengine hapo tu ndo napompendaga. Andaa somo kaka kwa kufuata ombi la jamaa hapo juu tueleze kipindi cha harakati zenu za chuo cha uchawi huko ni vipi imani hai ya Yesu ilikua inaathiri kazi zenu kuliko kila siku kuegemea katika uchawi ambao nina amini hauna nguvu kwa mtu aliezama katika imani ya Kristo
 
uzuri wa mshana ni muelewa na sio mtu wa povu kama wengine hapo tu ndo napompendaga. Andaa somo kaka kwa kufuata ombi la jamaa hapo juu tueleze kipindi cha harakati zenu za chuo cha uchawi huko ni vipi imani hai ya Yesu ilikua inaathiri kazi zenu kuliko kila siku kuegemea katika uchawi ambao nina amini hauna nguvu kwa mtu aliezama katika imani ya Kristo
Nafikiri kuna mahali nimepotoka kwa kiasi fulani au pengine ni ule msimamo wangu wa kwenda kinyume na hawa manabii na mitume wa siku hizi
Kimsimgi wapo wengi tu wazuri saana lakini hawa kamwe huwezi kuwaona kwenye mabango na vyombo vya habari wakiwa na suti na magari ya gharama sana
Kuna kitu labda nikiseme hapa nimeshakutana na wenye upako na uchaji wa kweli wakiwa na vipawa vya kuponya na kutenda miujiza halafu nimekutana na hawa wapigaji ni wengi sana
Kuna binti hapa alimlalamikia Katunzi kutokana na kulazimisha huduma, huyu jamaa analalamikiwa na wengi anapenda mno vitisho, hawa mara nyingi ndio nina mzio nao kwakuwa huduma zao hazina uchaji wa Kimungu
 
Mkuu, nilitamani sana ungeongelea ukuu wa Nguvu za Mungu kwa kuwa kwa fani yako lazima utakuwa unaifahamu ila sijui kwa nini huiongelei kwa sana. Shetani anaposhindwa, Mungu anaweza. Kama wachawi kwa jina la uganga hawawezi bado uko sahihi kwa kuwa hata Biblia imeandika Shetani hawezi kumtoa shetani mwenzake. Vinginvyo ufalme wake umefitinika.

Ongealea nguvu ya Mungu inavyoharibu uchawi na nguvu za shetani maana hiyo ndiyo kazi ya Yesu kuja duniani. Kuzivunja kazi za ibilisi.

Kuna wengine akili zao hapa zimeishia katoliki. WAnaona eti nguvu ya Mungu lazima ipatikane katoliki na kwa kuwa katoliki hawana basi hakuna tena hiyo nguvu. Ujinga wa kiroho. Msingi wa Wakristo ni Neno la Mungu na wala si madhehebu.

Waambie watu ukuu wa Mungu katika kuzivunja kazi za adui na uache kuwachanganya kwa kuwaambia habari za dini, madhehebu na mambo ya watu binafis.

Wapo watu wanaojihukumu kwa kushindwa kwao au kukosa kumjua Mungu na hivyo kuwa na wivu kwa kilakitu kinachomthibitisha Mungu. Na hivyo utawaona wako tayari kushabikia kwa amani kabisa nguvu za uchawi na uganga ambazo ni cha mtoto sana kwa Mungu, kisha wakaandia Imani ya Mungu kwa sababu hawamjui Mungu ila wanazo dini tu.

Kuna mwingine kase,a eti katoliki halikuwaga na neno mapepo (Huu ni upumbavu) kwa sababu laiti kama angelikuwa anasoma neno la Mungu angetambua kuwa Mapepo yameandikwa hata kwenye Agano la Kale miaka mingi tu kabla ya huo ukatoliki kutengenezwa na watawala (baada ya Kristo).

