Deus Kibamba ni nani?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,611
Nimeshangaa kumuona Deus Kibamba yuko Azam Two akizungumza kuhusu uchaguzi wa Zambia
nimejiuliza maswali kibao...

Ya Tanzania yoote yanayotokea 'hayaoni'?
Kwani huyu Kibamba kazi yake ya kila siku
'daytime job' ni ipi?
anaishi vipi?
Analipwa na nani kwa kazi zake hizi?

Why now yuko kiimya na Magufuli?
 
Nchi..hii ukifatilia watu wanaodhaniwa kuwa wachambuzi unaweza kupata wazimu
 
Hu
Huyo ni wakala wa kanisa, alitumwa kumchosha JK, muhula ulipoisha na yeye kazi yake imeisha
 
Inshu ya Bunge live sijajua amefikia wapi maana ni kati ya wajumbe wa kutafuta suluhu hilo suala
 
Duh! Halafu jamaa nilishaanza kumsahau, kumbe bado yupo.....!?
 
Kwa hiyo siku hizi mnawapangia cha kuzungumza? Kama hakuna cha kuzungumzia Tanzania ni lazima azungumze?
 
Kwa hiyo siku hizi mnawapangia cha kuzungumza? Kama hakuna cha kuzungumzia Tanzania ni lazima azungumze?
 
Hahaha, hii ndio Tanzania bhana, kutana na wasomi wachambuzi...wenye "njaa" na walio "shiba"
Kuna kipindi niliwahi kumuona uswahilini akila kilaji......
Bongo hapa watu wana namna nyingi za kutafuta maisha...JK huko alipo atakuwa ana mengi Sana kuyasimulia
 
Duh kweli mmeishiwa... Mtu akizungumzia siasa za nje nayo ishakuwa kosa? Mnataka hao 'wanaharakati' wenu wamtukane Magufuli tu ndio wanakuwa mashujaa.
 
Kuna post umereply hapo juu kuhusu jamaa kuwa wakala wa kanisa imenishangaza! Nasoma sana maandiko yako humu jamvini, na naweza sema kuwa ur better than that!

Nimeangalia mahojiano hayo, sijaona baya lolote kwa jamaa, na amejaribu kuponda kimtindo tawala hizi za Africa mashariki kuhusu tume za uchaguzi na matumizi ya vyombo vya dola kama polisi kuwanyanyasa wapinzani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…