Detoriarating Sex Life!!!! (Anataka Kumuacha Mkewe)

Ana matatizo ya akili na pepo wa Ngono. Sishauri ujinga. Kwani yeye hivyo alivyo leo ndio alikua hivyo siku zote? awapunguze na nduguze basi au tuseme hana ndugu wanene? Nao waache kutokana na unene wao? watu wa namna hii huhitaji bakora tu.
Shwaini kabisa. Ameniudhi mno na sio ukute anakujengea mazingira ya kukutafuna mwenyewe

Hahahaaaaaaaaaaaa! I wish ungempa LIVE BILA CHENGA kama hii yako. Mie pia SIMUUNGI MKONO! Ila mambo ya SEX yanaenda kwa hisia, na yeye hisia hana!!!! Ndo zimekata hivooooo! Inawezekana KAISHIWA TU HAMU NA MWENZIE ila kaamua kuushushia ubonge nyanya lawama!!!!!!!! Toeni vitu vitakavommotivate abakie kwenye hilo unganiko takatifu manake Bakora hazimsimamishi babu! LOL!

Mi naona MTU AKIKUCHOKA/UKIMCHOKA MTU bora umwache kwa amani kama imeshindikana, coz kujilazimisha ni kumtesa asie na hatia!!!!!!! MTAFUTA SABABU HAKOSI SABABU!!!!!! Hata akipungua atakuja na lengine bora kuamuacha tu baaaaaass!
 
Suala ni kuwa PEOPLE GET MARRIED TO ENJOY SEX!!!!!!! pamoja na mambo mengine!!!!!!!!!! Sasa kama PRIMARY OBJECTIVE cant be achieved kwanini mtu uishi kiungo!!!!!!! The guy is jst 28, haya ndo kaanza cheatting huko, akimletea mwenzie ugonjwa?

Na kama UNAISHI NA MWENZIO KAMA KAKA NA DADA for the rest of ya life ni ngumu aiseeee! Unamwambia mwenzio i love u! huku moyoni unsema i used to! We funguka LOVE ON QUALITATIVE ASPECTS ndo itamsaidia kubaki! Bila hivo atabaki MUME JINA!!!!!!!!

Only boys say and believe that,

Hata sie tulipokuwa wavulana, tuliamini kuwa baada ya kuoa ni sex 24/7 walau kwa week kama 40/52!!

Ila kadri umri unavyoenda, unagundua kuwa sex ni sehemu ndogo (ingawa muhimu sana) ya maisha yenu ya ndoa..

Huyo kaka ajue hata yeye anaweza kufanyiwa penile amputation na bado wakabaki kwenye ndoa..

He needs to grow up (28 yrs si mdogo), amfurahie mke wake (hata kama ana ulemavu)

And above all, ampe sifa na utukufu wote anaostahili mwanamke anayefikia level ya kuitwa mama..

Babu DC!!
 
Kupungua hadi mtu uamue na uone umuhimu! Yeye karizika na anaona kwanini mwenzie asimpende alivyo? Chezeya Nyama choma na chips kuku za edo!!!!!!?

Unene unaokuja ghafla ni mbaya sana..!
Inawezekana huyo mumewe sababu ameshapoteza hamu hivyo wala hamshauri kwa ustaarabu..!
Nina hakika angekaa na kuongea nae kwa upendo huyo dada angemuelewa na angeona umuhimu wa kufanya mazoezi..! Kama vipi amtafute Mzizi Mkavu anadawa ya kupunguza unene.. Lol
 
Stop the negativity for the record HE WAS MY ZOMBIIIII!!!!!!!!! Alinitongoza nikampiga Ban ya friendship zone permanently, so IM HIS FRIEND!!!!!!!! VRY CLOSE ONE!!!!!! Hadi kanishirikisha habari za cheatting ujue tumeshibana! We usifikiri blander kama hizi unaenda kumuomba ushauri MSIMAZI WA NDOA!!!!!!!!?

The ISSUE IS NOT OBESITY!!!!!!! THE ISSUE NI KUTOKUWA NA HAMU NA MKEWE!!!!!!!!! Ingekuwa huo uobese kaupenda na anenjoy mambo, isingekuwa issue tunaongelea.

Sasa unategemea utakuwa na hamu na mtu uliyemzoea mpaka unaingia kaburini?
Hivi kwenye mahusianao si kuna kupanda na kushuka......Kama kwa gf na bf sometime wanachokana itakuwa
watu wanaokutana na kulala pamoja kila siku?