Ninatamani pia usiishie kusisitiza kukandia manabii as if Mungu hawezi kuwa na manabii. Biblia imesema wapo na watakuwepo. Ninatamani sana ungeanisha kati ya manabii wa uwongo na watumishi wa Mungu badala ya kuishia kusema kinyume cha manabii as if una vita nao. Biblia imesema wazi sana kwamba "Hata shetani hujigeuza na kujifanya kama malaika wa Nuru", hivyo si ajabu kweli pepo kujifanya li wakala la Mungu, lakini haina maana kwamba shetani kameza malaika wote wa Nuru ana kwamba sasa Mungu hana malaika tena". Biblia imeandka Bwana Yesu aliwaonya wafuasi wake (siyo waumini wa kanisa katliki kwa kuwa hiyo katoliki haikuwepo wakati wa yesu kama wengine wanavyodanganywa), aliwaonya wanafunzi wake, yaani wafuasi wa Kristo kwamba "Angalieni mtu asiwandanganye, kwa maana wengi watakuja kwa jina langu wakisema Mimi ni Kristo". Hapa ni kweli Yesu alijua wengi watakuja katika siku za mwisho kwa jina la kumkiri Yesu kwamba ni Kristo, lakini ni kwa udanganyifu, hakuishia hapo tu tena akaonya kwamba msiiamini kila roho bali zichunguzeni kama zatokana na Mungu".

Lakini hakuwa na maana kwamba Hapatukuwa na WAtumishi wa Mungu alilye hai, hakumaanisha kwamba Roho zitokanazo na Mungu hazitakuwepo tena, wala hakumannisha kwamba WAtumishi wa Mungu, we kweli hawatakuwepo tena kama wengine wanavyoshadadia na kwa ujinga wa kutokulijua neno, hata wanadiriki kusema kwamba "Makanisa ya Kipentekoste ndiyo aliyokuwa anayasema Yesu", wakasahau kwamba andiko limenena "Sitawaacha Yatima, bali nitawaletea Roho Mtakatifu atakayewafundisha kweli yote". Tena "Ziko karama, na huduma mbali mbali katika kanisa la Mungu lakini Azitendaye ni Roho Yeye Yule ambaye humgawia mtu kama vile yeye apendavyo.

Wengine, mitume, Wengine aina za Lugha, wengine Manabii, Wengine Walimu, Wengine karama za kuponya, Wengine, Kuonya, Wengine Wainjilisiti, Wengine matendo ya miujiza, n.k n.k. Biblia imeendelea kusema "Vitu vyote vitakoma lakini maneno yangu hayatapita kamwe".

Anayesema kwamba kwa sasa hakuna watumishi wa Mungu alete maandiko tujadili ambapo Neno limesema siku za Mwisho duniani watumishi wa kwlei wa Mungu hawatakuwepo ila watajaa Masela wasanii.

Ninawaonya wanaosimamia katika dni kwa uzamani wake kwa sababu hadi Yesu anatwaliwa hakuna dini aliyokuwa ameiunda. Kwa nini usianze kutafiti maandiko uone uanzishwaji wa hiyo dini yako ya zamani iliundwaje ili utambue kama si moja ya vikundi ambavyo Yesu alivitolea tahadhari? Hasa ikiwa imani hizo zinaendeshwa bila watu kufindishwa Biblia wala kusoma, ila kujikita katika mapokeo tu?

Mshana Jr. Nitafurahi sana, ukiwa unajikita kuwaambia zaidi Ukuu na Uweza wa Nguvu za Mungu na kwamba Zipo Zinafanya kazi na hazifungamani na madhehebu ama kanuni za kimapokeo ya vikundi vy akibinadamu ila Zimeasisiwa na kusimikwa katika Maandiko. Na kwamba Wapo watumishi wa Mungu ambao Mungu anawatumia na Mungu haheshimu dini na madhehebu ya Watu bali huliangalia Neno apate kulitimiza.

Mchana mwema kiongozi.


