Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,456
- 872,092
- Thread starter
- #41
ThanksPengine ilikuwa ni kwa ajili ya kupanua mjadala
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
ThanksPengine ilikuwa ni kwa ajili ya kupanua mjadala
Mkuu nashukuru sana. Sijapanic kwa sababu si kitu kigeni. Kilichonihuzunisha kuna ndugu mmoja kaandika kwa mtazamo kwamba Katoliki ndiyo Rula ya Mungu! Kitu ambacho siyo kweli kwa sabbu Catholic ni dhehebu kama lilngine tu ambalo tena historia yake haifichiki. Huzuni yangu ni pale mtu anapokuwa na confidence katika dini na kuilinganisha dini yake na Mungu wakati Mungu hana dini.
Rc Yupi?umepanic ndugu!majib yako ni picha tosha!historia ya RC imetoka wapi tena katika mazungumzo haya?kama co presha icyo na ulazima!
ROMAN COTHOLIC (RC)