Dhana hii ni ya kweli?!!

Dhana hii ni ya kweli?!!

Duh kumbeee
ndio mkuu,after all hizi ni dhana tuu,zinafuatwa na watoto wa shule,kuna dada mmoja alikuwa anasoma chuo sasa aliambiwa kuwa kidole kikubwa cha mguu ndio ukubwa wa kigegedeo cha mwanaume,aisee yule dada kwa dhana hiyo aligegedwa sana hata hicho alichokuwa anakitafuta sijui kama alikipata zaidi ya kuishia kugegedeka tuu
 
Wewe mleta maada nakujua vizur sana uko muongo sana na una fix sana
 
twende kwa mifano halisi
fc487dd8b9817f738bf9e6b506a53636.jpg
a561bc0c03733ef62747a4d49507351e.jpg
9fafc34c86690530d497535311096fe9.jpg
a8aef44c153e2740692aa2e68e254357.jpg
ac83f9cad3750a8371e5ef784f7eab21.jpg
 
Inasemekana hivyo...
Ila kama hizi taarifa ni za kweli...
Itapendeza sana...


Cc: mahondaw
 
mi nimesoma kitabu kimoja cha taoist,kinasema hivyo,kinasema unaweza mpenda demu kwa jicho lake ila lips ndio zita determine unaishi nae kwa muda gani,wanasema demu mwenye lips ndogo anajua tuu kupokea mapenzi ila hajuia kutoa mapenzi,pia wanasema demu au men mwenye nyusi nyingi huwa hot sana kitandani,yaani wanasema kuna baadhi ya maumbile ya nje yana reflect maumbile ya ndani kama figo,moyo nk so kuna maumbile ya nje ukiyafanyia massage mfano basi utakuwa automatically unaufanyia moyo,au mapafu nk,wanasema demu mwenye vidole vidogo basi na papuchi yake na shimo kwa ujumla vitakuwa ni vidogo
I think ya vidole inaaply kwa mamen zaidi
 
Back
Top Bottom