Good People
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 945
- 1,817
Si Earphone tuu Bali iPhone 7 Plus kama Unavyojua iPhone hazijawahi kua na redio naskiliza mtandaoni.Hongera sana kumbe umenunua earphone?
Si kukinzana ni ukweli.Hiyo DW inajulikana ndiyo "sauti" ya watu wenye misimamo inayokinzana na serikali ya Tanzania, sijui wana maslahi gani na nchi hii? Anaejua anijuze
HahaahaahaaaHivi hii redio si inasikika Dar es Salaam, na mkuu RC (kaimu) keshasema kutoa habari za njaa ni jinai!? Basi DW tuoneeni huruma maana wanaweza kusema pia kusikiliza habari za njaa ni jinai hivyo kutuponza nasi tuliosikiliza!
Sasa na ndio hapo tuu nakua najiuliza deily kwa nn wasiweke redio ya offline mpaka niingie online je ni kweli iphone anaufikia kabisa mziki wa window phone au kuna nini kilichowekwa na huyo gay wa iphone.Si Earphone tuu Bali iPhone 7 Plus kama Unavyojua iPhone hazijawahi kua na redio naskiliza mtandaoni.
Kwani Sengerema kuna Wanyonge? Wanyonge wako Chato bhana.Mkoani Mwanza wilaya ya Sengerema Kijjiji cha Isome Wanaichi wamehamishia familia zao kwa Mwenyekiti wa kijiji wakihofia familia zao kufa njaa taarifa inasema hali ni mbaya sana
Rais acha siasa RAIA wana kufa na bahati nzuri imeanzia kwa ndg zako
Source DW Radio
Matangazo ya mchana