Detoriarating Sex Life!!!! (Anataka Kumuacha Mkewe)

hapa mie sitii neno manake mdogo wangu umekuwa kuliko nilivyotarajia.
usishangae sana kwamba wanandoa wengine ingawa wameoa lkn ushauri wao huomba kwa watu ambao hawajui ndoa inamaana gani. yaan unamkuta mtu anawaza ndoa ni kutiana tu 24/7 lkn ukiingia ndani ni just 1st yr the rest mnapiga pasi ndefu tu lkn maisha ya amani na furaha yanakuwepo. istoshe maisha ya kutengana ya baba na mama yana athari kwa pande nyingi sana na sio tu upande wa wawili.

Ukisikia dada mkubwa anakwambia umekua ujue umekua kweli........na hapa nimeshapewa "go ahead lol".

Ndio hapo hata mimi namshangaa huyo jamaa na nahisi ni sharobaro fulani hivi. Haingii akilini unamwacha mkeo eti kisa "ngono enjoyment" mara unene! Tena kwa sisi wanaume ni selfish sana unaweza kuamua kumfaidi mwanamke bila kutaka ushirikiano mkubwa kutoka kwake. Sanasana mwanamke ndiye huwa anataka sana kuridhishwa, na hata haya madawa ya nguvu za kiume huwa ni kwa lengo moja tu! Mwanamke aridhike ndipo roho yako isuuzike.

Kichwa kinakuaje kikubwa unaposifiwa "umeniridhisha mpenzi"
 
Ujue unene uwe umeuzoea ndo rahisi kukubali kuwa inahitajika jitihada za ziada kujiokoa! Sasa huu wa ghafla ukubwani, unakuwaga so emotional!!!!!! Coz huko nje kila mtu anakwambia YEYEEEEEE UTAPASUKA SASA! RUKA KAMBA AISEEE! UNAKULAGA NINI? sasa kama mnene waasili watu wankuwa wamekuzoea ila huu wa ghafla hivi kila mtu anakuhukumu. Na mmeo akianza wimbo ule ule it is so depressing kwakeli!!!!!!!! Lazima uwe MBOGO kwenye hilo swala aisee!

Hapa sasa umeweza kuangalia pande zote mbili...bahati mbaya huyo mwanamume amesahau kuwa mke wake anapitia katika kipindi kigumu na yeye ndiye alitakiwa kuwa nambari one katika kumpa sapoti,

Badala yake naye anataka kumtosa.....

Anyway...akili ni nywele ....ila huyu kaka anataka kufanya kosa kubwa, karibia sawa na kumshawishi mkewe anywe sumu!!

Babu DC!!!
 
Sasa unategemea utakuwa na hamu na mtu uliyemzoea mpaka unaingia kaburini?
Hivi kwenye mahusianao si kuna kupanda na kushuka......Kama kwa gf na bf sometime wanachokana itakuwa
watu wanaokutana na kulala pamoja kila siku?

Hapa naona huyo zombie wako ndiye analikuza hili...Honestly angeuliza wanaume wenzie wenye busara ndio wangempa darasa zuri
Na hapa sidharau ushauri wako ila kwa hili la ndoa (ameoa wewe hujaolewa) tena yeye mwanaume wewe mwanamke
sidhani kama amefanya jambo la msingi kukuomba ushauri labda kama angekuwa anaomba ushauri wa dawa ya kupunguza uzito si habari ya divorce.

Ndio maana pengine imekuwa rahisi kwako kuangalia angle moja tu "ngono enjoyment", vipi kuhusu impact ya maamuzi yake!!

Halafu watoto wanakuwa wanakuja kuhadithiwa kwamba baba yao aliachana na mama kwa sababu "Mama alikuwa mnene" (hili la ngono na mvuto watajiongeza wenyewe). watamdharau sana.

