Mkuu umeishia la ngapi..Kituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo
Nini walichokisema ambacho wewe unadhani sii kweli?Kituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo
Ulidhani kila MTU ni Uhuru na Mzalendo??Nenda kafie mbali waache waseme ujinga wenuKituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo
Hajui sema waluchokisemaKwani hujui mkuu
unkunywa juisi magogoni huku unapungwa upepoKituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo
kalibuni=karibuniKituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo
eti 'kalibuni' nakunywa juice!Kituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo
Uchochezi ni nini? Hilo neno uchochezi linatumika vibaya sasa,inapaswa Neno uchochezi lilaniwe maana sasa Neno Uchochezi linatumika kuharalisha uzushi,Uonevu na hata Uongo kila mjinga akiona CCM inakosolewa anakimbilia kukariri Neno uchochezi, tambua kuwa Watanzania wa sasa wapo makini kwani hawachochewi kirahisi pasipo kutafakari hivyo Neno uchochezi hawalitaki maana halina maana yeyote kwenye kipindi hiki cha njaa na uonevu wa kuzuia mikutano ya siasa.Kituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo