Dhana potofu kwenye mapenzi

Dhana potofu kwenye mapenzi

Mkuu Pumzi inahusikaje ktk kufanya Mapenzi.. em nipe Elimu

Nawasilisha.
Pumzi ndo kila kitu ila simaanishi pumzi ya kukimbia marathon japo pia ina mchango wake, ila kitaalamu ukiweza kuregulate pumzi na mikito inakusaidia kudumu kifuani muda mrefu, na pia ukikaribia kufika mshindo unaweza kuahirisha kwa kuvuta pumzi ndefu na kui'hold' kwa muda hisia inakata wazungu wanarudi wenyewe unaanza moja. Ni mbinu za kivita tu wanazijua wazee japo zinahitaji practice
 
Ndugu yangu mtoa mada una uwezo mkubwa wa kupangilia hoja na kushawishi ila hauna kitu kichwani umeelezea vizuri sana ila ni pumba

Mimi ntakushikilia zaidi kwenye vilevi ambayo vina compromise mfumo wa faham usiwe kwenye hali yake ya kawaida hivo zile hisia unazopata kipindi cha jimai tuassume (threshold level) inakua kidogo kiasi unachelewa kupata mshindo
Je ni kweli hiyo point unayosema ni sahihi?

Turudi ktk uhalisia Kama pombe zingekuwa na huo uwezo unaosema basi waganga wa kuuxa dawa za nguvu za kiume wangekuambia Utumia hixo dawa unywe na Pombe.. yaan wangekunywesha dawa yenye ulevi ndani yake..

Si sahihi.. unachofikiria kwanini?

Same as Bangi kuna misconception zinazungumzwa kuwa ukinuia kuwa navuta Bangi nifanye jambo fulan ndio jambo hilo utalifanya kiufasaha.

Ngj nikupe ushuhuda.

Inasemekana Pombe inapungiza uwezo ktk Ubongo hasa kufikiri... Ila mie kipindi nasoma ilikuwa siwez ku concentrate ktk kusoma mpk ninyewe Kvant au Valeur (HASA KIPINDI CHA UNIVERSITY EXAM'S) nakunywa vyombo na nasoma hapo hapo at the same time na kesho pepa nalikamua vzr.

Je... Ni kwel pombe inapunguza ufanisi wa Ubongo? Jibu si kwel.

Jitahidi kufanya tafiti ukianzia na mwili wako binafsi.
 
Pumzi ndo kila kitu ila simaanishi pumzi ya kukimbia marathon japo pia ina mchango wake, ila kitaalamu ukiweza kuregulate pumzi na mikito inakusaidia kudumu kifuani muda mrefu, na pia ukikaribia kufika mshindo unaweza kuahirisha kwa kuvuta pumzi ndefu na kui'hold' kwa muda hisia inakata wazungu wanarudi wenyewe unaanza moja. Ni mbinu za kivita tu wanazijua wazee japo zinahitaji practice
Kuna Connection ipi kati ya MAPAFU na misuri ya UUME? Hasa katika wakati wa tendo. naomba unipe maelezo sahihi.
 
Je ni kweli hiyo point unayosema ni sahihi?

Turudi ktk uhalisia Kama pombe zingekuwa na huo uwezo unaosema basi waganga wa kuuxa dawa za nguvu za kiume wangekuambia Utumia hixo dawa unywe na Pombe.. yaan wangekunywesha dawa yenye ulevi ndani yake..

Si sahihi.. unachofikiria kwanini?

Same as Bangi kuna misconception zinazungumzwa kuwa ukinuia kuwa navuta Bangi nifanye jambo fulan ndio jambo hilo utalifanya kiufasaha.

Ngj nikupe ushuhuda.

Inasemekana Pombe inapungiza uwezo ktk Ubongo hasa kufikiri... Ila mie kipindi nasoma ilikuwa siwez ku concentrate ktk kusoma mpk ninyewe Kvant au Valeur (HASA KIPINDI CHA UNIVERSITY EXAM'S) nakunywa vyombo na nasoma hapo hapo at the same time na kesho pepa nalikamua vzr.

