Deus Mallya: Maswali na majibu ya Kifo cha Wangwe, Siasa n.k

Nashukuru,sasa wewe walikushitaki kwa kosa gani?

Unahitaji kupata case proceedings (yenye page 401) usome bro. Kesi niliyoshtakiwa nayo (Causing death through dangerous driving and Driving a Motorvehicle without a valid driving licence) ndiyo iliyofutwa na mahakama baada ya kugundua kuwa haikuwa kweli kama ilivyodaiwa hapo awali
 
Deus pole na kazi ya kujibu maswali mengi hapa ila kama una nia nzuri na dhabiti natumaini hata wewe unaanza kupata amani moyoni kwamba watu wanakipata kile ambacho hakikupatikana wakati wa ajali na wewe sasa unakisema mwenyewe no editing here. Sasa kaka wamekusingizia ujasusi na ugaidi naomba utusaidie education level yako na ulikua wapi right before hujaenda dom na baada ya kesi. Asante mnama.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nilikuwa nafanya biashara zangu na Baada ya hapo pia nilirudi kwenye Biashara zangu. Kuhusu Elimu yangu nitaleta CV yangu huku wakati ukifika.

Ahsante sana!.
 
Nimekuuliza hivi kwa sababu nilielezwa na mkibosho kutoka umbwe akaniambia ajali ile wewe ilikua bahati mbaya tu kwasababu ulikua kwenye gari lakini uhusika wako ni mdogo sana kwani hata leseni hukuwa nayo by then na ulikua na shughuli zako mwanza, ukaenda dsm (mwembechai) kidogo na baadae ukakaa kibosho pia kwa hiyo suala la ugaidi na ujasusi kwako halipo. Na kama ulivyosema ni kweli ni masuala ya logo creation na other computer related works ndo unafanya well umesema utaattach cv lakini thats a way far ungetueleza tu wanajamii kifupi primary wapi secondary wapi na kuendelea kama ipo. Kama nimepotoshwa lolote naomba unirekebishe

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
je ni kwel mbowe na marehem chacha walikuwa na ugomvi, mtafaruku?
 
Kwanza inaonekana unaokota taarifa za kunihusu kwa kiwango kikubwa. Huyo anaye/aliyekuwa ananifuatilia naye alipotoka.
1. Nani aliyemwambia sina/Sikuwa na leseni? (Magazeti)?
2. Sina Biashara Mwanza/Sikuwahi kuwa na Biashara Mwanza. Tangu nimetoka masomoni Biashara zangu zipo Dar tu.
3. CV yangu haielezwi kwa ufupi kama unavyotaka, Nitaitoa wakati ukifika (Najua kuna wenye CV yangu waliotengeneza wenyewe) pengine ndiyo na wewe uliyo nayo.

Ahsante sana.
 
Mkuu nakushukuru sana kwa majibu yako. Nilipotea jana hapa kwa ajili ya majukumu fulani, Kwanza nakupa pole kwa yaliyokukuta! Be strong na kaa ukijua kuwa "MSUMARI ULIOSIMAMA NDIO UPIGWAO NYUNDO" Wengine wanaogopa tu kukuambia hapa lakini ukweli ni kuwa ulilopitia hakuna mwanaume anayeweza kupitia akaendelea kuwa strong na jasiri kama wewe! Kwa kusingatia umri wako kweli ni vigumu kuweza kuhimili yaliyokukuta. You're so special brother.
Hao wanaokufuatilia waendelee tu ila mwisho wa siku kama ipo ipo tu. Nitakupa sapoti kwa nguvu zote ukifika Moshi tuwasiliane mimi nafanya Biashara hapa Moshi Mjini.

Kila la heri Kamanda.
 
Nimekuuliza hivi kwa sababu nilielezwa na mkibosho kutoka umbwe akaniambia ajali ile wewe ilikua bahati mbaya tu kwasababu ulikua kwenye gari lakini uhusika wako ni mdogo sana kwani hata leseni hukuwa nayo by then na ulikua na shughuli zako mwanza, ukaenda dsm (mwembechai) kidogo na baadae ukakaa kibosho pia kwa hiyo suala la ugaidi na ujasusi kwako halipo. Na kama ulivyosema ni kweli ni masuala ya logo creation na other computer related works ndo unafanya well umesema utaattach cv lakini thats a way far ungetueleza tu wanajamii kifupi primary wapi secondary wapi na kuendelea kama ipo. Kama nimepotoshwa lolote naomba unirekebishe

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Mkuu hao wanaomfuatilia waambie waendelee tu ila 2015 tutawaonyesha kuwa Wana Moshi Vijijini hatuchaguliwi viongozi. Tutachagua wenyewe mtu ambaye tunaweza kumtuma.

Deus Malya For Moshi Vijijini 2015
CHADEMA For Moshi Vijijini 2015
Peple's Power! (Japo najua wakati bado)
 
Maswali kwa Deus Malya:
1/Je wewe ni mfuasi wa chama gani?

2/Unahisi nini lilikuwa kusudi la watu walioamua kwa makusudi kukuhusisha wewe na ajali ile kama tukio ulilolipanga?
 
No, sidhani.Fuatilia kuna mada Chacha Wangwe alikuwa aiwakilishe bungeni akitokea kwenye safari yake,Na alimwambia Sitta,Sitta akamwambia awe makini,lakini hakufanikiwa kuileta hoja.Sasa fuatilia nani hoja ile ilikuwa ikimuhusu ndo uanze consipracy...

Naona unaleta hadithi za kusadikika, nifuatilie nini wakati jambo lipo wazi huyo Mallya ndio alikuwa anamuendesha marehemu Chacha Wangwe, fuatilia wewe hujuie vizuri kiti cha Chacha Wangwe, kilikuwa kimeegeshwa tu hata mkanda nao ulikuwa aujafungwa sehemu yake...mie mpaka hiyo gari Toyota nimeona baada ya ajali, halafu unaleta habari za Sitta.
 
Maswali kwa Deus Malya:
1/Je wewe ni mfuasi wa chama gani?

2/Unahisi nini lilikuwa kusudi la watu walioamua kwa makusudi kukuhusisha wewe na ajali ile kama tukio ulilolipanga?

1. Mimi ni Mwanachama hai wa CHADEMA.
2. Ukirudisha kumbukumbu nyuma utagundua wazi kuwa wanasiasa wa vyama vingine vyote walitumia ajali ile kama mzimu kwa CHADEMA. Lengo lilikuwa ni kuwaonyesha Watanzania kuwa CHADEMA ilihusika na 'mauaji' jambo ambalo halikuwa la ukweli. Wanasiasa waliokurupuka kama Mbatia,Mrema,Lipumba na Mtikila (Ambaye alipigwa jiwe Tarime) wanaonekana walipewa mikataba ya siri ya kisiasa kuendeleza uchafu usiokuwepo. Ziliundwa Tume tatu (Tume ya DCI, Tume ya Said Mwema na Tume maalum ya Masuala ya Kijasusi) na zote kwa vipindi tofauti nilijieleza mbele yao kwa jumla ya siku 18 na hawakuona lolote lililodaiwa na hao wanasiasa Uchwara.
 
Back
Top Bottom