Dhamira toka moyoni

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,601
729,486
4cd467727709ddfe5c5c710ada51b30a.jpg
 
Halafu anakuja kupewa mtihani sawa na aliyesoma shule yenye bweni zuri, madarasa mazuri yenye wanafunzi 15 kwa kila darasa, vitabu vya kutosha, vitendea kazi, waalimu wakutosha, nk. Asipopata alama sawa naye, anaambiwa ameshindwa, hana akili...bila kutambua ameshinda mangapi kuweza kufanya hata huo mtihani. Inahuzunisha sana.
 
Jesca alifanya mtihani na wanamna hii nabado akapata iv ya mwisho
 
Jesca alifanya mtihani na wanamna hii nabado akapata iv ya mwisho
Niamini kaka, hii picha inanipa mtazamo wa watoto wengi wanaosoma katika mazingira magumu. Kuna mmoja nilikutana naye kijijini, alikuwa na miaka kumi na nane lakini ana mwili wa mtoto wa miaka kumi. Baada ya baba kufariki na mama kuwakimbia alibaki na jukumu la kulea na kusomesha wadogo zake wawili, na bado kupigania shamba la wazazi wake lisichukuliwe na ndugu. Alikuwa analima mashamba ya watu, anasoma na bado asomeshe ndugu zake. Yaani, kuna watoto huwa wanapata mitihani migumu sana zaidi ya hata hiyo ya shuleni.
 
Maisha katika uhalisia wake,
Hapo mwalimu mmoja, mkondo A,B,C,D na E mnakaa hadi kwenye mlango, kama ni mwalimu wa kike inabidi avae sketi ndefu maana wanafunzi wapo hadi miguuni.
Unajitutumua unapata kadivision 04 kako angalau uwe hata mwalimu wa chekechea mama aache kuvaa khanga zilizochanika vinginevyo ujitahidi upate marafiki wa kaizerege wawe wanakuibia Siri ya kufaulu na MAterial ambayo ni paratable na digestive.
 
Licha ya wengi kupigia kelele fimbo, imetusaidia sana wengine kukaa kwenye mstari, na wanangu lazima wachezee bakora tu maana hakuna namna, kujifanya kumpenda sana mtoto kwa kumdekeza ni kujiandalia matatizo na kumharibu mtoto.
vp na wenzetu wale wa yes no na wenyewe wanakula bakola..?
 
Back
Top Bottom