PreGE2025 Devotha Minja: Utulivu wa nafsi nimeupata ndani ya CHAUMMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) bara Devotha Minja ameeleza kuwa malengo makubwa ya chama hicho ndiyo yamemvutia kujiunga na chama hicho.

Devotha ameeleza hayo akitanabaisha malengo hayo siku ya Jumatano Mei 21, 2025 wakati wa Mkutano mkubwa wa mapokezi ya wanachama wapya wa chama hicho uliobatizwa kama Grand Reception ' unaofanyika Ukumbi wa Ubungo Plaza mkoani Dar es Salaam.

Pia soma Pre GE2025 - Boni Yai: Devotha Minja alituma vitenge vya CHAUMMA kwenye group tukamtoa
 
Hawa watu wangechunguzwa kwanza uwezo wao wa kufikiri, wananchi sio mazuzu, hata mkia haujaota tayali umeanza kusikia utamu, huo utam vipi na mkia wako hauwezi kufikia eneo la tukio
 
Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) bara Devotha Minja ameeleza kuwa malengo makubwa ya chama hicho ndiyo yamemvutia kujiunga na chama hicho.

Devotha ameeleza hayo akitanabaisha malengo hayo siku ya Jumatano Mei 21, 2025 wakati wa Mkutano mkubwa wa mapokezi ya wanachama wapya wa chama hicho uliobatizwa kama Grand Reception ' unaofanyika Ukumbi wa Ubungo Plaza mkoani Dar es Salaam.
View attachment 3341131
Pia soma Pre GE2025 - Boni Yai: Devotha Minja alituma vitenge vya CHAUMMA kwenye group tukamtoa
Asituone watanzania ni wajinga kama yeye,kila mtu mwenye akili timamu anajua hiyo ni project ya state wao wamefuata maelekezo tu,chama kinaongozwa kwa falsafa ya kula ubwabwa hicho,kipo kikomedi zaidi
 
Pesa sabuni ya robo. Hata hivyo, ni swala la muda tu kabla hajajakusutwa kwa hiyo kauli pale kibao kitapigeuka.
 
Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) bara Devotha Minja ameeleza kuwa malengo makubwa ya chama hicho ndiyo yamemvutia kujiunga na chama hicho.

Devotha ameeleza hayo akitanabaisha malengo hayo siku ya Jumatano Mei 21, 2025 wakati wa Mkutano mkubwa wa mapokezi ya wanachama wapya wa chama hicho uliobatizwa kama Grand Reception ' unaofanyika Ukumbi wa Ubungo Plaza mkoani Dar es Salaam.
View attachment 3341131
Pia soma Pre GE2025 - Boni Yai: Devotha Minja alituma vitenge vya CHAUMMA kwenye group tukamtoa
Msaka tonge tu huyo. Hapo kachanga karata vizuri ili mkono uende kinywani
 
Kweli kabisa, kile chama kuanzia mwenyekiti wa taifa mpaka mfagizi wa ofisi ya kitongoji wanatukana matusi balaa
 
Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) bara Devotha Minja ameeleza kuwa malengo makubwa ya chama hicho ndiyo yamemvutia kujiunga na chama hicho.

Devotha ameeleza hayo akitanabaisha malengo hayo siku ya Jumatano Mei 21, 2025 wakati wa Mkutano mkubwa wa mapokezi ya wanachama wapya wa chama hicho uliobatizwa kama Grand Reception ' unaofanyika Ukumbi wa Ubungo Plaza mkoani Dar es Salaam.
View attachment 3341131
Pia soma Pre GE2025 - Boni Yai: Devotha Minja alituma vitenge vya CHAUMMA kwenye group tukamtoa
Takataka
 
Wengine ni Malaya tu kama alivyowahi kutuambia baba wa Taifa.
 
Back
Top Bottom