Huku the boss alishawahi kusema wafungwa wapigwe mateke na wakatetemeke na baridi huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna bahati mbaya hapo.Tunayo bahati mbaya sana.
Hakuna bahati mbaya hapo.
Mmemchagua na mnamchekea na kumpongeza kila siku.
Bahati mbaya iko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakwambia hivi, hakuna bahati mbaya hapo, huo ni mpango umepangwa makusudi kukuzuga wewe uone una wasomi.Mkuu tunayo bahati mbaya maana list ya wasomi wetu ambao hata walikuwa kwenye position ya ku advise ni kama hawa hapa:
Prof. I. Juma - Judge mkuu
Prof. Kabudi - waziri
Prof. Mwakyembe - waziri
Wote hao hapo juu ni wanasheria wabobezi wana wa nchi hii.
Nakwambia hivi, hakuna bahati mbaya hapo, huo ni mpango umepangwa makusudi kukuzuga wewe uone una wasomi.
Watu wapige hela, wewe ubaki kuangalia wasomi wanavyofanya kazi.
Msomi gani hajiheshimu yeye mwenyewe?
Kwani hayo ma degree ndiyo yanapima usomi?
Msomi anakosa personal integrity na kusema katolewa jalalani?
Nakwambia hivi, hakuna bahati mbaya hapo, huo ni mpango umepangwa makusudi kukuzuga wewe uone una wasomi.
Watu wapige hela, wewe ubaki kuangalia wasomi wanavyofanya kazi.
Msomi gani hajiheshimu yeye mwenyewe?
Kwani hayo ma degree ndiyo yanapima usomi?
Msomi anakosa personal integrity na kusema katolewa jalalani?
Kati ya mawazo yanayosababisha umasikini ni haya ya bahati mbaya, kazi ya Mungu, ni majaliwa tu, malipo peponi na mengine kama hayo.Mkuu waswahili wanasema ajidhaniaye kasimama ....
Iko namna hii kwamba hatuna bahati mbaya? Mbona itakuwa kujifariji tu? Kwani palikuwa na haja ya kumfahamisha nani kuwa kilihitajika chama kimoja tu cha upinzani kupambana nao, baada ya hapo labda kuweka mambo sawa sasa?
Yupi kati yao hao wapinzani yuko tayari ku cede na kutambua maslahi mapana ya nchi na kutambua kuwa bila kuwa na tume huru ya uchaguzi, chaguzi zote ni chaguzi za kuigiza tu?
Mkuu tuna bahati mbaya na haiyumkiniki penye ahueni hamna.
Jaribu kulinganisha upuuzi mwingi katia nyanja zote unfortunately Kenya hauwezi kukubalika no matter who says what.
Kwa taarifa yao waasomi na viongozi wa vyama vya upinzani kwa bahati mbaya wamekuwa ndiyo contributors wakubwa kwenye hii let down.
Kati ya mawazo yanayosababisha umasikini ni haya ya bahati mbaya, kazi ya Mungu, ni majaliwa tu, malipo peponi na mengine kama hayo.
People get the leadership they deserve. If they don't deserve a certain leadership, they will change the leadership.
Hakuna bahati mbaya hapo.
Bahati mbaya ni kisingizio cha wazembe.
Nchi ina rasilimali zote, ina ufukwe mkubwa wa bahari, ina mamilioni ya watu wa kila aina.
Unasema ina bahati mbaya?
Hakuna bahati mbaya hapo.
Watumishi wa umma wanaowawezesha hao viongozi wa siasa kuendelea kuongiza wanalalamika wee hawapandishiwi mishahara, halafu wanaendelea kuwawezesha watesi wao. Bahati mbaya iko wapi hapo?
Labda uniambie uzembe.
Sent using Jamii Forums mobile app