project aina gani na amuwezi fanya project bila kujuanaLete project mezan
Hivi vitu ni vigumu kwa bongo kwa sababu kwanza vinahitaji rasilimali watu na kisha rasilimali fedha za kuendesha hiyo project. Ikiwa mtu kutafuta hela ya mkono kwenda kinywani ni ngumu sembuse ya kuendeshea project!? Wazo kama hili unatakiwa uanze nalo ukiwa chuoni watu hamjatawanyika lakini kwa mazingira ya kawaida ni ngumu unless uajiri watu waifanyeHabari developers, nimekuwa nijiuliza kwann sisi madevelopers wa TZ tusi organise tukafanya kitu kama wenzetu wazungu hao wapo chini. Tunaweza kufanya kituo ambacho kinaweza kutoa mahali tulipo kuliko kujifungia chumban pekee yako ukiisi utafanikiwa. Hakuna IT aliyefanikiwa akiwa peke yake.
Lai yangu ni tuungane pamoja ilituweze kusonga mbele.
Nilishawekeza kipindi fulani resources zangu ili kuwaleta pamoja Devs wa Bongo. Niliishia kula hasara na hakuna aliyeniunga mkono. Sasa hivi natulia tu na kazi zangu. Kuwasaidia Wabongo wenzetu ni shida.Hivi vitu ni vigumu kwa bongo kwa sababu kwanza vinahitaji rasilimali watu na kisha rasilimali fedha za kuendesha hiyo project. Ikiwa mtu kutafuta hela ya mkono kwenda kinywani ni ngumu sembuse ya kuendeshea project!? Wazo kama hili unatakiwa uanze nalo ukiwa chuoni watu hamjatawanyika lakini kwa mazingira ya kawaida ni ngumu unless uajiri watu waifanye
Tatizo letu wabongo kitu "investment" kwetu ni msamiati mgumu sana, mtu anataka aanze kufanya kitu hapo hapo aone na output zake hapo hapo, ndo maana waliona kama unawazingua, nimekuwa na ideas kibao kutekeleza imekuwa kitenda wili, nakumbuka kuna idea moja ya project hadi tuliiandikia grant na ofisi ya wilaya ikawa tayari kutufadhiri ila kilichotokea baadae ni sili yangu, tangu siku hiyo huwa sijishughulishi na wabongo tenaNilishawekeza kipindi fulani resources zangu ili kuwaleta pamoja Devs wa Bongo. Niliishia kula hasara na hakuna aliyeniunga mkono. Sasa hivi natulia tu na kazi zangu. Kuwasaidia Wabongo wenzetu ni shida.
Acha wajaribu wanaweza fanikiwa, me mwenyewe nilikuwa nahitaji kitu sema njaa ndo inanikwamisha, na nimeshafanya project zangu nyingi sema marketing Ndo imekuwa kikwazo kikuu, but kama ni group of inawezakanaHivi vitu ni vigumu kwa bongo kwa sababu kwanza vinahitaji rasilimali watu na kisha rasilimali fedha za kuendesha hiyo project. Ikiwa mtu kutafuta hela ya mkono kwenda kinywani ni ngumu sembuse ya kuendeshea project!? Wazo kama hili unatakiwa uanze nalo ukiwa chuoni watu hamjatawanyika lakini kwa mazingira ya kawaida ni ngumu unless uajiri watu waifanye
Kenya wana kutu inaitwa technology incubators ihub na pivot, sisi watanzania tunaweza pia.Live
Ok njoo tuungane tufanye kitu
Lete project mezan
project aina gani na amuwezi fanya project bila kujuana
Kikubwa ni connection tu
Kama ni incubation hub tuna Buni pale costech na bro J4 anafanya kazi nzuri sana.Kenya wana kutu inaitwa technology incubators ihub na pivot, sisi watanzania tunaweza pia.
Let's be organized. Let's first create a whatsapp group for developers.
Hivi vitu ni vigumu kwa bongo kwa sababu kwanza vinahitaji rasilimali watu na kisha rasilimali fedha za kuendesha hiyo project. Ikiwa mtu kutafuta hela ya mkono kwenda kinywani ni ngumu sembuse ya kuendeshea project!? Wazo kama hili unatakiwa uanze nalo ukiwa chuoni watu hamjatawanyika lakini kwa mazingira ya kawaida ni ngumu unless uajiri watu waifanye