Hapa naona huyo zombie wako ndiye analikuza hili...Honestly angeuliza wanaume wenzie wenye busara ndio wangempa darasa zuri
Na hapa sidharau ushauri wako ila kwa hili la ndoa (ameoa wewe hujaolewa) tena yeye mwanaume wewe mwanamke
sidhani kama amefanya jambo la msingi kukuomba ushauri labda kama angekuwa anaomba ushauri wa dawa ya kupunguza uzito si habari ya divorce.

Ndio maana pengine imekuwa rahisi kwako kuangalia angle moja tu "ngono enjoyment", vipi kuhusu impact ya maamuzi yake!!

Halafu watoto wanakuwa wanakuja kuhadithiwa kwamba baba yao aliachana na mama kwa sababu "Mama alikuwa mnene" (hili la ngono na mvuto watajiongeza wenyewe). watamdharau sana.
 
Anaweza asidai talaka moja kwa moja lakini akaanza visa ambavyo hatima yake ni talaka au utengano!

Pia, inaweza kuwa ndiyo mwanzo wa kuanza kutembea nje huku akijiaminisha ana sababu halali ya kufanya hivyo.

So wanao dai talaka ni afadhali?
 
Ameshaonja vya nje ndio maana hamu na mkewe imeisha... Ukishaanza hizi mambo za kucheat lazma uone mapungufu kwa mtu wako. Apige chini kweli hicho kitoto cha chuo, akili ahamishie kwa mkewe huku akiwe na 2 options; either kuaccept muonekano mpya wa mkewe or kumsaidia kupunguza weight...

Kama kweli lara 1 ni rafiki wa huyo kaka, ampelekee hii post na amwambie kuwa huyo ndiye mke wake hadi kifo...

Hao mapotabo kaambiwa na nani kuwa wakishajifungua watabaki kama walivyo??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
nimeshtuka kuona mwanaume ndo ana 28yrs anawaza talaka je akifika 50's atakua amezitoa ngapi sidhani ktk ulimwengu huu kuna binadamu aliyekamilika labda malaika tu hata hao wengine anaowakimbilia huko nje akiwaweka ndani atabadili tena mawazo atakuta alivyovitaka havipo tena,huyo muongoze sala ya toba hana lolote urafiki weka pembeni mchane live pepelepepele nyingi alifikiri kile kiapo cha shida na raha ni mchezo wa baba na mama.
 
huyo ndio pepo ninaemzungumzia hapa. Unajitengenezea sababu halafu unazi-justify ili uweze kutenda upuuzi wako. Hivi kwanini kuna watu wako sooo selfish kiasi hicho? mwambie aache ujinga

Hahaaaaaa! Nisipokaa vizuri NTACHARAZWA MIE BAKORA!!!!! Mkuu mimi nimemsikiliza nikaona LIMBWATA la binti wa chuo limemkolea sasa ROHO INAMSUTA anajishuku shuku tu!!!!!!!!! Huo ubonge anausakama coz inawezekana haupendi kidogo ila kakosa sababu ya kumuacha mkewe!!!? Inaweza kuwa MIDAWA kweli imemkolea. Bt he si willing to try ndo mnipe guide za kuishi na kuenjoy hio haliiii!!!
 
Unajua sie binadamu tunakuwa wabinafsi hadi tunakera....

Hivi huyo mwanamue anatumia akili ya kichwa kipi?

Anadhani kuna binadamu anakua na kubaki kama alivyo?

Anyway, ngoja azungunkie mabucha kwanza ila hiyo dhambi ni sawa na kula nyama ya mtu....

Babu DC!!

Si unajua ukiwa unawaza kwa kichwa cha DOWN STAIRS!!!!!! Baaasi mambo purukushani! Sasa akizunguka mabucha binti wa watu ataumia atiii, coz amekubali ku try again what motivates you people kutoona body changes kama yeye.
 
Mdogo wangu Lar 1,

Huo ndiyo ukweli....you are not the right person kuombwa ushauri kwa sababu una stake kwa huyo kaka...

Hapa lazima conflict of interest haziwezi kukuacha ukawa impatial...

Vumilia tu comments za wadau hata kama hukuzipenda!!

Babu DC!!

Cut me some slack babu! Sasa mtu akiceat huko wewe sasa ameamua kurudi, unadhani ATAMUOMBA USHAURI PADRI/MCHUNGAJI? Si itaanza kwanza hukumu kabla ya ushauri.

He messed up fine!!!!!! He is desparate! So kaniomba ushur mimi SHANGINGI LA MJINI okay! Ndo maana nawaulizeni nyie wazee hazina!!!!!

BT ALL YOU GUYS DO IS JUDGING! CURSING! CONDEMING! Hakuna hata anaetoa waqzo la kujenga na kuokoa ndoa hapo!! Kama wewe babu kupiga ACHA AMALIZE MABUCHA KWANZA!!!!!!!! Kweliii! What abt the wife?
 
Chukulia we umepata ugonjwa hujiwezi uko kitandani
mkeo anadai talaka asikusaliti
ni afadhali?

Ndiyo, ni afadhali kuliko kunisaliti mimi na kusaliti kiapo alichokula cha kuwa mwaminifu katika shida na raha (huku mimi bado nikiendelea kudhani mwenzangu bado ni mwaminifu licha ya changamoto iliyopo).
 
Si unajua ukiwa unawaza kwa kichwa cha DOWN STAIRS!!!!!! Baaasi mambo purukushani! Sasa akizunguka mabucha binti wa watu ataumia atiii, coz amekubali ku try again what motivates you people kutoona body changes kama yeye.

Unajua nini Lara 1,

Mwili wa binadamu ni kama balloon...inaweza kuchukua umbo lolote wakati wowote,

Ni kweli umbo ni muhimu wakati wa kukimbizana na dates, ila mkishafika kwenye house

mambo yanabadilika kabisa.....Uhalisia ndiyo unaotawala!

I wish kwa wale ambao tumepiga miongo kadhaa kwenye ndoa tungekuonesha picha zetu za siku ya ndoa na kabla ya hapo, na zile za sasa hivi!!

Ndiyo maana mimi nachukia mapenzi yenu haya ya "I love you" zaidi ya 1000 kwa siku bila upendo wa dhati kutoka moyoni,

Huyo baba angempenda mkewe kama binadamu mwingine anayestahili kupewa heshima,

naamini asigethubutu kukueleza utumbo wa namna hiyo,

Babu DC!!
 
Ameshaonja vya nje ndio maana hamu na mkewe imeisha... Ukishaanza hizi mambo za kucheat lazma uone mapungufu kwa mtu wako. Apige chini kweli hicho kitoto cha chuo, akili ahamishie kwa mkewe huku akiwe na 2 options; either kuaccept muonekano mpya wa mkewe or kumsaidia kupunguza weight...

THANK YOU!!!!!!!!! Angalau umetoa mwanzo wa solution! Sasa ataaceptije huo muonekano mpya!!? HOW? For real yani, kitu kinamboa ataanzaje kukipenda? Psychology hapo inahitajika!
 
Sasa unategemea utakuwa na hamu na mtu uliyemzoea mpaka unaingia kaburini?
Hivi kwenye mahusianao si kuna kupanda na kushuka......Kama kwa gf na bf sometime wanachokana itakuwa
watu wanaokutana na kulala pamoja kila siku?

Hapa naona huyo zombie wako ndiye analikuza hili...Honestly angeuliza wanaume wenzie wenye busara ndio wangempa darasa zuri
Na hapa sidharau ushauri wako ila kwa hili la ndoa (ameoa wewe hujaolewa) tena yeye mwanaume wewe mwanamke
sidhani kama amefanya jambo la msingi kukuomba ushauri labda kama angekuwa anaomba ushauri wa dawa ya kupunguza uzito si habari ya divorce.

Ndio maana pengine imekuwa rahisi kwako kuangalia angle moja tu "ngono enjoyment", vipi kuhusu impact ya maamuzi yake!!

Halafu watoto wanakuwa wanakuja kuhadithiwa kwamba baba yao aliachana na mama kwa sababu "Mama alikuwa mnene" (hili la ngono na mvuto watajiongeza wenyewe). watamdharau sana.

hapa mie sitii neno manake mdogo wangu umekuwa kuliko nilivyotarajia.
usishangae sana kwamba wanandoa wengine ingawa wameoa lkn ushauri wao huomba kwa watu ambao hawajui ndoa inamaana gani. yaan unamkuta mtu anawaza ndoa ni kutiana tu 24/7 lkn ukiingia ndani ni just 1st yr the rest mnapiga pasi ndefu tu lkn maisha ya amani na furaha yanakuwepo. istoshe maisha ya kutengana ya baba na mama yana athari kwa pande nyingi sana na sio tu upande wa wawili.
 
