Dhambi saba mbaya zaidi

Dah... Kwa hizo dhambi kuuona ufalme wa Mungu ni ngumu sana unless nitubu daily hasa hiyo dhambi ya tamaa...
 
Shetani akizeeka huwa malaika naona mshana kawa malaika nowdays
 
Shetani akizeeka huwa malaika naona mshana kawa malaika nowdays
[emoji80] [emoji15] [emoji80] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]
 
Siyo kweli, dhambi mbaya kuliko zote na inayosababisha haya mabaya yoote ni moja tu. Ukiwa siyo Mcha Mungu ndo chanzo cha dhambi hizo ulizotaja.
Haya asante kwa kuchangia
 
Dhambi kuu ni moja tu: Kumkataa Mungu, basi!
 
2. Uroho(gluttony) uroho ni sehemu ya tamaa, lakini hapa ni kwenye kumiliki na kutawala zaidi..dhambi nyingi za uchawi na mauaji zimetokana na uroho

Hapo umekosea. Gluttony ni tamaa ya kula vyakula kupita kiasi. Hauhusikani na uchawi, mauaji, kumiliki au kutawala. It's just about overeating.
 
OK asante kwa matekebisho naomba tubaki na tafsiri ya kiswahili
 
Hapo namba SABA hapo umeninanga kijanja, maana mimi hiwa ndo napenda sana kutumoa hiyo kauli, "MIMI NDIO KRAIT, HAKUNA KAMA MIMI"
 
Hapo namba SABA hapo umeninanga kijanja, maana mimi hiwa ndo napenda sana kutumoa hiyo kauli, "MIMI NDIO KRAIT, HAKUNA KAMA MIMI"
[emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji115]
 
Umenena vyema mkuu.
Kuna mchangiaji mmoja kauliza eti hizo dhambi umezitoa katika kitabu kipi?
Haya yote yamefundishwa katika vitabu vitakatifu.
Na chanzo cha yote ni kukosa upendo wa kimungu moyoni mwao wanadamu.
 
Tunatofautiana kiwango cha utambuzi na maarifa kaka
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…