General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,300
- 23,022
Mo kakopesha shiling ngapi mpaka kichwa kina muuma??
Hawa watakuwa viongozi wa simba tu.
Kiukweli ukitaka kugombana na rafiki yako mkopeshe alafu uwe unamdai huku wewe ukiwa huna pesa na yeye akiwa hana.
Urafiki utaisha hapohapo.View attachment 879178
Saaaana,.doh😁Rafiki hata kama anayo kukulipa inakuwaga ni shida ila wakati wa kukopa ohooo utamwonea huruma
Na si tabia njema hii,.Kutokutaka kulipa hela uliyoikopa ni moja kati ya matokeo ya tamaa za binadamu.
Salary inaingia lakini bado anakwambia mkuu nivumilie bado sijapata ule mzigo.