Dhamana mahakamani au polisi ni haki ya kila mtuhumiwa. Hii ni pasipo na kujali tuhuma mtu alizo nazo pale inapodhihirika wazi kuwa mtuhumiwa atapatikana muda atapohitajika pasipo na kukosekana.
Ona kama hivi kwa majirani zetu:
Haya ya kupakaziana makosa yasiyo na vichwa wala miguu ati kuwa hayana dhamana na kunyimana dhamana ili kukomoana tu, ni mambo ambayo watawala wetu wanapaswa kujua kuwa ni ya aibu sana na yanapaswa kukomeshwa.
Badala ya kutisha watu ambayo haitosaidia kitu jitihada zaidi zitahamia kwenye kudai katiba inayotambua umuhimu wa dhamana. Hii achilia mbali ukweli kuwa magereza na rumande zetu zimesha jaa watu mno hata kuzidi uwezo wake.
Ona kama hivi kwa majirani zetu:
Second suspect in Tob Cohen’s murder released on Sh 2 million cash bail
Businessman Peter Karanja, a suspect in the murder case of Tob Cohen, has been released on a Sh4 million bond or an alternative cash bail of Sh 2 million. Judge Daniel Ogembo while making the
www.google.com
Flashy Nairobi governor Mike Sonko released on Sh300 million
Flashy Nairobi governor Mike Sonko released on Sh300 million bail
www.thecitizen.co.tz