Sasa hayo Maneno kinyume chake ni Yapi...?Sio kweli kukufuru ni kunena maneno kinyume chake na kutoa kashfa
Nimekuelewa sana ila naomba tofauti ya kukufuru Mungu
Kukufuru roho mtakf
Na kumkufuru Yesu Kristo
Je aliemkufuru Mungu na Yesu hukumu yao ni ipi
Roho mtakatfu kama yuko ndani ya Yesu mbona dhmb yake inasameheka
Mkuu kwanza naomba ufahamu kuwa miili yetu ni hekalu la Roho Mtakatifu.Poleni ndugu wananchi Tanzania kwa msiba
On point
Sisi wanadamu tunapitiwa kweli kutenda maovu lakini Mungu hutuhurumia
Kwa upande wa ukristo Yesu aliwai kusema waweza kumkufuru Yeye lakini sio roho mtakatifu hutasamehewa hata mungu lakini sio roho mtakatifu husamehewi kamwe ulimwengu huu na ule ujao hivi nini maana ya kukufuru roho mtakatifu wajuzi naomba utatuzi....
#mfikwa
#mshana jr
#zitto jr
NI YALE YA KUMKASHIFU NA KWA KUTOA MANENO MACHAFU NA YENYE MAASI MBELE ZA WATUSasa hayo Maneno kinyume chake ni Yapi...?
kumbuka Yohana 3:18(Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu)inasema nini?
na mm nimesema nini? suala la kutokuamini sio Suala Dogo kama unavyo fikiria nitajia hayo maneno yaliyo kunyume na Roho mtakatifu
HII MADA INA MAPANA YAKE TENA MAKUBWA BASI KAMA NDIO HIVYO HAKUNA ATAKAYE SALIMIKA KWA MUJIBU WA MAANDIKO YAKOMkuu kwanza naomba ufahamu kuwa miili yetu ni hekalu la Roho Mtakatifu.
Na pale tunapokua tumetenda dhambi ina maana tunakua tunamchukiza Roho Mtakatifu na tunakua kama tunamfukuza.
Na ndio maana mwenyezi Mungu akatuwekea toba/kutubu yaani kuweza kurudiaha uhusiano wetu na Mungu.
Na anayetukumbusha kufanya toba ni Roho mtakatifu.
Sasa mtu anapokua anashindwa kuitii ile sauti inayomhimiza kwenda kutubu (yaani sauti ya Roho Mtakatifu) dhambi zake, ndio kufuru inapoanzia. Na ikitokea mtu huyu akaendelea kushupaa pasi kuisikiliza sauti hii inayomhimiza kwenda kutubu na hatimaye akawa haoni kuwa ana dhambi na mwisho akafa pasipo kuzitubu dhambi zake, basi huyu anahesabika kama mmojawapo wa watu waliomkufuru Roho Mtakatifu.
Kuna ile ya kujifanya unanena kwa lugha kumbe ni uongo, kujifanya umeshukiwa na roho mtakatifuNI YALE YA KUMKASHIFU NA KWA KUTOA MANENO MACHAFU NA YENYE MAASI MBELE ZA WATU
Mmmh, sio kweli Biblia inasema wazi kwamba ni Roho Mtakatifu ikimaanisha Roho ya Mungu mwenyeww, wewe unasema roho takatifu ni roho za binadamu wapi na wapi? Biblia inaposema Roho Mtakatifu haizungumzii roho ya binadamu, kwa hyo dhambi ya kumkufuru Mungu haitasamehewa labda turudi kwenye neno la kiswahili maana ya kukufuru au kiingereza blasphemy, lakini ukweli utabaki pale pale Roho Mtakatifu ni Mungu mwenyewe
Yan Mungu nae ana roho kama sisi,kwamba nayy atakufa?
Kuna haja yakusoma biblia zenu mkaelewa maana halisi tena ikiwezekana na kama unaweza ukasoke kwa lugha aliyotukia yesu ili uelewe full content.