Je... Ni kwel pombe inapunguza ufanisi wa Ubongo? Jibu si kwel.

Jitahidi kufanya tafiti ukianzia na mwili wako binafsi.
Sasa unaleta ubishi mimi siongei ubishi nakwambia mechanism ya hizo alcohol kwenye mwili wa binadam madawa ya kuongeza nguvu za kiume yapo ya aina nyingi kuna zinazoongeza blood supply kwenye uume sabab erection inatimia kwa kupata supply ya damu hio ni sildenafil mnaita viagra na kuna za kupunguza sensation ya hisia kwa kucompromise nerve endings kama dust mkongo pombe inaingia hapo sababu inaenda kwenye high center na kucompromise CNS haujawahi kujiuliza kwanini walevi wana namna moja ya kuongea?

Pombe ina compromise ufikishwaji wa taarifa na utafasirishwaji wa stimuli kwenye ubongo

Sio rahisi kuelewa mana ni layman
 
O

Sio mapafu na uume ni pumzi na hisia, kinachopelekea kuwaita wazungu ni hisia kufika kileleni yaani pressure inakuwa kubwa kwenye pelvic muscle to the extent you can't hold it kwa hiyo mwili unajiregulate kwa kurelax misuli hiyo kinachopelekea kuwatupa wazungu nje, hivyo ukivuta pumzi ndefu ukaibana una suppress hisia wazungu wanarudi, ukiitoa pumzi una relax pelvic muscle bila kuwatupa wazungu
 
Ahsante sana mkuu kwa kuwasilisha Mada pendwa kwa vijana wa kileo

Ila nami ningependa kuongezea ulipoishia, utanisamehe km nitakua nmekosea kuongezea ila ngoja tu niongezee

Acha niende moja kwa moja kwenye kiini au mzizi mkuu wa maelezo yangu, kwa mujibu wa tafiti nilizozifanya kwa muda mrefu usiopungua miaka 30+ (usiulize nina umri gani) nimegundua kwamba kilichotuleta hapa duniani sio mapenzi, sio ndoa, sio kua na mwanamke, sio kua na mwanaume, sio hivyo vyote, sio umaarufu, sio kujulikana, sio sio sio hivyo vyote sio

Ila gunduzi zangu zinanipeleka moja kwa moja kwenye ukweli wa mambo kwamba tupo hapa kwa ajili ya kutafuta Pesa fanya kazi it doesn't matter whether it's legal or illegal but make sure una-make doe (cash), hio ndio purpose ya wewe kua hapa duniani maana hata waumini walei kanisani hua wanaiba sadaka kwa hio usishangae kuhusu hilo

Purpose pekee ya wewe kua hapa duniani ni kuzisaka ngawira/chapaa, saka doe saka cash ziwazo zozote kila chocho, na hapo ndipo heshima yako inapoanzia, hizo mbwembwe zingine za afya ya mapenzi na spermatogenesis utaishia kuzisikia tu kwa wengine wakiziongelea kipindi wewe una deal na pesa zako huna mazungumzo ya ajabu kiasi hicho, maana pesa zako zitakutumikia na zitakutimizia kila fantasy yoyote ya mapenzi unayoyahiyaji na uliyokua unaihitaji katika hii dunia na katika maisha yako hata ukihitaji groupies unapata kwa pesa zako

Itoshe kusema purpose ya wewe kuwepo katika hii sayari ni kuzisaka mpaka uzipate

When I put my shoot down.. na dey follow when I put my legs down

Nitarudia tena...
 
Sasa unaleta ubishi mimi siongei ubishi nakwambia mechanism ya hizo alcohol kwenye mwili wa binadam madawa ya kuongeza nguvu za kiume yapo ya aina nyingi kuna zinazoongeza blood supply kwenye uume sabab erection inatimia kwa kupata supply ya damu hio ni sildenafil mnaita viagra na kuna za kupunguza sensation ya hisia kwa kucompromise nerve endings kama dust mkongo pombe inaingia hapo sababu inaenda kwenye high center na kucompromise CNS haujawahi kujiuliza kwanini walevi wana namna moja ya kuongea?

Pombe ina compromise ufikishwaji wa taarifa na utafasirishwaji wa stimuli kwenye ubongo

Sio rahisi kuelewa mana ni layman
Sawa mie ni layman... Ila wewe ni arrogant.. huwez chambua mjadala kwa point za kuaminika bali unarukaruka tu..

Uwe na siku njema.
 
O

Sio mapafu na uume ni pumzi na hisia, kinachopelekea kuwaita wazungu ni hisia kufika kileleni yaani pressure inakuwa kubwa kwenye pelvic muscle to the extent you can't hold it kwa hiyo mwili unajiregulate kwa kurelax misuli hiyo kinachopelekea kuwatupa wazungu nje, hivyo ukivuta pumzi ndefu ukaibana una suppress hisia wazungu wanarudi, ukiitoa pumzi una relax pelvic muscle bila kuwatupa wazungu
Kwahiyo kuwa na pumzi za kutosha ndio kubana pumzi ili usimwage? Sawa nitafanyia utafiti
 
Je ni kweli hiyo point unayosema ni sahihi?

Turudi ktk uhalisia Kama pombe zingekuwa na huo uwezo unaosema basi waganga wa kuuxa dawa za nguvu za kiume wangekuambia Utumia hixo dawa unywe na Pombe.. yaan wangekunywesha dawa yenye ulevi ndani yake..

Si sahihi.. unachofikiria kwanini?

Same as Bangi kuna misconception zinazungumzwa kuwa ukinuia kuwa navuta Bangi nifanye jambo fulan ndio jambo hilo utalifanya kiufasaha.

Ngj nikupe ushuhuda.

Inasemekana Pombe inapungiza uwezo ktk Ubongo hasa kufikiri... Ila mie kipindi nasoma ilikuwa siwez ku concentrate ktk kusoma mpk ninyewe Kvant au Valeur (HASA KIPINDI CHA UNIVERSITY EXAM'S) nakunywa vyombo na nasoma hapo hapo at the same time na kesho pepa nalikamua vzr.

Je... Ni kwel pombe inapunguza ufanisi wa Ubongo? Jibu si kwel.

Jitahidi kufanya tafiti ukianzia na mwili wako binafsi.
Acha ujinga wewe,ulikuwa unakunywa kidogo tu,unataka kuniambia mtu aliezima ataweza soma,kama kuongea anapata tabu je kusoma.mengine uliyozungumza yanategemea na mwili wa mtu.ila pombe hapana mkuu
 
Sio kila anayekunywa pombe lazim azime . Na wala si kila anayekunywa pombe afanye mambo ya ajabu kama ulivyokariri.

Kuna kunywa pombe na kunywa kupita kiasi naomba uweke utofauti hapo.

Mbili kwa mada ilivyo.. haihusiani na ulevi/unywaji wa kupelekea kuzimia na kama unakunywa hadi unazimia hilo tendo unafanya vipi?

Nafkiri kati ya mimi na wewe nani ameonekana mjinga
 
Mada ni nzur Sana,
Sema Mtoa mada umeiharibu kidg.
USHAUR uloutoa mwishoni umefanya tujue mlengo wako Ni upi,

Ulipaswa kuiacha mada hewani kwa ajili yetu ili wote tuwe free kuchangia kwa uhuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bandiko zuri,
Mtoa mada uelezeaji wake Katia udambwi udambi mwingi,formula na kanuni kibao kuliko uhalisia.

Niseme TU,
Haya mambo ya mapenz sometimes hayana formula, Ieleweke hivyo.

Maana vurugu zote hizo unadili na kiumbe complex kuliko vyote tangu ulimwengu huu uumbwe (yaani mwanamke)

Nikumbushie kidg TU,
Kabla ya tukio la katibu,
Masanja nae alijikuta kungwi Sana mpk tukajua mwenzetu kaoa malaika

JamiiForums159856796.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom