Anayosema Zitto na yanayofanywa na wafuasi wake ni vitu viwili tofauti.
Zitto siku zote muda utakuwa unakuumbua.Unasema adui yenu si UKAWA ila ni CCM lakini wacha tusubiri kusika huyu jamaa atasema nini.
Wakati unasema nyie kama ACT hamtaki kuangaika na wapinzani ila kauli ya huyu itakuwa kinyume kwani niwazi anapanga kuisema vibaya CHADEMA.
Zitto bora uwe unakaa kimya tu.
Kwa mwendo huu ACT itachukua dola
Mallya ni kabila gani?
Ha,ha,haaaaaa, na wewe mwalimu uko act..!!??? Kumbe hiki chama kimejaza wahanga wa mapenzi duuuuh!! Mods nawashauri threads zooote zinazohusu hiki chama zipelekwe MMU tafadhali sana
Zitto jalala la vichaa bado Juliana Shonza
Kwa nn watu wenye akili kupoteza mda wenx kujadili kikundi kiitwacho act.? Jadili namna cdm itakavyo ingia ikulu 2015
Kama nawaona DJ na PADRE Wanavyohaha kunusuru SACCOS ya wachaga.
ACT inavuna wanachama kutoka CDM tu.
Sijasikia wafuasi wa vyama vingine wakihamia ACT.
Katumwa tena! yarabi!
Mbowe choo imembana ,ile siri aliyokua anatunza itakuaje sasa?
Ukiona hivyo jua YUDA kafanya kazi yake ya kumuuza yesu.
acha tabia za kike wewe unaejiita mwanaume wakati mtaani hamna kitu changia mada acha dharau wewe,una mahaba mazito na Act basi na wewe karibu maana umeona donge sana,uko mp nini una hasira sana