Sasa kwa mfano (supposedly) Mungu ana roho kwa iyo unavyosema kwa jina la baba,mwana na roho mtakatifu,
literally unamanisha unamuwakilisha Mungu kwa kusema kua ni roho mtakatifu alaf nayy unamtaja.
Someni sana wakristo kuna errors nying sana kwenye biblia ambapo unakuta one scripture inapingana na nyingine.
Itoshe kusema mnapaswa kusoma sana ili muelewe usije ukaenda kwa Mungu huku huna uhakika dini yako kama ni sasa,nanjia rahis niku cross chek au ku verify kilichoandikwa kwenye biblia
Hueleweki..Kwanza Hakuna roho mtakatifu Kuna roho takatifu
Nikirud kwenye swali lako.unapaswa ufaham kwanza Kama roho hio takatifu ndio inaoleta uzima.sasa kwa kuwa watu wengi hukutwa na kifo kwa SABABU tu ya makosa yao yaani dhambi zao.maana mshahara wa dhambi Ni mauti.hakuna ushahidi kuwa wale wakamilifu wasio tenda dhambi huwa wanakufa roho.wenyewe waga wanachukuliwa roho zao hizo TAKATIFU na kupelekwa SEHEMU NYINGINE.kwa hiyo roho za watenda dhambi huwa zinachoshwa na uovu kiasi kwamba matokeo yake huwa kifo ..yaani Ni Kama ile SAA unayotoa bao unaona jinsi usivyoweza kurudisha wazungu ndani ikitoka imetoka kuwazuia Ni haiwezekan ndo maana halisi ya kuiua roho yaani umeitesa roho kiasi kwamba imeona inatosha kwa hiyo matokeo ya kifo ndo kitu kisichosamehewa you can't reverse the action..ila kwa watenda mazuri wao huwa hawafi.mkiwa mnazika mwili mwenzenu huyo bado mzima bado anaishi na watakatifu wengine na MUNgu..hivyo ndivyo nijuavyo mimi.kutosamehewa is all about death
Hujatoa maana bado.Hapana ni nasfi ya 3 ktk utatu
Acha uongoKwanza Hakuna roho mtakatifu Kuna roho takatifu
Nikirud kwenye swali lako.unapaswa ufaham kwanza Kama roho hio takatifu ndio inaoleta uzima.sasa kwa kuwa watu wengi hukutwa na kifo kwa SABABU tu ya makosa yao yaani dhambi zao.maana mshahara wa dhambi Ni mauti.hakuna ushahidi kuwa wale wakamilifu wasio tenda dhambi huwa wanakufa roho.wenyewe waga wanachukuliwa roho zao hizo TAKATIFU na kupelekwa SEHEMU NYINGINE.kwa hiyo roho za watenda dhambi huwa zinachoshwa na uovu kiasi kwamba matokeo yake huwa kifo ..yaani Ni Kama ile SAA unayotoa bao unaona jinsi usivyoweza kurudisha wazungu ndani ikitoka imetoka kuwazuia Ni haiwezekan ndo maana halisi ya kuiua roho yaani umeitesa roho kiasi kwamba imeona inatosha kwa hiyo matokeo ya kifo ndo kitu kisichosamehewa you can't reverse the action..ila kwa watenda mazuri wao huwa hawafi.mkiwa mnazika mwili mwenzenu huyo bado mzima bado anaishi na watakatifu wengine na MUNgu..hivyo ndivyo nijuavyo mimi.kutosamehewa is all about death
Asante kwa mwaliko nitarejea kwa kutuliaPoleni ndugu wananchi Tanzania kwa msiba
On point
Sisi wanadamu tunapitiwa kweli kutenda maovu lakini Mungu hutuhurumia
Kwa upande wa ukristo Yesu aliwai kusema waweza kumkufuru Yeye lakini sio roho mtakatifu hutasamehewa hata mungu lakini sio roho mtakatifu husamehewi kamwe ulimwengu huu na ule ujao hivi nini maana ya kukufuru roho mtakatifu wajuzi naomba utatuzi....
#mfikwa
#mshana jr
#zitto jr
Kinacho kufa ni roho au nafsi?Kwanza Hakuna roho mtakatifu Kuna roho takatifu