platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,361
- 11,141
hapa mie sitii neno manake mdogo wangu umekuwa kuliko nilivyotarajia.
usishangae sana kwamba wanandoa wengine ingawa wameoa lkn ushauri wao huomba kwa watu ambao hawajui ndoa inamaana gani. yaan unamkuta mtu anawaza ndoa ni kutiana tu 24/7 lkn ukiingia ndani ni just 1st yr the rest mnapiga pasi ndefu tu lkn maisha ya amani na furaha yanakuwepo. istoshe maisha ya kutengana ya baba na mama yana athari kwa pande nyingi sana na sio tu upande wa wawili.
Ukisikia dada mkubwa anakwambia umekua ujue umekua kweli........na hapa nimeshapewa "go ahead lol".
Ndio hapo hata mimi namshangaa huyo jamaa na nahisi ni sharobaro fulani hivi. Haingii akilini unamwacha mkeo eti kisa "ngono enjoyment" mara unene! Tena kwa sisi wanaume ni selfish sana unaweza kuamua kumfaidi mwanamke bila kutaka ushirikiano mkubwa kutoka kwake. Sanasana mwanamke ndiye huwa anataka sana kuridhishwa, na hata haya madawa ya nguvu za kiume huwa ni kwa lengo moja tu! Mwanamke aridhike ndipo roho yako isuuzike.
Kichwa kinakuaje kikubwa unaposifiwa "umeniridhisha mpenzi"