Dude now you are getting PERSONAL!!!!!! Ujue mambo mengine ya KUJIAIBISHAAAAAA! Na wanaume wambea sanaaaa!(japo wanawake wanonekana wambea ila wanaume balaaa) Huwezi kumwambia mwanaume mwenzio UMECHEAT!!!!!!!! Akimwambia Mkewe? Mkewe akamwambia Mke wa Flani? Flani akamwambi Mmewe? Kuna siri hapo? Na kuaminika kwa umbea kunategemea credibility ya souce ya umbea!

Yeye kaniambia mimi coz anjua hata nikiuza CD no body will take me seriously, wataona namtaka ndo maana nimemzushia, ingekuwa kweli angeomba ushauri kwao! Nunda huyu wewe, tena mtoto wa mjini!

Okay!!!!!!!! Kumbe kwenye ndoa mnachokanaga!!!!!!!!! Mnachukua hatua gani kukabiliana na hiyo hali?

HAYA WE MWANAUME MWENZIE TOA USHAURI SASA WA KUOKOA NDOA HAPO!!!!!!!!!
 
Ukisikia dada mkubwa anakwambia umekua ujue umekua kweli........na hapa nimeshapewa "go ahead lol".

Ndio hapo hata mimi namshangaa huyo jamaa na nahisi ni sharobaro fulani hivi. Haingii akilini unamwacha mkeo eti kisa "ngono enjoyment" mara unene! Tena kwa sisi wanaume ni selfish sana unaweza kuamua kumfaidi mwanamke bila kutaka ushirikiano mkubwa kutoka kwake. Sanasana mwanamke ndiye huwa anataka sana kuridhishwa, na hata haya madawa ya nguvu za kiume huwa ni kwa lengo moja tu! Mwanamke aridhike ndipo roho yako isuuzike.

Kichwa kinakuaje kikubwa unaposifiwa "umeniridhisha mpenzi"

thats ma lito bro............
unaakili sana mdogo wangu......keep it up.
 
Kama kweli lara 1 ni rafiki wa huyo kaka, ampelekee hii post na amwambie kuwa huyo ndiye mke wake hadi kifo...

Hao mapotabo kaambiwa na nani kuwa wakishajifungua watabaki kama walivyo??

Babu DC!!

Akiona nimemuita Zombiiii!!!!!! May be nianze kujiwahi na msamaha! Ila nitamwambia kuna mtu ana tatizo kama lako kashauriwa uzzuri kweli JF
 
Hapa sasa umeweza kuangalia pande zote mbili...bahati mbaya huyo mwanamume amesahau kuwa mke wake anapitia katika kipindi kigumu na yeye ndiye alitakiwa kuwa nambari one katika kumpa sapoti,

Badala yake naye anataka kumtosa.....

Anyway...akili ni nywele ....ila huyu kaka anataka kufanya kosa kubwa, karibia sawa na kumshawishi mkewe anywe sumu!!

Babu DC!!!
babu naona matatizo ya vijana kutahiriwa hosp badala ya kupelewka jando mstuni
 
Unajua sie binadamu tunakuwa wabinafsi hadi tunakera....

Hivi huyo mwanamue anatumia akili ya kichwa kipi?

Anadhani kuna binadamu anakua na kubaki kama alivyo?

Anyway, ngoja azungunkie mabucha kwanza ila hiyo dhambi ni sawa na kula nyama ya mtu....

Babu DC!!

Come oooon people!!!....kunenepa ni uzembe!period!mbona mnatetea hilo jambo namna hii?kila mwanamke na mwanaume yabidi apigane kuwa against hii..

watu tunatumia uzembe wetu, uvivu na inefficiency kwenye maisha kujustify kuwa na kilo nyiingi..not ideal
 
Akiona nimemuita Zombiiii!!!!!! May be nianze kujiwahi na msamaha! Ila nitamwambia kuna mtu ana tatizo kama lako kashauriwa uzzuri kweli JF

Siyo lazima aje kusoma uzi mzima.....Just extract important info umpatie kama package ya kumsaidia....

