Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

Status
Not open for further replies.
nadhani mtoa mada ana uelewa mdogo sana ,kabla ,alisha wahi kijiuliza hiyo malasia tuliyopata nayo uhuru ina waislam asilimia ngapi?
 
Alipokuwepo muisilamu kuiongoza wizara ya mambo ya ndani sijasikia majambazi sasa ....
 
Hajala ban kweli huyu! au ndo kesi ya nyani kuamuriwa na tumbili!
 
Kwa kweli mtoa mada kama kuna mahali ukiokota hivi vijimawazo,fungua dust bin uvitupe kbs kwa sababu havina tija,nasikia sikia kuna mhubiri mmoja wa kiislamu ndo kazi yake hii ya kutengeneza CD zenye "mafundisho" ya kupinga wakristo na "mfumo kristo" na ww sijui umevibeba bila hata kufikiri....!!!!
#Kwa hili....go to hell,kajipange upya cos umasikini wa Tz unachochewa na watu kama wewe wenye mawazo mgando.
 
Napata shida kufahamu iwapo wachangiaji wote hapa JF wanao ufahamu wa kutosha wa kuelewa hoja na kuchangia hoja.

Mtoa hoja ametoa hoja yake kwa ufasaha na zaidi ya hayo amejitahidi kuwaongoza wanaopenda kuchangia hoja zao zijikite maeneo yapi. Hakujitambulisha dini yake! Sasa badala ya kuishambulia hoja iliyotolewa, mnamshambulia mtoa hoja!

Watanzania, na hasa wanaJF tunasafari ndefu kufikia maendeleo. Kwani kama huna cha maana cha kuchangia si uangalie thread unayoweza kuchangia? Matusi yanatija gani?
 
As usual, watu wakishindwa kupata sababu madhubuti wanakimbilia kwenye conspiracy theories zisizo na msingi. Unaposema labda malezi ndio yanayochangia, je kuna wakristo wanaolelewa kuwa wezi? Nchi za kikristo zina maendeleo makubwa duniani kuliko za kipagani na kiislamu, if your theory is true, how do you explain that?
 
Kuna kipindi huwa namshukuru mola kwa kuzaliwa mkristu
Ivi na wewe umekaa ukaamua kuleta hoja kuwa wakristo ndo sababu ya umaskini?
So far tumeshakuwa na watawala wanne JK,Mwinyi,Ben na sasa Kikwete je ktk vipindi vyote vinne ni kipindi kipi maisha yamekuwa magumu na umaskini kuongezeka,na ugumu wa maisha kuwa juu!
 

Sasa wewe ndo umechangia nini kwenye hiyo unayoiita hoja ?
 
Huu uwezo wako mdogo wa kufikiri wala sitaulinganisha na dini yako.
 
Nchi zote duniani zilizoendelea ni kwa sababu ya mfumo kristo.Sheria zote za nchi hizo zimebase kwenye utaratibu wa kikristo kuwa na umoja na kupenda kufanya yale ungependa wewe ufanyiwe na wenzako.
Tatizo la nchi yetu si mfuomo kristo bali utawalani wa kifisadi unaolitafuna taifa letu na hao watu tunaishi nao na wanajulikana lakini hawachukuliwi hatua za kisheria
 

acha kujibu maswali kama mtu ambaye hajasoma,Somalia na Afghanistan sio nchi? Mbona kwenye Thread uliitaja Malysia
 

ni kweli mkuu angalia zanzibar ilivyoendelea, inaongozwa na waislam asilimia 100 hawa wakristu wanatunyonya mkuu!
 

kwa ujinga ulionao unaweza ukasema ufisadi umeanzia kwa Nyerere wkt kwa muislam mwenzenu Mzee Mwinyi. Nyie watu sijui mna akili gn
 
Viongozi wa Tanzania wanateuliwa kwa kufuata sifa zao na sio dini zao. Imani zao sio msingi wa kazi wanazofanya hivyo kuhusisha Imani kwenye mafanikio au matatizo sio sawa. Nasikititshwa sana na tabia ya WATU Kama wewe ya kuangalia Mtu kwa Imani yake na kumjaji (religious prejudiced individuals).
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…