Dhambi ya zinaa

Dhambi ya zinaa

Wolfgang97

Member
Joined
Apr 28, 2023
Posts
30
Reaction score
59
Yuda 1
7 Kama vile Sodoma na Gomora na miji iliyokuwa kando-kando, waliofuata uasherati kwa jinsi moja na hawa, wakaenda kufuata mambo ya mwili yasiyo ya asili, imewekwa kuwa dalili, wakiadhibiwa katika moto wa milele.

8 Kadhalika na hawa, katika kuota kwao, huutia mwili uchafu, hukataa kutawaliwa, na kuyatukana matukufu.

TUKUMBUKE KUACHA KUZINI
 
Tupe shughuli nyingine ya kufanya mkuu.

Hii ni starehe pekee ya watu wa level zetu, we cant travel the world, don't eat best foods, don't sleep in bungalows, we drink local beer🤪

Our only relief ni kwenda church kupewa matumaini na/au kuwekana mkuu.
 
Haii Mkuu Kuna jehanum
Ufunuo wa Yohana 21
8 Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.

Usiguse usinuse
 
Kiberiti cha Mo,,, kangaroo au cha gesi??
 
Inachosha mwili kivipi mkuu?
1 Wakorintho 6:13
Vyakula ni kwa tumbo, na tumbo ni kwa vyakula; lakini Mungu atavitowesha vyote viwili, tumbo na vyakula. Lakini mwili si kwa zinaa, bali ni kwa Bwana, naye Bwana ni kwa mwili.

Kaka huo mwili ni Kwa ajili ya BWANA sio zinaa
Kataaa Zinaaa
 
Inachosha mwili kivipi mkuu?
Kivipi?
Lile tendo ukilifanya kisawasawa,linachosha mwili
Maandalizi,siyo Ile ya kukurupuka,mnaparamiana kama vibaka
Lazima muandaane vyema afu ndo mzagamuane🤣
Ila ka unafanya kama jogoo dk 2,hakuna uchovu
 
1 Wakorintho 6:13
Vyakula ni kwa tumbo, na tumbo ni kwa vyakula; lakini Mungu atavitowesha vyote viwili, tumbo na vyakula. Lakini mwili si kwa zinaa, bali ni kwa Bwana, naye Bwana ni kwa mwili.

Kaka huo mwili ni Kwa ajili ya BWANA sio zinaa
Kataaa Zinaaa
Kwahiyo watu wawe matowashi?
Manake kwa mtu anayekula vizuri,Hana changamoto za kiafya,ana pumzika vya kutosha,hana stress za vikoba,hisia zinakuwepo za kutosha
 
Kaka matokea ya zinaaa ni laana unakua adui wa Mungu

Yakobo 4
4 Enyi wazinzi, hamjui ya kwamba kuwa rafiki wa dunia ni kuwa adui wa Mungu? Basi kila atakaye kuwa rafiki wa dunia hujifanya kuwa adui wa Mungu.

5 Au mwadhani ya kwamba maandiko yasema bure? Huyo Roho akaaye ndani yetu hututamani kiasi cha kuona wivu?
 
Mleta mada utakuta amepigwa na kitu kizito tena na kabinti kadogo SANA. Kaona aje na neno la kumtia moyo..

Huwezi kujitenga na mapenzi. Tena wengi wetu tunazini SANA.
Mwanaume tunawaza pesa na mbunye Kwisha habari.
 
Kivipi?
Lile tendo ukilifanya kisawasawa,linachosha mwili
Maandalizi,siyo Ile ya kukurupuka,mnaparamiana kama vibaka
Lazima muandaane vyema afu ndo mzagamuane
Ila ka unafanya kama jogoo dk 2,hakuna uchovu
Sasa hayo si mazoezi mkuu, ndio raha yeneyewe hiyo, kuandaana kikamilifu na kuwekana for hrs.
 
Kivipi?
Lile tendo ukilifanya kisawasawa,linachosha mwili
Maandalizi,siyo Ile ya kukurupuka,mnaparamiana kama vibaka
Lazima muandaane vyema afu ndo mzagamuane
Ila ka unafanya kama jogoo dk 2,hakuna uchovu
Hosea 4:10-11
Nao watakula, lakini hawatashiba; watafanya zinaa, lakini hawataongezeka; kwa sababu wameacha kumwangalia Bwana.

Uzinzi na divai na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu.

Vijana zinaaa Ina madhara makubwa msizini
 
Kaka matokea ya zinaaa ni laana unakua adui wa Mungu

Yakobo 4
4 Enyi wazinzi, hamjui ya kwamba kuwa rafiki wa dunia ni kuwa adui wa Mungu? Basi kila atakaye kuwa rafiki wa dunia hujifanya kuwa adui wa Mungu.

5 Au mwadhani ya kwamba maandiko yasema bure? Huyo Roho akaaye ndani yetu hututamani kiasi cha kuona wivu?
🤣🤣Wewe huwa hudhini?
Btw am madame🙏
 
Mleta mada utakuta amepigwa na kitu kizito tena na kabinti kadogo SANA. Kaona aje na neno la kumtia moyo..

Huwezi kujitenga na mapenzi. Tena wengi wetu tunazini SANA.
Mwanaume tunawaza pesa na mbunye Kwisha habari.
Kaka IKIMBIE ZINAA hamna kitu kizito chochote Wala sitii huruma

1 Wakorintho 6
18 Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.

19 Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe;
 
Back
Top Bottom