Deus Mallya Ajiunga na ACT Wazalendo



....so what? Hata akitaka ahamie fisiem.
 
Inasemekana(tetesi) alitumwa na mbowe kumuua Wangwe

Kuwa mwangalifu sana maandishi yako, soma sheria ya mitandao jf home page; inasubiri kutiwa saini na JK basi; watu waingie matatani!
 
Kwa hiyo sifa yake kuu ni kupata ajali na Chacha Wangwe?

Mkuu Ben wewe unamjua Ndugu Deus F Malya vizuri,sina uhakika kama alikuwa na cheo chadema zaidi ya kuwa Dereva wa Hayati Chacha wangwe na baada ya ajali jina lake ndio likasikika,uenda wengi wamemsahau na wangeuliza ni nani na ndio maana wasifu huo umetumika.
 
Birds of the same feather flock together, bado Joseph Ludovick soon atawa join wasaliti wenzake.
 
​kaaazi kweli kweli, wanachama wa ACT wanatokea CDM tu
 
Mkuu huyo jamaa atabiriki kabisa unaweza ona changes leo lakini kesho akirudi kwenye hali yake ya zamani.
Buchanan

Hongera as if I see positive changes in you
 
Last edited by a moderator:
ACT ipo kisayansi na akili zote bila ubaguzi zinapewa nafasi ndio maana ACT tunasema ni moto wa pumba kanyaga uone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…