Deus Kibamba : Rais hapaswi kupingwa

Namkubali sana Deus Kibamba ni mtu makini, ukiwa na tafakuri nyepesi hutomwelewa. Ni kweli kabisa huwezi kumpinga Rais hadharani kwa kivuli na kiki tu za kisiasa bila kuona mazuri yaliyofanywa na serikali.
 
Njaa mbaya sana, ule usemi unaosema adui yako muoombe njaa, ndiyo nauona muda huu unafanya kazi. Na ukitaka kuuamini huu usemi, kwa wale ambao bado hawajaamini, wasubiri kidogo njaa iendelee kwa hawa wanahalakati + wapinzani. Hapo ndiyo utajua nani mkweli, nani ni nani. Huko tuendapo aidha kunawatu watakuwa kimya, au utasikia mitazamo ambayo hukuitegemea.
 
Huyu Kibamba sijui amepatwa na nini, hakuwa hivi kabisa, sio Kibamba niliyepata kumfahamu kabla, inasikitisha sana pale ambapo wale tunaowaamini wanapogeuka wasaliti kwasababu ya kupigania matumbo yao.
 
Mbwa wewe ushakufuru.rais malaika wap imeandikwa..mijitu mingne kama hailuzaliwa kwa uchungu..mtajipendekeza had lin?muda mwingne nataman yote yanayosifia upuuzi wa hyo mtu siku ayaambie yainame s mnasema hapingwi ndo mtajuta sk hy mbwa nyie
Duh Mkuu umenitukana bure ndg yangu.... Rudia usome tena comment yangu kwa ukaribu......


Yaàni nilichoandika ndio kinyume chake maana waimbabpambio wanataka tuimbe pambio za sifa na utukufu nisipoimba uchochezi. Soma tena nilichoandika
 
Kashbadilikia mapema yote hii kweli watanzania tuwe makini wapigania nchi ni wachache sana. Wengi tumbo kwanza
 
Hajaona marekani siku ya kuapishwa trump watu wanaandamana kumkataa.?
 
Huyo mwanadiplomasia uchwara haoni mifano ya nchi zilizoendelea?haoni hata kwa jirani zetu Kenya
 
Deus Kibamba ni mnafiki wa kawaida sana, ni njaa tu ndio zinamsumbua, hana tofauti kabisa na Mzee Nkinga, wote wanatafuta chakula tu.
Wakati ule wa Kikwete, wakina Deus Kibamba, Nkinga nk. walikuwa wako mbele kumkosoa na kumzodoa Kikwete kupita maelezo, eti leo hii wanasema Rais Magufuli hapaswi kukosolewa!
Rais Magufuli ni nani mpaka asikosolewe?
 
Mbwa wewe ushakufuru.rais malaika wap imeandikwa..mijitu mingne kama hailuzaliwa kwa uchungu..mtajipendekeza had lin?muda mwingne nataman yote yanayosifia upuuzi wa hyo mtu siku ayaambie yainame s mnasema hapingwi ndo mtajuta sk hy mbwa nyie
Unamtukania nini??Hivi JPM.hakusema anatakakuwa Rais wa Malaika yaani.in short awe sawa na Mungu??Ulimtukana baada ya JPM kusema hivyo??Acha kutukana binadamu mwenzako na kumfananisha na Mbwa.Toa hoja na si vihoja vya matusi
 
Kibamba must be hopeless! Kumbe hakuna wa kumwamini Tanzania. Wakati wa Kikwete alikuwa vocal leo anasema mavi matupu!
 
Marekani mbali Sana, hapo Kenya tu Wapinzani wanabishana na Uhuru jukwaani kwenye kadamnasi
 
Sio kila kitu tunaiga Wa-Marekani, mbona hamtaki kuiga na U-shoga??..anachomaanisha Bwana Kibamba ni kwamba kuna jinsi na taratibu za kuikosoa taasisi ya Uraisi..ndio maana amesema, kabla ya kuamua kuongea inafaa kufikiri kwa makini, utaratibu utakaoutumia kufikisha ujumbe wako. Na endapo busara itatumika, huo ujumbe utafika vizuri zaidi, na utafanyiwa kazi.

Kwa sisi Wa-Tanzania, tunafahamu, humo majumbani kwetu, Baba au Mama anaweza kukosea, na tunajua jinsi ya kuwaambia wamekosea.Utaratibu tunaitumia kuwakosoa watu tunaowaheshimu hauwezi kuwa sawa na jinsi nitakavyo mkosoa rafiki yangu wa hapa mtaani kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…