Mkuu nakupongeza kwa ujumbe mnono,ila naona kama katoliki imekupanikisha,any way nimaono yangu tu
All in all mungu yu mwema
 
Hujaweka hiyo post hapa,basi ungevitaja tena,au umevisahau?
e3b0a718cad0c96118c345584b786225.jpg
 
Kumbeee[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Usanii tu,wachungaji na manabii wengi wasanii tu,km wanawaombea wagonjwa wanapona,sasa siwaende ma hospitalini kuwaombea wapone, upuuzi mtupu,,,,,,,,ukiumwa muombe mungu mwenyewe utapona km ugonjwa ni wa sihili,
upload_2016-5-23_16-50-10.png


sawa kamanda
 
@mshanajr naomba kufahamu hili, je kwa elimu yako uliyopata mpaka sasa unaweza kuwajua kwa uhakika wachungaji,manabii na viongozi wengine wa dini wa uongo?
 
Mkuu nakupongeza kwa ujumbe mnono,ila naona kama katoliki imekupanikisha,any way nimaono yangu tu
All in all mungu yu mwema

Mkuu nashukuru sana. Sijapanic kwa sababu si kitu kigeni. Kilichonihuzunisha kuna ndugu mmoja kaandika kwa mtazamo kwamba Katoliki ndiyo Rula ya Mungu! Kitu ambacho siyo kweli kwa sabbu Catholic ni dhehebu kama lilngine tu ambalo tena historia yake haifichiki. Huzuni yangu ni pale mtu anapokuwa na confidence katika dini na kuilinganisha dini yake na Mungu wakati Mungu hana dini.
 
umepanic ndugu!majib yako ni picha tosha!historia ya RC imetoka wapi tena katika mazungumzo haya?kama co presha icyo na ulazima!
 
umepanic ndugu!majib yako ni picha tosha!historia ya RC imetoka wapi tena katika mazungumzo haya?kama co presha icyo na ulazima!
Pengine ilikuwa ni kwa ajili ya kupanua mjadala
 
@mshanajr naomba kufahamu hili, je kwa elimu yako uliyopata mpaka sasa unaweza kuwajua kwa uhakika wachungaji,manabii na viongozi wengine wa dini wa uongo?
Wanatambulika bila hata elimu ndugu yangu, wanatambulika kwa matendo yao ni watu wa anasa ubinafsi na kujikweza
Tumeshuhudia ya Gwajima
Tumeshuhudia ya Lusekelo na wengine wengi
 
Kanisani hakuna dawa. Mtu akiugua ni lazima kuna source ambayo mara nyingi ni virus au bacteria. Huwezi kupiga prayer na kuombea mapepo ili mtu huyu apone na akapona. Kuna maradhi ya kiimani yatokanayo na fikra au ya kutupiwa na wachawi kupitia majini n.k Haya ni rahisi kuyatoa kwa maombi maalum eidha ya kiislam au ya kikristu na Wala sio mijiza kama wanaoona wanaamini kisha wanakuwa watumwa wa imani hiyo.
Kuna mental health issues ambazo bado watu wengi hawatambua kuwa ni sehemu ya afya njema. Mara nyingi mtu anapokuwa na matatizo ya ubongo dhana ni kuwa amelogwa.
 
Kuna mental health issues ambazo bado watu wengi hawatambua kuwa ni sehemu ya afya njema. Mara nyingi mtu anapokuwa na matatizo ya ubongo dhana ni kuwa amelogwa.
Elimu sahihi ni kitu muhimu mno
 
Elimu sahihi ni kitu muhimu mno
Mkuu ni kweli, wizara ya afya ilitakiwa kuelimisha jamii kwa kutumia mass media, watu waelewe kuwa afya ya ubongo inaweza kutibika. Mpaka sasa hivi kuna familia unakatazwa usioe au kuolewa kwasababu wana asili ya kichaa, kumbe masikini babu yao alipata tu msongo wa mawazo sasa familia inaendelea na stigma.
 
Mkuu ni kweli, wizara ya afya ilitakiwa kuelimisha jamii kwa kutumia mass media, watu waelewe kuwa afya ya ubongo inaweza kutibika. Mpaka sasa hivi kuna familia unakatazwa usioe au kuolewa kwasababu wana asili ya kichaa, kumbe masikini babu yao alipata tu msongo wa mawazo sasa familia inaendelea na stigma.
[emoji115] [emoji115] [emoji111] [emoji111] [emoji817] [emoji106] [emoji144] [emoji144] [emoji144]

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom