Jee maamuzi ya kuhusu dhahabu yetu yapo chini ya maamuzi ya wanasiasa wa CCM au benki kuu?
Jee ni waziri wa fedha anayeamua ni kiasi cha akiba ya dhahabu tunachotakiwa kuwa nacho ama Gavana wa Benki kuu?
Jee waziri wa fedha akisema dhahabu iuzwe Gavana wa Benki Kuu anaweza kuzuia ama Gavana wa Benki Kuu naye akitaka kuuza waziri wa fedha anaweza kuzuia?
Na ni kanuni gani inayotumika kuamua ni kiasi gani cha dhahabu kinachostahili kuwekwa kama akiba ya nchi. Jee kiwango hicho kikiongezeka kuna madhara gani kwa uchumi wa Taifa ?
Katiba mpya ndio jibu la maswali yako.
Mamlaka yote yapo chini ya mtu m1. Hao wengine ni spika tu.
Hili chura kiziwa kashaamua hakuna wa kupinga.
KATIBA MPYA ndio suluhisho.