Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,312
- 51,975
Wasiliana na uongozi wa jamiiforum watakuweka humo
Mkuu hili jukwaa la dini lipo wapi?silion kwangu
Mkuu hili jukwaa la dini lipo wapi?silion kwangu
Asante mkuu ngoja niwatafuteWasiliana na uongozi wa jamiiforum watakuweka humo
km mshahara wa dhambi ni Mauti mtoto mwenye umri wa siku mbili ANAPOKUFA huwa ana dhambi Gani?Kwanza Hakuna roho mtakatifu Kuna roho takatifu
Nikirud kwenye swali lako.unapaswa ufaham kwanza Kama roho hio takatifu ndio inaoleta uzima.sasa kwa kuwa watu wengi hukutwa na kifo kwa SABABU tu ya makosa yao yaani dhambi zao.maana mshahara wa dhambi Ni mauti.hakuna ushahidi kuwa wale wakamilifu wasio tenda dhambi huwa wanakufa roho.wenyewe waga wanachukuliwa roho zao hizo TAKATIFU na kupelekwa SEHEMU NYINGINE.kwa hiyo roho za watenda dhambi huwa zinachoshwa na uovu kiasi kwamba matokeo yake huwa kifo ..yaani Ni Kama ile SAA unayotoa bao unaona jinsi usivyoweza kurudisha wazungu ndani ikitoka imetoka kuwazuia Ni haiwezekan ndo maana halisi ya kuiua roho yaani umeitesa roho kiasi kwamba imeona inatosha kwa hiyo matokeo ya kifo ndo kitu kisichosamehewa you can't reverse the action..ila kwa watenda mazuri wao huwa hawafi.mkiwa mnazika mwili mwenzenu huyo bado mzima bado anaishi na watakatifu wengine na MUNgu..hivyo ndivyo nijuavyo mimi.kutosamehewa is all about death
Sio kweli kaka Roho mtakatifu na Mungu baba ni tofauti sana ndo sababu kuwa na utatu Mungu ni mtakatifu ila sio roho mtakatifuMmmh, sio kweli Biblia inasema wazi kwamba ni Roho Mtakatifu ikimaanisha Roho ya Mungu mwenyeww, wewe unasema roho takatifu ni roho za binadamu wapi na wapi? Biblia inaposema Roho Mtakatifu haizungumzii roho ya binadamu, kwa hyo dhambi ya kumkufuru Mungu haitasamehewa labda turudi kwenye neno la kiswahili maana ya kukufuru au kiingereza blasphemy, lakini ukweli utabaki pale pale Roho Mtakatifu ni Mungu mwenyewe
Kumkufuru Roho Mtakatifu ni kukata tamaa. Hii ni sawa na kuweka ukomo wa nguvu za MUNGU na kusema hawezi kukuvusha. Ni sawa kabisa na kusema MUNGU hayupo.
Kumkufuru Roho Mtakatifu (Kukata tamaa) ndiyo dhambi isiyosameheka duniani wala mbinguni....Wajuvi zaidi wataendelea. Asante.
Hapana aiseeee... Mi naona kama mtu akisema mwenyewe directly kuwa yupo against the holy spirit then hio ndio dhambi. Sio kukata tamaa. Kama ndio hivyo bhasi tangu nizakiwe mpaka Leo hamna atakaeenda mbinguni cause wote nilishawaona wakikata tamaa. In fact hamna binadamu asiokata tamaa. That's how Good created us, asingeweka kitu natural to us kama law kuwa tukivunja then hatusamehewi.
This topic sijawahi ifikiria Sana since God is a complicated... But to rule that out, kukata tamaa sio dhambi. Then hamna anaeenda Mbinguni. Mimi ni Askari hodari wa Yesu Kristo, despite my flaws. Najirekebisha
-callmeGhost
Kuna roho mtakatifu na roho takatifu kwa maelezo yako hata Yesu alishukiwa na roho mtakf sio roho takatifuKwanza Hakuna roho mtakatifu Kuna roho takatifu
Nikirud kwenye swali lako.unapaswa ufaham kwanza Kama roho hio takatifu ndio inaoleta uzima.sasa kwa kuwa watu wengi hukutwa na kifo kwa SABABU tu ya makosa yao yaani dhambi zao.maana mshahara wa dhambi Ni mauti.hakuna ushahidi kuwa wale wakamilifu wasio tenda dhambi huwa wanakufa roho.wenyewe waga wanachukuliwa roho zao hizo TAKATIFU na kupelekwa SEHEMU NYINGINE.kwa hiyo roho za watenda dhambi huwa zinachoshwa na uovu kiasi kwamba matokeo yake huwa kifo ..yaani Ni Kama ile SAA unayotoa bao unaona jinsi usivyoweza kurudisha wazungu ndani ikitoka imetoka kuwazuia Ni haiwezekan ndo maana halisi ya kuiua roho yaani umeitesa roho kiasi kwamba imeona inatosha kwa hiyo matokeo ya kifo ndo kitu kisichosamehewa you can't reverse the action..ila kwa watenda mazuri wao huwa hawafi.mkiwa mnazika mwili mwenzenu huyo bado mzima bado anaishi na watakatifu wengine na MUNgu..hivyo ndivyo nijuavyo mimi.kutosamehewa is all about death
Am afraid maybe nilishawahi kutenda hiyoSema lolote ujualo juu ya dhambi ya kukufuru holy spirit
Siyo kweli mkuu kuna watu walikuwa wauaji lkn walisamehewa mfano Musa alimuua mmisri lkn alisamehewa, Daudi na Uria lkn alisamehewa, Paulo akiwa anaitwa Sauli aliwaua wengi sana na wengine wengi lkn wote walisamehewaDhambi isiyo na msahama ni moja tu - KUUA.