Waziri Mwakyembe kafanya jambo kubwa na zuri sana kuwasimamisha kazi wakurugenzi Mgawe,Koshuma,Mfuko na menejea wa bandari bwana Ngamilo kwani hawa ni walikuwa ni tatizo, ila bado kuna tatizo kubwa lingine inapaswa kufanyika haraka la sivyo kila siku uharibifu utaendelea, huyu mkuu wa usalama wa bandari bwana Devid Mranda anapaswa kuondolewa haraka kwani wizi wote unafanyika yeye yuko hapo anashuhudia na kuubariki na hatari sana kwa kwa muda mchache alioko hapo amekuwa tajiri kupindukia akimiliki mahotel,maduka ya vifaa vya ujenzi na Nguo eneo la kariakoo na mwenge
Tunakuomba waziri Mwakyembe muondoe haraka fisadi huyu hana afanyalo ni kuharibu tu.
Tunakuomba waziri Mwakyembe muondoe haraka fisadi huyu hana afanyalo ni kuharibu tu.