Ajabu sana ndoa hizi. Yaani unamwacha mkeo kwa sababu ya "uzito" tu?
Kuna watu nawafahamu wanaomba wapate mke hata asiyekuwa na macho na miguu ili wapumuwe
huyu anataka kumuacha mke kwa jambo lililo nje ya uwezo wake!!

Halafu anaomba ushauri kwa X

Red: wacha muchezo
Blue: ha ha...wanaishi wapi hao??
Pink: sasa hapa ndo kwenye utamu wa hii stori..jamaa alikuwa na hamu tu huyu..amemiss vitu vya lara 1..
 
Cut me some slack babu! Sasa mtu akiceat huko wewe sasa ameamua kurudi, unadhani ATAMUOMBA USHAURI PADRI/MCHUNGAJI? Si itaanza kwanza hukumu kabla ya ushauri.

He messed up fine!!!!!! He is desparate! So kaniomba ushur mimi SHANGINGI LA MJINI okay! Ndo maana nawaulizeni nyie wazee hazina!!!!!

BT ALL YOU GUYS DO IS JUDGING! CURSING! CONDEMING! Hakuna hata anaetoa waqzo la kujenga na kuokoa ndoa hapo!! Kama wewe babu kupiga ACHA AMALIZE MABUCHA KWANZA!!!!!!!! Kweliii! What abt the wife?

Mbona ushauri tumetoa lara 1, au hutaki kuuona?

Ukweli ni kwamba kakosea kukuomba ushauri wewe....hilo litambue tu hata kama hutakubaliana na sie tunaosema hivyo,

Pia tumesema kuwa hiyo sababu anayotoa ya kutaka kumuacha mke wake kwa sababu ya unene ni ya kitoto sana,

Kwa hiyo basi, mshauri arudi kwa mke wake haraka sana na kumwangukia,

Afute hizo sura za warembo wa kwenye vitabu kichwani mwake, aingize sura ya mke wake...

Vinginevyo ndiyo ajiandae kutangatanga kama kipepeo!!

Huo siyo ushauri??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
THANK YOU!!!!!!!!! Angalau umetoa mwanzo wa solution! Sasa ataaceptije huo muonekano mpya!!? HOW? For real yani, kitu kinamboa ataanzaje kukipenda? Psychology hapo inahitajika!
lara 1 if this case is serious naomba nikwambie as a young lady, hujaoalewa huwez kujua anapopita huyu bi dada, huo kuboreka kwake juu ya mkewe ni kwasababu anaona anao watu kama wewe nje ya mkewe.

ushauri wangu my dearest, keep distance as much as you can ili asije kukushirikisha dhambi yake. lkn pia mwambie wazi huyo kaka kama ambavyo yeye havutiwi na huyo mkewe kadhalika na mkewe ipo siku atakuwa havutiwi na yeye so ajitahd asije jilipizia haya.
,
 
Last edited by a moderator:
Unene unaokuja ghafla ni mbaya sana..!
Inawezekana huyo mumewe sababu ameshapoteza hamu hivyo wala hamshauri kwa ustaarabu..!
Nina hakika angekaa na kuongea nae kwa upendo huyo dada angemuelewa na angeona umuhimu wa kufanya mazoezi..! Kama vipi amtafute Mzizi Mkavu anadawa ya kupunguza unene.. Lol

Ujue unene uwe umeuzoea ndo rahisi kukubali kuwa inahitajika jitihada za ziada kujiokoa! Sasa huu wa ghafla ukubwani, unakuwaga so emotional!!!!!! Coz huko nje kila mtu anakwambia YEYEEEEEE UTAPASUKA SASA! RUKA KAMBA AISEEE! UNAKULAGA NINI? sasa kama mnene waasili watu wankuwa wamekuzoea ila huu wa ghafla hivi kila mtu anakuhukumu. Na mmeo akianza wimbo ule ule it is so depressing kwakeli!!!!!!!! Lazima uwe MBOGO kwenye hilo swala aisee!
 
Back
Top Bottom