chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
Usijari. Kwanza nimefurahi kuona hufuraishwi na umungu wa kibinadamu.Nsameeeehe mkuu unajua hwa watu washanikela sana mwaka wa pili sn kazi kat nlisoma ualimu nkijua kuajiliwa kawaida ila sasa...nsamehe sana mkuu
Ni yule yule lakini njaa imemtoa fahamu.hivi ndo deus yuleyule wa jukwaa la katiba?,
Ndg yang nakaslika sana mtu kujipa umungu najiuliza ujasir wanautoa wap..kama mkuu wa mkoa mmja hv alisema et akisema yey n kama amesema Mungu tang hapo stomuheshm tena..weng wanakufuru kwakutaka mafaraka na kulewa sifa..asante mkuu nmekuelewa.Usijari. Kwanza nimefurahi kuona hufuraishwi na umungu wa kibinadamu.
Watapewa adhabu kama ya Nebkadneza...Ndg yang nakaslika sana mtu kujipa umungu najiuliza ujasir wanautoa wap..kama mkuu wa mkoa mmja hv alisema et akisema yey n kama amesema Mungu tang hapo stomuheshm tena..weng wanakufuru kwakutaka mafaraka na kulewa sifa..asante mkuu nmekuelewa.
Kwel mkuu.maana sasa wanahis dunia n yakwao..watu wanateseka kwa njaa ila sasa ukisema kna njaa kutumbuliwa kunakuhusu..Watapewa adhabu kama ya Nebkadneza...
Huko binadamu wote ni sawaHuo utukufu ni kwa zama hizi tu?? Mbona sehemu nyingi duniani hakuna kitu kama hicho? Au hizo sio Ikulu??! Jana umeona USA watu walivyotumia uhuru wao kikatiba kuandamana na polisi hawakutumia nguvu nyingi kuwazuia,
Amepewa kitengo hata jukwaa la katiba halitaki tena.hiyo ni kwa mujibu wa katiba au kwa mujibu wa njaa na kujipendekeza kwake?
Mkuu kuwa na adabu...kama haujafunzwa kwenu mi nitakufunzaYaonyesha jinsi ulivyopungukiwa kiakili kimaadili n.k. maana hata babayako hakupona na majibu ya aina yako.
Utukufu!....yuko sahihi ndg.kibamba. urais ni taasisi kubwa na tukufu kimsingi. inapaswa kuheshimiwa
mitume walikuwa wa nchi gani? Enzi zao na sasa ni sawa?Mitume wa Mungu wanasemwa vibaya ndio Rais aogopewe kisa nini anapokosea aambiwe ukweli
Issue sio kupingwa, nadhani issue ni namna unavyompinga mtu. Je, unaongea kwa kujenga hoja za maana?, unaongea kwa kebehi na dhihaka?. Au unaongea kwa nia ya kujenga constructive criticism.Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini Dar es Salaam , ndugu Deus Kibamba asema Rais hawezi kupingwa waziwazi,amedokeza iwapo mtu ana mtazamo hasi kwa rais anapaswa kutafakari moyoni badala ya kumzungumzia vibaya rais. Amewaelezea wapinzani wa Tanzania jinsi wanavyomkosoa rais bila kuona mema yake.
Ameyasema hayo katika kipindi cha 360 cha Clouds TV .
Sasa kwa mfano kama anayeishika hiyo nafasi hajiheshimu watu watafanyaje? Kama kweli urais ni taasisi inapaswa kuanza na anayeishika hiyo nafasi afanye kazi akitambua kwamba ni taasisi na siyo yeye peke yake ndo mwenye maamuzi. Vinginevyo itakuwa ngumu kwa mtu wa kawaida kuiheshimu hiyo taasisi!yuko sahihi ndg.kibamba. urais ni taasisi kubwa na tukufu kimsingi. inapaswa kuheshimiwa