Kweli alipofikia anahitaji msaada haraka kwa sababu inawezekana kabisa hajitambui...

Pia ni muhimu akaonana na wataalamu wa kutoa ushauri katika mambo kama haya....

Maisha siyo laini kama mrenda, anahitaji kukomaa kabla dunia haijamkomaza!!

Babu DC!!
 
nina amini huo unene ni kama sababu tu,alionja nje akanogewa,kajaribu kurudisha majeshi kwa mke wake,ladha haioni tena.amsaidie mke wake kuloose weight na kumpa somo kuwa unene ki afya sio mzuri.wanaume nanyi hamuishi sababu.akipungua,atamtafutia sababu nyengine
 
Come oooon people!!!....kunenepa ni uzembe!period!mbona mnatetea hilo jambo namna hii?kila mwanamke na mwanaume yabidi apigane kuwa against hii..

watu tunatumia uzembe wetu, uvivu na inefficiency kwenye maisha kujustify kuwa na kilo nyiingi..not ideal

Una uhakika na unayoyasema mkuu??

Kama ingekuwa hivyo, kusingekuwa na matatizo ya unene tunayoshuhudia duniani sasa...costing millions of $$$!!
 
lara 1 if this case is serious naomba nikwambie as a young lady, hujaoalewa huwez kujua anapopita huyu bi dada, huo kuboreka kwake juu ya mkewe ni kwasababu anaona anao watu kama wewe nje ya mkewe.

ushauri wangu my dearest, keep distance as much as you can ili asije kukushirikisha dhambi yake. lkn pia mwambie wazi huyo kaka kama ambavyo yeye havutiwi na huyo mkewe kadhalika na mkewe ipo siku atakuwa havutiwi na yeye so ajitahd asije jilipizia haya.
,

Ujue mimi pia sikubaliani nae kabisa, japo nimeona kuna matumaini kama kagundua mwenyewe kucheat sio kuzuri na kutaka kurudi kwa mkewe ili Kurejesha Majeshi!!!!!!!!

Sasa huyu ATHARI ZA KUCHEAT ZIMEMTAWALA!!!!!!!!! Alichotakiwa ni kujikaza kuendelea na mkewe na hali hii mpya ya sasa, angekomaa hadi aizoeee kuliko kuonja vituz vya nje!!!!!! Na hivi hajashikwa huko kwenye uonjaji japo kaamua kurudi ATAKUWA ANACOMPARE!!!!!!!!!!! Na lazima vya nje vishinde coz vinashindana na wa ndani! Yeye wa ndani hajui kama kuna vita baridi inaendelea.

Akienda kula kwa mkewe huku anapima na vya nje lazima hamu imuisheee! si utani! Mimi ninachohofia ataendelea kucheat tu hivo hvio coz mi nina ushahidi gani kaacha.

Mi i wish nikamwambie mkewe ajirudishe awe hot n sexy kama enzi zake apambane kumretain mumewe, bt i cant stab my friend on the back!!!!!!!! Itakuwa snitching! Anaweza hata kuondoka huyo dada nikaonekana mbaya zaidi ya hapa!
 
nina amini huo unene ni kama sababu tu,alionja nje akanogewa,kajaribu kurudisha majeshi kwa mke wake,ladha haioni tena.amsaidie mke wake kuloose weight na kumpa somo kuwa unene ki afya sio mzuri.wanaume nanyi hamuishi sababu.akipungua,atamtafutia sababu nyengine

Kweli kabisa kisukari,

Ngoja niulize wanasheria kama sababu kama hizi zinaruhusiwa wakati wa kuomba talaka...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Dude now you are getting PERSONAL!!!!!! Ujue mambo mengine ya KUJIAIBISHAAAAAA! Na wanaume wambea sanaaaa!(japo wanawake wanonekana wambea ila wanaume balaaa) Huwezi kumwambia mwanaume mwenzio UMECHEAT!!!!!!!! Akimwambia Mkewe? Mkewe akamwambia Mke wa Flani? Flani akamwambi Mmewe? Kuna siri hapo? Na kuaminika kwa umbea kunategemea credibility ya souce ya umbea!

