Devid Kafulila Achukua Fomu ya Katibu Mkuu wa Nccr Mageuzi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Habari zilizotufikia Mdaa huu kutoka ndani ya Chama cha Nccr Mageuzi zinatanabaisha kuwa Devid Kafulila Amechukua fomu ya Katibu Mkuu wa Chama hicho Makao makuu ya Chama hicho

Team ya Wanahabari Huru inamtakia kila la Heri katika uchaguzi wao
 

Attachments

  • IMG-20161007-WA0119.jpg
    IMG-20161007-WA0119.jpg
    39.3 KB · Views: 32
Back
Top Bottom