Deutch Welle yaanza uchochezi

Hapana mkuu mara moja moja leo si weekend kiongoz wangu
Haya mkuu,usinywe glass nyingi,inawezekana jamaa yuko ndani anahesabu idadi ya glass za juisi unazoletewa,huu msimu wa kubana matumizi
 
duh UCHOCHEZI !!!!!!!!!!! !!!!! !!!!!!! !!!
bila kusema walichochea,hakuna atakae kuelewa.
mwisho nawe utakuwa MCHOCHEZI.
uchochezi heeeeeeeee
AISEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Haya mkuu,usinywe glass nyingi,inawezekana jamaa yuko ndani anahesabu idadi ya glass za juisi unazoletewa,huu msimu wa kubana matumizi
Jamaa bado hajafika ndo maana najitanua
 
duh UCHOCHEZI !!!!!!!!!!! !!!!! !!!!!!! !!!
bila kusema walichochea,hakuna atakae kuelewa.
mwisho nawe utakuwa MCHOCHEZI.
uchochezi heeeeeeeee
AISEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Kitu gan ujakielewa hapo au hujui maana ya uchochez
 
Watu bhana eti mkulu anatoa kauli za kichochezi kwahiyo watu wengi nao wanamuiga kutoa kauli za kichochezi.....
 
Haya mkuu,usinywe glass nyingi,inawezekana jamaa yuko ndani anahesabu idadi ya glass za juisi unazoletewa,huu msimu wa kubana matumizi
Wajiandae naskia anataka mahesabu ya siku ambazo hakuwepo kujua pesa ilitumikaje
 
Nonsense
 
Wamesemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…