Yeye kaniambia mimi coz anjua hata nikiuza CD no body will take me seriously, wataona namtaka ndo maana nimemzushia, ingekuwa kweli angeomba ushauri kwao! Nunda huyu wewe, tena mtoto wa mjini!

Okay!!!!!!!! Kumbe kwenye ndoa mnachokanaga!!!!!!!!! Mnachukua hatua gani kukabiliana na hiyo hali?

HAYA WE MWANAUME MWENZIE TOA USHAURI SASA WA KUOKOA NDOA HAPO!!!!!!!!!

Too personal? not real!
Sasa ushauri gani tena apewe labda kama amekuwa mtoto. Tumemwambia anataka kufanya kitu cha kijinga na amepewa mifano kadhaa ............aache full stop, kwa sababu hana sabau za msingi kabisa (kwa kuzingatia uzito wa ndoa na tuhuma zake).

Kuna watu wengine hawafundishiki mpaka uwalambe kibao kwanza.
Kuna wengine mpaka uwatukane kidogo
Kuna wengine mpaka uwaelezee ubaya wa ktu wanachokifanya
Kuna wengine mpaka uwape risala hata ya siku nzima.

Kifupi wewe pengine unamjua kuliko sisi, lakini kulingana na maelezo yako huyo 'zombie" hajakua period!
na dawa yake ipo hapo juu chagua!
 
you have brain. ila sasa cha kufanya ni jambo moja tu, achana nae kabisa.
najua huyu kaka ata ampae malaika atafanya the same tu hna maana
 
Ujue mimi pia sikubaliani nae kabisa, japo nimeona kuna matumaini kama kagundua mwenyewe kucheat sio kuzuri na kutaka kurudi kwa mkewe ili Kurejesha Majeshi!!!!!!!!

Sasa huyu ATHARI ZA KUCHEAT ZIMEMTAWALA!!!!!!!!! Alichotakiwa ni kujikaza kuendelea na mkewe na hali hii mpya ya sasa, angekomaa hadi aizoeee kuliko kuonja vituz vya nje!!!!!! Na hivi hajashikwa huko kwenye uonjaji japo kaamua kurudi ATAKUWA ANACOMPARE!!!!!!!!!!! Na lazima vya nje vishinde coz vinashindana na wa ndani! Yeye wa ndani hajui kama kuna vita baridi inaendelea.

Akienda kula kwa mkewe huku anapima na vya nje lazima hamu imuisheee! si utani! Mimi ninachohofia ataendelea kucheat tu hivo hvio coz mi nina ushahidi gani kaacha.

Mi i wish nikamwambie mkewe ajirudishe awe hot n sexy kama enzi zake apambane kumretain mumewe, bt i cant stab my friend on the back!!!!!!!! Itakuwa snitching! Anaweza hata kuondoka huyo dada nikaonekana mbaya zaidi ya hapa!

Lara 1,

Katika dunia ya wanaume, kucheat ni suala dogo sana...wanaume tunajua kuwa wasio cheat ni wachache mno, kama wapo. Ila karibia wanaume wote, hawatavumilia mtu anayemdharau mke wa ndoa eti kwa sababu anacheat nje...
Kama ni kwenye club, mwanamume wa namba hiyo watampiga chini....

Huyo angesoma miongozo kama ule wa The Boss, hakika angejua jinsi ya kumhandle mke wake na kumpa utukufu kama wa malaika, huku mara moja moja anakimbia nje kwenda kupasha misuli!!

Hapa nimeamua kuongea kama mwanamume na above all, kama retired Maj Gen!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom